aondoke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

    Shalom, Ukiheshimiwa jiheshimu, sasa ukweli ni kwamba miaka 10 Ikulu ni mingi sana, ukihudimu kama Makamu wa Rais na Rais kwa nusu vipindi kiapo chako na kikanuni na kikatiba ni Cheo chako Cha umakamu, chama kimekupa ridhaa ya miaka 10 tu ya umakamu hicho kiti cha juu ni bonus kutokana na kifo...
  2. Mmawia

    Asha Baraka umepanda mbegu za chuki dhidi ya CCM na upinzani, subiri uvune ulichokipanda

    Mmiliki wa bendi ya mziki ya Twangapepta awagawa watanzania. Asha Baraka ametoa maneno ya chuki na kibaguzi dhidi ya wana ccm na watanzania wengine wasio wana ccm. Ebu msikilizeni ila tunamwambia kuwa kapanda ajihidi sana kuvuna alichokipanda.
  3. K

    Dawasa tangu aondoke Eng. Luhemeja tunakoma

    Hii mamlaka ya maji Dar na Pwani tangu aondoke Eng Luhemeja imekuwa kero tupu. Mgawo wa maji kila mara pamoja na kwamba mvua zinanyesha kila siku wiki moja. Sasa wakazi wa Kimara hatuna maji na bila hata taarifa kama kuna shida au mgawo.
  4. U

    Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  5. U

    Simba wamesahau mchezo wao na kuwalenga Yanga na Al Ahly tu. Kesho watarudi na "Try Mangungu aondoke!"

    Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama kawaida yao watarudi kwenye Media na kuanza kusema Mangungu aondoke, Try Again, Saido, Chama, Kapombe...
  6. sky soldier

    Binti wa dukani ana mimba, aendelee kubaki ama aondoke?

    Wenye maduka nawaombeni msaada wenu. Nimeajiriwa lakini nina biashara za pembeni likiwemo duka ambalo nimemweka binti, mshahara wake ni laki 1 pamoja na elf 4 ya kila siku (chakula, nauli, choo) Kwa sasa karibu wiki 6 mfululizo lazima siku moja ya kazi anaenda clinic hafungui siku nzima, mfano...
  7. sky soldier

    Kuna kisa cha kweli kwa fumanizi ambalo mwanaume aliekutwa kalala na mke wa mtu aliachwa aondoke kwa amani, hali yake ilikuwaje?

    Huwaga naskia stori kwamba kwenye fumanizi ni heri upewe kichapo kizito sana kuliko uachwe uende kwa amani. Kuna kisa ambacho kimetamba sana ila nadhani ni stori ya kijiweni tu nadhani wengi mtakua mmesikia, Hapa tumiwite mwenye mke anaitwa Michael, sasa kuna siku Michael alistukiza kurudi...
  8. M

    Nabi aondoke bwana

    Haiwezekani atukoseshe kombe la CAF kirejareja tu. Aondoke tu kwakweli. Ona sasa jinsi makolo wanavyotuzodoa.
  9. John Gregory

    Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

    Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali. Ifike mahala hatua zichukuliwe, Ukubwa wetu umebakia midomoni huku tukichekwa kwa mpira 0...
  10. K

    Kuanzia IGP Harun Mahundi aondoke Polisi imekuwa mafia

    Mimi ni mtoto wa Polisi na mzee wangu alikuwa mkubwa sana kwa miaka mingi kwenye jeshi hili. Kuanzia IGP harun mahundi aondoke 1996 Polisi imegeuzwa genge la wahuni na mafia. IGP Mahita ndiye aliye anzisha genge la umafia Polisi na viongozi wa serikali wamekuwa wakifumbia macho makusudi...
  11. BARD AI

    Tetesi: Baraza la Ulamaa lilimpa masharti Mufti Mkuu, Amuondoe Alhad Mussa, Aondoke yeye au Waondoke wote wawili

    Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake. “Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
  12. JanguKamaJangu

    Cristiano Ronaldo anataka kubeba mizigo yake aondoke kambi ya Ureno

    Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos. Mshambuliaji huyo alianzia benchi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhidi ya Uswisi, inaelezwa kuwa amechukizwa na maamuzi hayo na mpaka...
  13. Erythrocyte

    Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

    Hili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile. Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule . Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi, aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake, ama aweza...
  14. Tunzo

    Karia hana uwezo wa kuendesha soka, aondoke tu

    Nilimaanisha karia hana uwezo wa kuendesha soka Jamaa amekaa kihasira. Si kwa Haji tu, ila ana uwezo mdogo sana wa kuendesh soka, huyu aonde tu.
  15. BigTall

    Wasiojulikana wamtisha Maguire kuwa aondoke Man United ndani ya saa 72 au auliwe

    Beki wa Manchester United, Harry Maguire alipewa vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana walipomwambia wanampa saa 72 ajiondoe klabuni hapo au asubiri kifo kwa kulipuliwa na bomu. Ujumbe huo ulitumwa kwake kwa njia ya barua pepe wakati akiwa mazoezini baada ya United kufungwa mabao 4-0 na...
  16. T

    Oscar Academy: Baada ya Smith kumpiga Rock, aliombwa aondoke akagoma, tutachukua hatua za kinidhamu dhidi yake

    Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma. Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona pia kudhalilisha hadhi ya tuzo hizo za kimataifa. Watu wengi wanasema alichokifanya Smith kimezidi...
  17. John Haramba

    Rayvanny kaambiwa alipe milioni 500 aondoke WCB

    Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB. Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa na BONGO TRENDY TV: “Habari zao ninavyojua ni kuwa Rayvanny aliomba kutoka WCB, akaambiwa atoe...
  18. pilato93

    Ukienda na mtu bar usikubali aondoke na mtu usiyemjua

    Habari ya muda huu wakuu. Guys kama umetoka na mtu au mmetoka kama group, usikubali au msikubali mmoja wenu aondoke na mtu msiyemfahamu in any means. Binadamu siku hizi hawaaminiki, kuna risk sana.
  19. Elli

    Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  20. sky soldier

    Nauchukulia ubingwa wa Simba kuwa sadaka ya kumfanya Manara aondoke; alikuwa mwiba kwetu Yanga

    Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka. Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake akaipa timu mzigo mkubwa wa kucheza pungufu, Ila bado niliona vijana walijitahidi licha ya kucheza...
Back
Top Bottom