wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PureView zeiss

    Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyike kwao

    Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa. Sisi wabongo...
  2. Ego is the Enemy

    Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mradi huu inajengwa na mkandarasi mchina aliyetokea Kenya. Sasa huyu mchina amekuja na wakenya hapa mpaka wadada washika vibendera uelewe. Alikuwepo jamaa mmoja alikuwa akitoa taarif uhamiaji wakija wanapewa sabuni ya roho baadaye...
  3. Kaka yake shetani

    Kiswahili kinagombewa na Wakenya kuliko Tanzania

    Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili. Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
  4. P

    Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
  5. chiembe

    Wakenya wanaoishi nje ya nchi hutuma trilioni 10 nchini kwao, Watanzania hutuma bilioni 700, tukifata ushauri wa Lowassa kuhusu elimu, tutafikia Kenya

    Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani. Katika kuenzi maisha na falsafa za Lowassa, ni vyema tiwekeze katika elimu ya watamzania, na tufungue milango kwa...
  6. P

    Wimbo wa Nay wa Mitego umewagusa Wakenya, wajiuliza ni jiwe kwa serikali yao au kwa Tanzania!

    Wakuu, Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
  7. Miss Zomboko

    Kenya na Tanzania kusuluhisha Mzozo wa Safari za Ndege ndani ya Siku 3

    Tanzania kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba, ameahidi kutatua na kusuluhisha mzozo wa Kenya na Tanzania Airways. Kupitia chapisho kwenye X, January alifichua kuwa alizungumza na waziri mkuu wa Kenya, Musalia Mudavadi, na kuahidi kusuluhisha suala hilo ndani ya siku 3 kulingana...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini Wachangiaji wa Jukwaa la JF English ONLY FORUM ni Wakenya, Waganda,. Wanyarwanda na Watanzania ni wa Kuhesabika?

    Kudadadeki sijui ni nani alitulaani Watanzania katika Suala zima la Kuelewa na Kuzungumza Lugha ya Kiingereza ambayo GENTAMYCINE ndiyo siijui na wala Siishobokei kabisa.
  9. kavulata

    Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

    Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani? https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
  10. M

    Tujifunze kwa Wakenya kwenye riadha

    Muneria Wins Malaga Marathon in Spain as Kenyans Rule Road Races in Busy Weekend for Athletics The 2016 Africa Cross Country bronze medalist Charles Muneria clocked a personal best of 2:08:54 to win the Malaga Marathon on Sunday as part of what was a plentiful harvest for Kenyans in various road...
  11. Burkinabe

    Wakenya walitamani Hayati Magufuli angekuwa Rais wao, wamempata Ruto

    Ndugu zangu wana JF, ni matumaini yangu mko sawa kabisa. Rejea kichwa cha mada chahusika. Hawa majirani zetu walitamani sana Hayati JPM angekuwa Rais wao enzi za uhai wake. Binafsi naona kama maombi yao yamejibiwa na Mungu kawajalia kumpata William Samoei Ruto, ambaye ana sifa karibia sawa...
  12. R

    Wakenya wapata ladha kidogo ya mgao wa umeme jana 10/12/2023

    Jana Jumapili jioni 10/12/2023 Kenya ilikumbwa na mgao ulioathiri nchi nzima na kusababisha huduma kusimama katika sehemu zote za nchi. Tatizo hilo lilianza majira ya saa mbili usiku na ilikuwa ni mara ya tatu kutokea likiathiri nchi nzima katika miezi mitatu iliyopita Miongoni mwa taasisi...
  13. GoldDhahabu

    Kama Wakenya wameweza, sisi tunashindwa kwenda kujifunza kwao?

    Inasemekana, kuna wakati Wakenya walikuwa wanakuja Tanzania, nafikiri Gairo, kununua viazi mviringo na kwenda kuvifsafisha, kuvigrade, na kuvifanyia packaging kisha kuvisafirisha kwenda sokoni Dubai. Inasemekana, Wakenya hua wanavifuata vitunguu Tanzania, si kwa ajili ya kuviuza Kenya, bali...
  14. LIKUD

    Baada ya kongamano lake kufana Tanzania,Wakenya wamlilia Prophet Lovy. ( Nigeria,South Africa, Ghana nao waomba akafanye mkutano nchini mwao )

    Ndugu zangu. Narudia tena kwa mara nyingine. Usicheze kabisa na mtu aliebarikiwa na Mungu. Kind David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah alikuwa muuaji lakini alikuwa chaguo la Mungu. Baadhi ya watu walimuita mtu wa damu " bloody man" ( 2 Samuel 8) lakini Mungu alimpenda...
  15. GoldDhahabu

    Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

    Siku chache zilizopita, nilimtembelea mkulima mmoja wa matunda nchini Kenya. Taswira ya shambani kwake ilinipa ujumbe kuwa ni mkulima mwenye mafanikio mazuri. Japo hana na eneo kubwa sana, analitumia kikamilifu eneo lililopo. Sidhani kama shamba lake lote linazidi ekari tano! Aliniambia kuwa...
  16. GoldDhahabu

    Kwanini iwe Watanzania vs Wakenya na si vinginevyo?

    Humu jukwaani, kunapotokea ubishi wenye mwelekeo wa "Kimataifa", utaukuta ni baina ya Mkenya na Mtanzania. Lakini inafahamika kuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ina nchi kadhaa zaidi ya Kenya na Tanzania. Kwa nini ubishani wa kiutani uwe ni kati ya Mkenya na Mtanzania na siyo na Mtanzania na raia...
  17. GoldDhahabu

    Wakenya, nielekezeni pa kujifunza kilimo cha dragon na kiwi

    Habarini ndugu zanguni! Nimearifiwa kuwa katika nchi za Afrika Mashariki, ni Kenya ndiyo inayoongoza kwa kufanya vizuri kwenye kilimo cha DRAGON na KIWI. Ninakusudia kujihusisha na kilimo cha mazao tajwa. Na, ninaamini, nikilitembelea shamba linakolimwa, naweza kupata ufahamu mpana zaidi...
  18. L

    Hotuba ya Rais Samia yasubiriwa kwa hamu na Wakenya

    Ndugu zangu Watanzania, Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko kenya.yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia...
  19. BARD AI

    Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaishutumu Worldcoin kuingilia Faragha za Wakenya, Inataka Mahakama Kuingilia kati

    Ofisi ya Ulinzi wa Data inasema kuwa uchakataji wa Taarifa Binafsi kupitia mradi wa Worldcoin haukuzingatia kanuni za ulinzi wa data kama zilivyobainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria. Ofisi hiyo sasa imeitaka Mahakama kuingilia kati ili kutoa mwongo wa hatua za kuchukuliwa dhidi ya...
Back
Top Bottom