kubaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

    nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake. ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio...
  2. Webabu

    Ehud Barak amwambia Netanyahu. Nenda asema muda si rafiki tena kwa Israel kubaki kwenye tope la Gaza

    Waziri mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Baraka amemwambia waziri mkuu wa sasa,Bejamin Netanyahu kuwa kwa jina la Mungu aondoke madarakani. Ehud Barak amesema kwa kuendelea kuwepo madarakani kwa Benjamin Netanyahu basi Israel itaendelea kuzama kwenye tope la Gaza. Akahimiza wakati wa kuondoka ni...
  3. M

    Madeama ni kama timu ya Mashujaa ya Kigoma: Hamasa kubwa, kujituma kwingi, mwisho wa siku kubaki karibu mkiani

    Timu ya Madeama haina chochote kiufundi, lakini hamasa yao ni kujaribu kuzidindia timu kubwa!! Nawalinganisha na Mashujaa wa Kigoma!! Yanga kesho washindwe wenyewe tu!! Kiufundi hamna timu pale zaidi ya jihad!! Sitarajii mtu ajisifu kufunga kitimu hicho ambacho hata kwenye 30 bora ya Afrika...
  4. sky soldier

    Binti wa dukani ana mimba, aendelee kubaki ama aondoke?

    Wenye maduka nawaombeni msaada wenu. Nimeajiriwa lakini nina biashara za pembeni likiwemo duka ambalo nimemweka binti, mshahara wake ni laki 1 pamoja na elf 4 ya kila siku (chakula, nauli, choo) Kwa sasa karibu wiki 6 mfululizo lazima siku moja ya kazi anaenda clinic hafungui siku nzima, mfano...
  5. A

    DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
  6. Bull Bucka

    Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

    Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
  7. The Burning Spear

    Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

    Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi. Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee...
  8. GENTAMYCINE

    Tusidanganyane hakuna anayependa kubaki Tanzania Pre Season, ukweli ni kwamba hatuna Pesa

    Ukija na Hoja kuwa mbona kwa Misimu miwili walioenda Pre Season nje ya nchi hawajawa Mabingwa na aliyebaki Tanzania kawa Bingwa nami nitakuuliza mbona miaka minne nyuma aliyekuwa Bingwa mara Nne mfululizo ( huku Wewe na Timu yako Mkijitafuta ) alienda Pre Season Nje ya nchi na Wewe uliyebakia...
  9. BARD AI

    Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita

    Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
  10. S

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Raisi Samia, japo umetukwaza sana na hii issue ya bandari, kuna mambo mazuri umefanya hasa katika kurekebisha baadhi ya mambo yaliyofanyika wakati wa utawala Marehemu Magufuli. Moja ya eneo ulilogusa ni kuboresha masilahi ya wafanyakazi kama kupandisha watumishi vyeo, kuongeza mishahara ingawa...
  11. comte

    Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

    Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
  12. Father of All

    Nini faida na hasara za kubaki au kuuvunja muungano wetu?

    Si mara ya kwanza kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuzua manung'uniko na hata ushauri kuwa ima uvunjwe au urekebishwe. Wapo, hasa Wanzibri, wanaoona kama Zanzibar imemezwa na Bara. Pia, wapo, hasa watu toka Bara, kuwa Zanzibar inapendelewa. Wanadhani ilipaswa kuwa kama si wilaya basi mkoa...
  13. Stuxnet

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  14. Ngungenge

    Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

    Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari. Dp World...
  15. Tukuza hospitality

    SoC03 Tatizo la ajira laweza kuisha na kubaki kuwa historia Tanzania

    Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora. Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
  16. BARD AI

    Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

    Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
  17. DR HAYA LAND

    Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa. Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima. So akili kichwani, yaani mzazi...
  18. Roving Journalist

    Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  19. Wakuperuzi

    Ukiendelea kubaki humu na hali ya hewa hii tukueleweje?

    Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
  20. figganigga

    Mitambo ya IPTL imeibiwa na jengo kubaki Gofu. Iliwekwa rehani na Herbinder Seth

    Nilishuhudia gari la mwisho lililobeba chuma chakavu kutoka IPTL likikamatwa pale Skansika usiku wa Jumapili 05/03 2023, ambapo watu 3 waliokuwa kwenye gari na Polisi waliokuwa wakilinda Mitambo walikamatwa na Kupelekwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa Maelekezo ya Muliro. Gari lenye mzigo...
Back
Top Bottom