Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,610
Wanabodi
Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!.

Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha kuwa kazi uandishi wa habari, "journalism is to tell nothing but the truth"

Hivyo mimi kama mwandishi wa habari, I have been telling the truth, writing the truth, until nilipogundua ukiwa mkweli mno , haswa kwa kuusema ukweli mchungu ambao watu hawapendi kusikia, utachukiwa and sometimes ni hatari hata kwako na kwa maisha yako.
Tumeyashuhudia kwa waandishi wakweli kama kuna Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda and the like!. Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

Uandishi wa habari ni sawa na kazi ya siasa, siasa za ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli ni siasa za kweli na wanasiasa wanaosema ukweli ndio wanasiasa wa ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli. JPM alikuwa ni mmoja wao, Tundu Lissu pia yumo!.

Kuna wengi wanadhani kazi ya siasa na wanasiasa ni kazi ya kupiga bla bla, kuwadanganya wananchi kwa ahadi hewa kam kem zisizotekelezeka!.

Hivyo ndivyo walivyo wengi wa wanasiasa wetu wakiwemo baadhi ya viongozi wetu hadi wakuu, sio wakweli daima, ni watu wa blah blah nyingi!.

Ukimuondoa Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa ni mkweli daima, Rais Mwnyi yeye alikuwa ni mkimya sio mtu wa blah blah. Mkapa pia alikuwa mkweli, JK naomba nisimzungumzie ila JPM alikuwa ni mtu mkweli mwenye ukweli sometimes kupitiliza hivyo kumfanya achukiwe!.

Ni ukweli wa JPM ndio uliomfanya aweze kuyatenda yale aliyoyatenda. Kuna wakweli wa type fulani ambao wao ni "hapa kazi tuu", wakitaka jambo lao liwe na lifanyike kwa haraka, kama katiba, sheria, taratibu na kanuni, ni vikwazo, then wataziweka pembeni na kulifanya jambo lao, na ndio maana JPM alikanyaga katiba ili mambo yaende na kiukweli yalikwenda!. Watu tulinyooka!, nchi ilinyooka, mafisadi, wazembe, walarushwa walinyooka na vyama vilikaza kweli kweli!. Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.

Mimi nimesoma sekondari Ilboru na Tundu Lissu, huyu jamaa Tundu Lissu ni mkweli na yuko bold tangu shuleni!. Kuna vitu vitatu Tundu Lissu anafanana sana na Magufuli, kimoja ni kwenye kuusema ukweli, Tundu Lissu ni mkweli kama JPM!, kwenye kuusema ukweli Lissu atausema no matter what!. Kitu cha pili ambacho Tundu Lissu ni kama Magufuli, naomba nisikitaje hapa kwasababu niliisha kitaja hapa, tena hicho cha pili Tundu Lissu ni zaidi ya Magufuli, hivyo hata ile 2020, mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza Tundu Lissu agombee na Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! ila kama mgombea wa CCM 2025, ni Mwanamke, simshauri Lissu kugombea!, maana kwa mwanamume jitu la miraba 4 kushindwa vibaya na mwanamke... itakuwa aibu!.

Jana nimetazama mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV na kumsikiliza kwa makini Tundu Lissu, nikafarijika sana kwa jinsi Tundu Lissu alivyokuwa mkweli.

Mimi kama mwandishi mkweli kazi yangu ni kuuliza, hivyo hili ni bandiko la kuuliza, kumbe Tundu Lissu yuko kama JPM, kwa mambo matatu, JPM ni mtu mkweli. Na Tundu Lissu ni mtu mkweli. Jana meusema ukweli wa jinsi kipengele cha ukomo wa uongozi kilivyoyeyuka toka ndani ya katiba ya Chadema!. Kumbe kipengele hicho haikuyeyuka, kiliyeyushwa kwa kunyofolewa, kimya kimya na ku vanish into thin air!.

Kipengele hicho, nimekuwa nakiulizia sana kwa muda mrefu toka kwa viongozi wa Chadema, kuhusu kipengele hicho cha ukomo wa uongozi ndani ya katiba ya Chadema, kilitowekaje?, kiliondolewa au kiliyeyuka tuu chenyewe?

