kipengele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Napendekeza kuwepo na kipengele cha Video kwenye mtihani wa sekondari

    Nimefikiria kua kwenye mtihani wa kidato cha nne na/au cha sita kuwe na kipengele cha video ambacho wanafunzi watajibia maswali. Kila mwaka NECTA inachagua au inaandaa video yenye angalau saa moja ( one hour length video) ambayo wanafunzi wataangalia na kisha watajibia swali / maswali ambalo...
  2. Msanii

    Tujadili kifungu 47(3) cha Muswada wa sheria ya Tume ya Uchaguzi

    Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais.... Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
  3. S

    Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  4. A

    Nikiweka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali, nisaidieni

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
  5. Crocodiletooth

    Elimu ya katiba kwa watanzania kipengele kwa kipengele, kuanzia ibara ya kwanza! (Darasa la wazi)

    Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
  6. Micklingz_wrldwd

    Mfumo wa HESLB Hauna kipengele cha kuattach affidavit

    Hii changamoto inawafanya vijana wengi washindwe kupata mikopo kutokana na majina ya cheti cha kuzaliwa kutofautiana na form 4 huku hakuna sehemu ya kuattach affidavit hivyo uwezekano wa kupata mkopo ni mdogo sana na kama itakuwa hivi itafanya waforge hivyo vyeti na sio sahihi kama vilivyo
  7. Pfizer

    Twiga minerals yashinda kipengele cha kampuni za ubia na serikali

    Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 84 Serikalini Arusha Kampuni ya Twiga Minerals Cooperation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Barrick Gold Cooperation imeongoza katika kipengele cha Kampuni zenye ubia na Serikali katika utoaji Gawio...
  8. pangalashaba

    Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

    Habari za majukumu great thinkers? Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
  9. Sa 7 mchana

    Hichi kipengele cha Health Insurance €30,000 Schegen visa tunakirukaje

    Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje. Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m. Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia. Moderator nisaidie kupunguza...
  10. Lord denning

    Nimemsikiliza Padre Kitima, hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi sijaona kipengele kibaya kwenye mkataba

    Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa. Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
  11. Lord denning

    Nimemsikiliza Padre Kitima. Hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi. Sijaoona kipengele kibaya kwenye mkataba

    Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa. Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
  12. Mag3

    Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

    Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW! Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
  13. Boss la DP World

    Katiba ya Chama Changu Haina Kipengele cha Ukomo wa Kiongozi Mkuu.

    Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi Bei Elekezi na ndugu yangu Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi. Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema...
  14. Pascal Mayalla

    Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
  15. Just Distinctions

    Usaili kada za Serikali kufanyika Dodoma ni kipengele. Mfumo ubadilishwe

    Habari za wakati huu, Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika tarehe 25 kisha ukipita hapo wa vitendo tarehe 28 ama mahojiano 29, sasa ukiangalia kwa haraka, asie na...
  16. HPAUL

    Je, Fei Toto kulindwa na kipengele cha kulinda kipaji?

    Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho. Mfano ni Emmanuel Okwi alijiunga na Yanga, wakati akiwa katika mgogoro na klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia...
  17. King snr

    Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

    Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description Ni zipi hizo? Mfano nice class yangu Ni 42 Kwenye nice description naandika nini?
  18. BARD AI

    Grammy's inafikiria kuongeza kipengele cha Afrobeats kwenye tuzo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. amesema kuwa Grammys walikuwa wanafikiria kuongeza kitengo cha tuzo kwa upnade wa Afrobeats. Akizungumza na waandishi wa habari nchini Ghana, Mason alisema amekuwa akikutana na wadau wa muziki huo ili kuona uwezekano. "Tuliita...
  19. MOONFISH

    Jamaa wa Afrika Kusini akionesha 'feature' ya E63 AMG ya gari kujiegesha lenyewe

    hiii gari kumbe ni tamu hivi sikujua kama ina hiii kitu iko poa sana nimeipenda ina bidi nikanunue siku moja nikienda mbinguni
  20. MakinikiA

    Hatujachelewa kwenye sensa kuwepo na kipengele cha uhitaji wa katiba mpya .

    Sensa ni data Kama ni data kuna uhitaji wa kuwepo kipengele cha kupata mawazo ya wananchi kuhusu katiba mpya na mgombea huru wa uchaguzi wa uraisi . Siasa zimezidi sana Raisi,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya ....kila mahali...siasa. au siyo ndungu zangu.
Back
Top Bottom