sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Wenye maduka nawaombeni msaada wenu.
Nimeajiriwa lakini nina biashara za pembeni likiwemo duka ambalo nimemweka binti, mshahara wake ni laki 1 pamoja na elf 4 ya kila siku (chakula, nauli, choo)
Kwa sasa karibu wiki 6 mfululizo lazima siku moja ya kazi anaenda clinic hafungui siku nzima, mfano wiki hii juzi siku ya jumanne hajafungua kabisa.
Baada ya kukaa chini na kutafakari, hilo suala la clinic nikaona lisiwe shida acha aende tu kwasababu hospitali za serikali kuna foleni.
Ila shida inakuja kwamba aliempa mimba ni kijana wa chuoni, kuna dalili zote kwamba hataweza kuhudumia mtoto, litakuwa ni jukumu lake binti peke yake na hili linanipa hofu zaidi endapo akabanwa kiuchumi ashawishike kunipiga.