mdomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna uhusiano gani kati Wanawake wembamba na tabia ya hivi, mdomo, roho na mbaya

    Kwema Wakuu! Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya. Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu...
  3. Rio Shabazz

    Ivi mdomo na lips za mwanamke zinaashiria nini kuhusu yeye??

    Kuna uhusiano gan wa mbususu ya mwanamke na lips na midomi yake?? Science inasemaje ??
  4. Lady Whistledown

    Magonjwa ya Koo, Tumbo, Figo na Ini husababisha mdomo kunuka

    Je Wajua? Baadhi ya Magonjwa ya Koo, Njia ya Hewa, Mfumo wa Tumbo, Figo na Kisukari husababisha Kinywa kutoa Harufu Mbaya Watu wenye Kisukari wanaweza kuwa na kiwango kikubwa cha Sukari kwenye mate yao, ambayo husababisha bakteria wa mdomoni kuzalisha Kemikali zinazosababisha harufu mbaya...
  5. dubu

    Nani kamfunga mdomo Paul Makonda? Sijasikia akiwasema Mawaziri Mizigo

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa kuona Paul Makonda kubadili gia angani. Alipoanza kujitangaza, alikuwa akiwasimamisha Mawaziri watoe ufafanuzi na Wengine alikuwa akiwapigia simu akiwa majukwaani huku akisema Mawaziri mizigo siku zao zinahesabika. Alifika mbali na kuwataka Mawaziri wawe wanatuma...
  6. O

    Msaada: Tatizo la harufu mbaya kinywani

    Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni! Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!😔😔 Nisaidie jamani nahisi kwenda maporini nikaishi na miti na wanyama, sababu nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili...
  7. Wadiz

    Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

    Habarini, Kuna namna CCM haina mfumo wa kuwatumia malegend wake katika forums/majukwaa na haina forums za kuwatumia Wastaafu wake kiushauri. Katokana na hali inayojirudia kwa Mzee Paul Kimiti amekuwa mwenye kutoa mawazo yake kila akipata fursa ya kutoa neno. Kwa namna ya utoaji maoni wake...
  8. Kaka yake shetani

    tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

    nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake. ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio...
  9. Wakili wa shetani

    Nilikutana na mtanzania mwenye logic za ajabu nikabaki mdomo wazi.

    Huyu ndugu tunajuana hapa na pale. Ila nilikuja kugundua ana logic za ajabu sana na za kushangaza. 1. Kuhusu UTI. Anadai kuwa kwenye vyoo vya umma wanaume wanapata UTI wakati wa kujisaidia haja ndogo. Kwamba unapokojoa mkojo unaruka kutoka kwenye sinki na kuingia kwenye njia yako ya mkojo. Huo...
  10. demigod

    Kuna Washindani wasio na mdomo. Kuna Washiriki Wenye Midomo

    Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali. Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi. Tujipongeze kwa kushiriki, lakini hakuna timu ya kushindana. Wenzenu Yanga wanajua namna ya kucheza games za mtoano...
  11. juma kabuha

    UZUSHI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

    Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?
  12. J

    RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

    RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia. Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote. Chalamila amesema haipendezi kuona...
  13. Wadiz

    RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

    Hello JF, Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo. Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali...
  14. R

    Huu moto wanaowasha CHADEMA unatisha, umemkumbusha Kinana aliamini Maridhiano yatawafunga mdomo

    CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa. Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye maridhiano basi CHADEMA watanyamaza kusema kumbe ndio kwanza wamefungulia kusema. Kinana aliamini...
  15. Logikos

    Siasa Mamboleo - Mdomo unapojaribu Kulidanganya Sikio

    Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao... Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa...
  16. Mganguzi

    Kuna watu Wana mdomo sana ,hata kuagiza tshrt Moja ikapita bandarini hawajawahi..dk tulia ackson

    Spika wa bunge la Tanzania na mbunge wa mbeya dk tulia akson ,amewaonya watu wanaoendeleza mjadala wa bandari na huku wakiwa hawaijui hata bandari yenyewe ! Dk tulia amesema hayo akiwa katika ziara ya uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo jimboni kwake na kusisitiza kwamba Kuna watu Wana...
  17. Chachu Ombara

    Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
  18. Ngungenge

    Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

    Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari. Dp World...
  19. S

    Tatizo la Kupiga kelele usingizini na kujing'ata ndani ya mdomo

    Hilo tatizo mhusika anapiga kelele usingizini na hata kujing'ata ndani ya mdomo kwa magego. Pia anaweza kujiumiza kwa kujigonga kitandani maana husumbuka. Naomba mwenye ufahamu wa tiba atoe msaada. Asante.
Back
Top Bottom