Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,089
- 4,704
Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
Kwenu huko jua ni kaliduh aiseee sio wote ni wakazi wa eneo ulipo
Mvua inanyesha, radi sasa mpaka naogopa kuzima taa
Lala wewe acha wogaMvua inanyesha, radi sasa mpaka naogopa kuzima taa
Hizi ndio thread za watu wasiokuwa na exposure, yani akili yake iko limited, hujui hata www maana yake ni nini, unajuwa Tokyo ni SAA ngapi sasa hivi!Ikifika sa 5 wote tuwe tumeshalogout Maana Hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) Cha mende(maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo Cha kuchumaa tembele
Kwenu huko jua ni kali
Na taa ikiwa inawaka ndo unakuwa burudani zaidi kwa kilimoMvua inanyesha, radi sasa mpaka naogopa kuzima taa
Bs we tutakuacha ukesheusiku wa kawaida hakuna mvua wala radi
Hizo radi zinanitisha 😂😂Wakishua sasa radi na kuzima taa vinahusianaje?zima bana ulale kama wataka mwanga radi itakumulika😂😂😂😂
😂subiri mvua iisheLala wewe acha woga
Sawa shangazi😂subiri mvua iishe
Mzee wa exposure piga kazi Haina shdaHizi ndio thread za watu wasiokuwa na exposure, yani akili yake iko limited, hujui hata www maana yake ni nini, unajuwa Tokyo ni SAA ngapi sasa hivi!
MwananchiiiiSawa shangazi
Hizo radi zinanitisha 😂😂
Nikizima taa nitateseka na hofu
KafanyajeeeMwananchiiii
Simba anakula nyama ananyamazaNgoja niwapigie simu tanesco wanisaidie uteseke vizuri maana mmeharibu usiku wetu kwa mkapa
Sema unaweza kulipiza kwa mkapa ndgoNgoja niwapigie simu tanesco wanisaidie uteseke vizuri maana mmeharibu usiku wetu kwa mkapa