Hoja ya kunyofolewa kwa kipengele hicho, niliibua hapa Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Angalia nilichojibiwa na Dr. Slaa
WanaJF,

Pamoja na kuwa sitaki kuingilia mjadala katika hatua hii, naomba kuthibitisha kuwa:
I) Katibu Mkuu wa Chadema, kwa mujibu wa Katiba na Kanuni ya Chadema, ndiyo mhimili mkuu na mwenye jukumu la kutunza na kuhakikisha Katiba ya Chama inatunzwa.

2) Nataka kuwahakikishia wanachadema wote, kuwa nilikuwepo nimekuwa ndani ya Chadema kuanzia 1998 ambapo nilikuwa Makamu Mwenyekiti Bara, na baadaye 2003 Kaimu Katibu Mkuu, na hatimaye Katibu Mkuu. Hivyo nimeshiriki kikamilifu kuandaa Katiba ya 2004 na pia Katiba ya 2006 baada ya Rebranding ya Chama. Nataka niwahakikishie wanachadema, hakuna toleo lolote la Katiba ndani ya Chadema imeweka " muda wa Uongozi kuwa vipindi viwili tu", kuanzia Katiba aliyoiasisi Mzee Mtei na kupitishwa na Mkutano Mkuu, wala si ya 2004 au ya 2006. Kama kuna mtu anasema ilikuwepo na imeondolewa kinyemela, basi aonyeshe kifungu hicho kwenye Katiba yeyote ile, au miniti za kikao chochote kile.

3. Mimi Dr Slaa, ndiye niliyewasilisha Miniti za Mkutano Mkuu wa 2006 kwa Msajili ikiambatana na Katiba iliyopitishwa na Mkutano Mkuu. Tulichobishana Mimi na Msajili, na kwa maandishi, ni kuwa Msajili alit aka nimwasilishie nakala ya Katiba kwa Kiingereza. Nilimkatalia kwa msingi kuwa Katiba yetu ilipitishwa na Mkutano Mkuu kwa kiswahili na Mkutano Mkuu na hivyo siwezi Mimi kumpelekea kwa Kiingereza. Msajili alidai kuwa ni hitaji la kisheria. Nilimjibu kuwa sheria hiyo inapaswa kufanyiwa marekebisho. Hata hivyo, baadaye tulikubaliana kuwa nitengeneze " literal translation" lakini kwa mahitaji ya kisheria itatumika Katiba ya Kiswahili ambayo ndiyo iliyopitishwa na Mkutano Mkuu. Hivyo, ninathibitisha kuwa hakuna kipengele chochote kilichoingizwa kinyemela.

Wanachadema, wapenzi, na wananchi kwa ujumla, huo ndio ukweli. Kama mtu anadhani kuna utata aende kwa Msajili akague Katiba ya 1992, 2004 na 2006, nadhani utaratibu wa Msajili itaruhusu ukaguzi huo. Ndio njia pekee ya kuacha kabuni na kuwa watabiri kwa misingi ya waganga wa kienyeji. Tufanye kaki kisayansi, na tusiwatie hofu wananchi bila sababu.

Kama mtu Ana ajenda yake ya siri, huyo hatuwezi kumsaidia! Wananchi, tuna mambo ya muhimu zaidi kuliko hizi propaganda, tunahitaji kutumia muda wetu kwa mambo hayo, mathalan madai ya Katiba Mpya, kupigania maslahi ya Taifa na Watanzania hasa walala hoi ambao kila siku wanazidi kupigika, kupambana na manyanyaso Kama yaliyotokea Serengeti na Babati ambao wananchi wameteswa viajabu katika nchi inayojitangaza kuwa na utawala wa sheria nk.

Jibu la Dr. Slaa linaonyesha, licha ya huyu kuwa ni mtendaji mkuu wa Chadema, alipaswa kuijua katiba ya Chadema kinyume nyume!, lakini Dr. Slaa kumbe haijui katiba ya Chadema wala hajui uwepo wa kipengele hicho hivyo yeye akasema hakijawahi kuwepo!.

