Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe,
mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa.
Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu
a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54
Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu
b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
Salamu Wakuu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa.
Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu...
Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali
Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani wa jadi uliopo baina ya timu hizi mbili
Hakika, kwa sasa hizi ndiyo timu zakuigwa ndani ya Africa...
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba ilijikusanyia rank nyingi na siku zote wenye rank nyingi upangiwa na timu ndogo ,hata kama timu ndogo nazo...
Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga.
Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada...
Nauza kangala kwenda mbela.
Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha.
Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga.
Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo...
Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja.
Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi.
Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa.
Mpira umefanya kitu ambacho...
Wawakilishi Wa Tanzania katika Michuano Mikubwa Kabisa kuliko Yote inayoandaliwa na CAF ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga na SIMBA zimeweza Kufanya vyema na Kuheshimisha Taifa.
Simba Wakiwa kwenye Kiwanja Cha Levy Mwanawasa Mjini Ndola imeweza Kuituliza Timu ya Power Dynamo ya Zambia Katika...
Kwa sasa Tanzania ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga unazidi kustawi. Makundi yanayokuja kwa Kasi ni wanawake na watoto wadogo tofauti na miaka ya nyuma.
Imekuwa Imani kamili tunarithishana kizazi hadi kizazi na mtu akishaamini kamwe hatohama mpaka kifo kimtenganishe.
Mtu atachelewa au...
Poleni na heka heka za weekend.
Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023.
Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda...
Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo.
Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari...
Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake.
Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma ujumbe wangu huu kwa Viongozi wa Yanga baada ya kupokea kibunda cha Mama hilo fungu limegwe lipelekwe...
Milioni 300
Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku.
Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi
• ES Tunis 🇹🇳
• Mamelodi Sundowns 🇿🇦
• Wydad Club Athletic 🇲🇦
Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya
• A = USM Alger...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.