Mtu wa pili kulijibia hili ni J.J Mnyika, yeye alijibu
Pasco nimesoma mjadala ulioanzisha na majibu ya Dr Slaa. Kabla ya kusoma mjadala huu, niliitikia mwito wa Mtoi kwenye Jukwaa la Wanamabadiliko na nikaandika kwa kirefu kuhusu suala hili ambalo mimi nilishiriki kwa karibu sana nikiwa sehemu ya timu zote tatu zilizohusika na mchakato wa kukusanya maoni ya wanachama kwa ajili ya kuandika katiba, kanuni, itifaki na maadili ya chama pamoja na miongozo ya mabaraza ya chama. Naomba Mods muuweke waraka huo ambao nitawatumia kwa barua pepe au mnaweza kuuchukua kutoka huko. Nimekubaliana na katibu mkuu kuna marekebisho kwenye majibu yake ya awali, katiba ya mwaka 2004 iliondolewe katika orodha ya katiba alizozitaja. Suala la kwamba kuna kipengele kiliondolewa kinyemela halina ukweli, na kilichofanyika 2006 ni kuandika katiba upya kama ambavyo nimeeleza kwenye majibu hayo. Baada ya majibu hayo kusomwa, kama kuna masuala yanahitaji ufafanuzi wa kichama kuhusu suala hili la katiba na mengine au maoni yangu binafsi nitafanya hivyo leo kati ya saa 9 mpaka 10 Jioni. Niko kwenye kikao, baada ya hapo nitakuwa kwenye mkutano. Nikihitajika baadae nitarejea tena. Mjadala mwema. JJ
Jibu hili la Mnyika linaonyesha kipengele hicho hakikujadiliwa popote, hivyo kiliachwa kwa kuwa redundant.

Sasa jana ndio Tundu Lissu amefichua ukweli, kumbe kuna watu wakikijadili kipengele hicho kimya kimya bila Dr.Slaa na Mnyika kujua na kuamua kukinyofoa kimya kimya bila kuwasilishwa wala kujadiliwa!.
Kipengele chenyewe ni hiki
Ukomo wa Uongozi Ulionyofolewa Kinyemela 2006.png

Kwa mujibu wa Tundu Lissu, sababu za kukiondoa ni changamoto ya kupata viongozi bora, kuwa kipindi cha miaka 10, hakitoshi kupika viongozi hivyo inapofika kipindi cha uchaguzi wa ndani, Chadema imekuwa ikipata changamoto ya kupata watu wa kujaza nafasi za viongozi waliotimiza umri wa miaka 10, hivyo wakaamua kukifuta kipengele hicho!.

Kiukweli kabisa kama chama hakina succession plan na hakuna grooming yoyote ya future leaders, na kipindi cha miaka 10 kinaonekana hakitoshi!, hii ni dalili ya incompetence ya aina fulani kwenye succession plan yao, na unaweza kukuta mpaka sasa ndani ya Chadema hakuna maandalizi yoyote ya succession plan ya Mwenyekiti wala hakuna grooming yoyote ya mtu yoyote wa kumpokea Mbowe uenyekiti!.

Lissu alipoulizwa kuhusu yeye kugombea urais 2025 alijibu kwanza katiba, alipobanwa sana akasema ndio atagombea!. That was a mistake!. Kwa vile Chadema bado hawajafanya kikao chochote cha kumteua mgombea wake wa urais wa 2025, hakuna ubaya wowote kwa mwana Chadema yeyote kuwa a wishful thinker kugombea urais 2025 lakini kutamka kwenye TV kuwa yes nitagombea wakati hakuna kikao chochote kilichomteua ni very dangerous!.

He who pays the piper, may call the tune!, whoever is paying the Chadema piper ndio may call the tune, nani agombee Chadema ili usimsumbue yule Malkia wetu, ikitokea sio Lissu, na huku Lissu ameisha tangaza kugombea, huko ndani kutakalika?.

Viongozi wasema ukweli wa type ya Lissu, ndio wanaolifaa taifa letu, na kwavile nilisema Lissu anafanana na Magufuli kwa mambo matatu, moja ni hili la ukweli, na hayo mawili yaliyobakia Lissu ni zaidi ya Magufuli, kama ikitokea Tundu Lissu akagombea tena urais na akachaguliwa kuwa rais wa JMT, then maendeleo ya Tanzania yatapaa maana Lissu ni zaidi ya Magufuli kwa hayo mengine mawili.

Hongera sana Tundu Lissu, jana umeongea vizuri kwenye ITV, hukutaja taja tena majina ya waliokushambulia.

Pia umesema dereva wao yuko Ubelgiji akihitajika kuhojiwa serikali inawaandikia serikali ya Belgium anarudishwa nchini kuhojiwa, kumbe Lissu hajui kuwa Tanzania hatuna mkataba wa extradition act na Belgium!.

Nimefurahi Lissu ameongea huku ametulia bila Jazba bila kutukana na au lugha ya maudhi.

Kilicho nifurahisha zaidi ni Tundu Lissu kuwa mkweli daima, keep on telling the truth and the truth will set you free!. Lissu akiendelea hivi, soon atakuwa like a real politician tena presidential material na sio mwanaharakati kama alivyo sasa!. Big up sana Bwana mdogo wangu wa Ilboru.

Paskali
 
Duh

Mbona kajibu vizuri tu jana

Kusema atagombea uRais hajamaanisha wengine wasichukue fomu hili linaeleweka vizuri mchakato ulivyo
Usimtetee alivyojibu it's as if Tundu Lissu ndiye mgombea urais wa Chadema 2025!.
The right answer ilikuwa kwa vile Chadema bado hatujaanza mchakato wa mgombea urais wa JMT kwa 2025, mchakato ikianza, nitashiriki nikipitishwa nitagombea!. Utasemaje utagombea!, umepitishwa na nani?!. Ingekuwa ni Zitto alipofanya niki alichofanya Zitto, unakumbuka nini kilitokea?.
CCM ndio huruhusiwi kusema wakati Rais hajaingia muhula wa pili
Yes huu ndio utaratibu wao!.
P
 
Usimtetee alivyojibu it's as if Tundu Lissu ndiye mgombea urais wa Chadema 2025!.
The right answer ilikuwa kwa vile Chadema bado hatujaanza mchakato wa mgombea urais wa JMT kwa 2025, mchakato ikianza, nitashiriki nikipitishwa nitagombea!. Utasemaje utagombea!, umepitishwa na nani?!. Ingekuwa ni Zitto alipofanya niki alichofanya Zitto, unakumbuka nini kilitokea?.

Yes huu ndio utaratibu wao!.
P
Kwani Kugombea maana yake nini?

Ninavyofahamu Watia Nia wote ndani ya Chama ni Wagombea na Tume ya Uchaguzi.pekee ndio hutangaza Wagombea Wateule
 
Lengo la mleta mada ni kutaka kusema CHADEMA au Lisu ni dikteta au kuna udikteta....ila kazunguuuka.
Sawa, hayo ni maoni yako.
Kikubwa wana CHADEMA wanakubaliana kwa kila jambo, ndio utaratibu wao waliouamua.
Vinginevyo ungeshuhudia migogoro kama ile ya NCCR.
 
Una usanii mwingi sana, japo umeonesha kuridhishwa na majibu ya Mnyika, lakini bado unasema Mnyika na Dr. Slaa hawakushirikishwa kwenye kuondolewa hicho kipengele, sasa kama Mnyika aliyekuelewesha hakushirikishwa kwenye hilo, yeye alifahamu vipi kuhusu hicho kipengele ulichoulizia?

Halafu unaandika mambo mengi yasiyohitajika, habari za shule mlizosoma, tabia za Lissu kama vile uliishi nae nyumba moja, mgombea wa CCM 2025 na mengine mengi, ili kuwachanganya watu wasione usanii wako ulipouweka.
 
Unaweza kuteuliwa na Chama lakini Tume ya Uchaguzi ikakukata vilevile, kwahiyo Mgombea hutangaza na Tume vyama vinaendesha mchakato tu
hapo ndio tunahitaji sheria za uchaguzi kufanyiwa marekibisho,tume ya uchaguzi ipange na kusimamia uchaguzi na mwisho imtangaze mshindi tu swala la kupitisha wagombea wapitishwe na vyama husika, na hatimaye wananchi tupige kura kumchagua kiongozi tunayemtaka
 
Usimtetee alivyojibu it's as if Tundu Lissu ndiye mgombea urais wa Chadema 2025!.
The right answer ilikuwa kwa vile Chadema bado hatujaanza mchakato wa mgombea urais wa JMT kwa 2025, mchakato ikianza, nitashiriki nikipitishwa nitagombea!. Utasemaje utagombea!, umepitishwa na nani?!. Ingekuwa ni Zitto alipofanya niki alichofanya Zitto, unakumbuka nini kilitokea?.

Yes huu ndio utaratibu wao!.
P
Acha kuchanganya mambo, Zito alitaka kugombea urais akiwa CDM? Lisu yuko sahihi kusema atagombea, suala la kupitishwa na chama chake yeye sio muamuzi. Hivi karibuni kwenye mikutano ya hadhara, Mnyika amesema mwanachama yoyote anayetaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CDM aanze kuonyesha nia. Je Lisu amefanya kosa gani kuonyesha nia?
 
Hakuna ukomo lakini hakuna kiongozi wa KUPITA BILA KUPINGWA (kama waziri mkuu alivyojipitisha kwenye jimbo lake), viongozi wanapatikana kwa kushindanishwa. Ndio sababu hata Sumaye baada ya KUBWAGWA akakimbia huko. Katiba mpya ndio utakuwa MWAROBAINI wa haya mambo, tuiunge mkono sasa..
 
Wanabodi
Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!.

Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha kuwa kazi uandishi wa habari, "journalism is to tell nothing but the truth"

Hivyo mimi kama mwandishi wa habari, I have been telling the truth, writing the truth, until nilipogundua ukiwa mkweli mno , haswa kwa kuusema ukweli mchungu ambao watu hawapendi kusikia, utachukiwa and sometimes ni hatari hata kwako na kwa maisha yako.
Tumeyashuhudia kwa waandishi wakweli kama kuna Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda and the like!.

Uandishi wa habari ni sawa na kazi ya siasa, siasa za ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli ni siasa za kweli na wanasiasa wanaosema ukweli ndio wanasiasa wa ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli. JPM alikuwa ni mmoja wao, Tundu Lissu pia yumo!.

Kuna wengi wanadhani kazi ya siasa na wanasiasa ni kazi ya kupiga bla bla, kuwadanganya wananchi kwa ahadi hewa kam kem zisizotekelezeka!.

Hivyo ndivyo walivyo wengi wa wanasiasa wetu wakiwemo baadhi ya viongozi wetu hadi wakuu, sio wakweli daima, ni watu wa blah blah nyingi!.

Ukimuondoa Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa ni mkweli daima, Rais Mwnyi yeye alikuwa ni mkimya sio mtu wa blah blah. Mkapa pia alikuwa mkweli, JK naomba nisimzungumzie ila JPM alikuwa ni mtu mkweli mwenye ukweli sometimes kupitiliza hivyo kumfanya achukiwe!.

Ni ukweli wa JPM ndio uliomfanya aweze kuyatenda yale aliyoyatenda. Kuna wakweli wa type fulani ambao wao ni "hapa kazi tuu", wakitaka jambo lao liwe na lifanyike kwa haraka, kama katiba, sheria, taratibu na kanuni, ni vikwazo, then wataziweka pembeni na kulifanya jambo lao, na ndio maana JPM alikanyaga katiba ili mambo yaende na kiukweli yalikwenda!. Watu tulinyooka!, nchi ilinyooka, mafisadi, wazembe, walarushwa walinyooka na vyama vilikaza kweli kweli!.

Mimi nimesoma sekondari Ilboru na Tundu Lissu, huyu jamaa Tundu Lissu ni mkweli na yuko bold tangu shuleni!. Kuna vitu vitatu Tundu Lissu anafanana sana na Magufuli, kimoja ni kwenye kuusema ukweli, Tundu Lissu ni mkweli kama JPM!, kwenye kuusema ukweli Lissu atausema no matter what!. Kitu cha pili ambacho Tundu Lissu ni kama Magufuli, naomba nisikitaje hapa kwasababu niliisha kitaja hapa, tena hicho cha pili Tundu Lissu ni zaidi ya Magufuli, hivyo hata ile 2020, mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza Tundu Lissu agombee na Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Ila kama mgombea wa CCM 2025, ni Mwanamke, simshauri Lissu kugombea!, maana kwa mwanamume kushindwa na Mwanamke... itakuwa aibu!.

Jana nimetazama mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV na kumsikiliza kwa makini Tundu Lissu, nikafarijika sana kwa jinsi Tundu Lissu alivyokuwa mkweli.

Mimi kama mwandishi mkweli kazi yangu ni kuuliza, hivyo hili ni bandiko la kuuliza, kumbe Tundu Lissu yuko kama JPM, kwa mambo matatu, JPM ni mtu mkweli. Na Tundu Lissu ni mtu mkweli. Jana meusema ukweli wa jinsi kipengele cha ukomo wa uongozi kilivyoyeyuka toka ndani ya katiba ya Chadema!. Kumbe kipengele hicho haikuyeyuka, kiliyeyushwa kwa kunyofolewa, kimya kimya na ku vanish into thin air!.

Kipengele hicho, nimekuwa nakiulizia sana kwa muda mrefu toka kwa viongozi wa Chadema, kuhusu kipengele hicho cha ukomo wa uongozi ndani ya katiba ya Chadema, kilitowekaje?, kiliondolewa au kiliyeyuka tuu chenyewe?

Hoja ya kunyofolewa kwa kipengele hicho, niliibua hapa Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Angalia nilichojibiwa na Dr. Slaa

Jibu la Dr. Slaa linaonyesha, licha ya huyu kuwa ni mtendaji mkuu wa Chadema, alipaswa kuijua katiba ya Chadema kinyume nyume!, lakini Dr. Slaa kumbe haijui katiba ya Chadema wala hajui uwepo wa kipengele hicho hivyo yeye akasema hakijawahi kuwepo!.

Mtu wa pili kulijibia hili ni J.J Mnyika, yeye alijibu

Jibu hili la Mnyika linaonyesha kipengele hicho hakikujadiliwa popote, hivyo kiliachwa kwa kuwa redundant.

Sasa jana ndio Tundu Lissu amefichua ukweli, kumbe kuna watu wakikijadili kipengele hicho bila Dr.Slaa na Mnyika kujua na kuamua kiondolewe kimya kimya bila kuwasilishwa wala kujadiliwa!.

Kwa mujibu wa Tundu Lissu, sababu za kukiondoa ni changamoto ya kupata viongozi bora, kuwa kipindi cha miaka 10, hakitoshi kupika viongozi hivyo inapofika kipindi cha uchaguzi wa ndani, Chadema imekuwa ikipata changamoto ya kupata watu wa kujaza nafasi za viongozi waliotimiza umri wa miaka 10, hivyo wakaamua kukifuta kipengele hicho!.

Kiukweli kabisa kama chama hakina succession plan na hakuna grooming yoyote ya future leaders, na kipindi cha miaka 10 kinaonekana hakitoshi!, hii ni dalili ya incompetence ya aina fulani kwenye succession plan yao, na unaweza kukuta mpaka sasa ndani ya Chadema hakuna maandalizi yoyote ya succession plan ya Mwenyekiti wala hakuna grooming yoyote ya mtu yoyote wa kumpokea Mbowe uenyekiti!.

Lissu alipoulizwa kuhusu yeye kugombea urais 2025 alijibu kwanza katiba, alipobanwa sana akasema ndio atagombea!. That was a mistake!. Kwa vile Chadema bado hawajafanya kikao chochote cha kumteua mgombea wake wa urais wa 2025, hakuna ubaya wowote kwa mwana Chadema yeyote kuwa a wishful thinker kugombea urais 2025 lakini kutamka kwenye TV kuwa yes nitagombea wakati hakuna kikao chochote kilichomteua ni very dangerous!.

He who pays the piper, may call the tune!, whoever is paying the Chadema piper ndio may call the tune, nani agombee Chadema ili usimsumbue yule Malkia wetu, ikitokea sio Lissu, na huku Lissu ameisha tangaza kugombea, huko ndani kutakalika?.

Viongozi wasema ukweli wa type ya Lissu, ndio wanaolifaa taifa letu, na kwavile nilisema Lissu anafanana na Magufuli kwa mambo matatu, moja ni hili la ukweli, na hayo mawili yaliyobakia Lissu ni zaidi ya Magufuli, kama ikitokea Tundu Lissu akagombea tena urais na akachaguliwa kuwa rais wa JMT, then maendeleo ya Tanzania yatapaa maana Lissu ni zaidi ya Magufuli kwa hayo mengine mawili.

Hongera sana Tundu Lissu, jana umeongea vizuri kwenye ITV, hukutaja taja tena majina ya waliokushambulia.

Pia umesema dereva wao yuko Ubelgiji akihitajika kuhojiwa serikali inawaandikia serikali ya Belgium anarudishwa nchini kuhojiwa, kumbe Lissu hajui kuwa Tanzania hatuna mkataba wa extradition act na Belgium!.

Nimefurahi Lissu ameongea huku ametulia bila Jazba bila kutukana na au lugha ya maudhi.

Kilicho nifurahisha zaidi ni Tundu Lissu kuwa mkweli daima, keep on telling the truth and the truth will set you free!. Lissu akiendelea hivi, soon atakuwa like a real politician tena presidential material na sio mwanaharakati kama alivyo sasa!. Big up sana Bwana mdogo wangu wa Ilboru.

Paskali

Mkuu tatizo la bandiko lako ni kujengwa kutokea katika false pretext yaani msingi batili.

Hoja kutokea kwenye msingi batili inasimama namna gani?

Kwenye bandiko lako umesema:

Uandishi wa habari ni sawa na kazi ya siasa, siasa za ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli ni siasa za kweli na wanasiasa wanaosema ukweli ndio wanasiasa wa ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli. JPM alikuwa ni mmoja wao, Tundu Lissu pia yumo!.

Kumbuka JPM alitwambia mengi ya uongo:

1. Kwamba alikuwa akijenga miradi yote kwa pesa za ndani.
2. Kwamba alikuwa hakopi pesa kutokea nje.
3. Kwamba Corona haikuwapo bali iLe vita vya mabeberu dhidi yake.
4. Kisa cha mapesa ya Plea bargaining kila mtu anajua ilikuwaje.
5. Kulikuwa na upigaji mwingi kwenye miradi yake akijifanya mzalendo.
6. Alichomfanyia CAG Assad kinajulikana.
7. Waliopotea, kujeruhiwa, kudhulumiwa, kuhujumiwa na hata kuuwawa siyo habari mpya tena.
8. Ujanja ujanja wa kununua wapinzani na chaguzi za ghiliba siyo mapya Kwa huyo mheshimiwa.
9. Nk nk.

Ni ukweli upi unaotaka kumwaminisha nao nani kuwa huyo bwana alikuwa nao?

Zingatia kauli yako hiyo ni ya mwanzoni kabisa kwenye bandiko lako. Kwamba kauli yako ya msingi hiyo ni batili, jengo lako basi litakuwa je imara kwenye msingi magumashi kama huo?

Inakuwa vigumu kuelewa au hata kujaribu kukufuata unakoelekea kwenye bandiko lako refu au fupi, wakati msingi wa hoja yako nzima haupo.

Bwana Mayalla msema ukweli ni mpenzi wa Mungu:

"Hoja yako ni point ab initio!"
 
Paschal kwa sasa huandiki ukweli unaojinasibisha kuuandika na kuuamini. Uchawa, au tuseme ukupe na kujipendekeza kumeondoa ufahamu wako wote na badala yake kichwani mwako kumebaki uzuzu wa kujitakia. Huwezi kumfananisha Magufuli na mtu yeyote kwenye kusema ukweli.

Zaidi ningekuona unaandika ukweli kwa kumlinganisha Hayati Magufuli na shetani yeyote unayemjua kwa jina lolote.

Huyu Magufuli aliyekuwa akitudanganya mchana kweupe kuwa miradi yote mikubwa anajenga kwa fedha ya ndani wakati anakopa mikopo mikubwa ya kibiashara yenye riba kubwa kwa Siri leo ni mkweli?

Mtu aliyetudanganya kuwa korona imekwisha huku hadi wasaidizi wake wa karibu wanapukutika kwa ugonjwa huo ni mkweli? Mtu aliyetudanya kuwa tunawadai Acacia trilioni 360 huku akijua kuwa mitaji yote ya kampuni hiyo na kampuni mama Duniani kote haifiki ht tr 200 ni mkweli? Acha uchawa wa kijinga Paschal. Tunakuheshimu sana.

Halafu unadai Tundu Lissu alikosea kusema atagombea urais. Kuna ubaya gani hapo? Unajifanya hujui kugombea uraisi wa Tanzania unaanzia wapi? Unajifanya hujui kuaa ukitaka kuvombea urais lazima uanzie kwenye chama chako?

Mtu akisema atangombea urais unajifanya hujui ataanzia kwenye chama chake ndo ateuliwe kugombea uraisi rasmi? Umeandika haya ili kuwafurahisha mazuzu wenzio wa CCM?

Unatia aibu Paschal. Wewe si wa type hiyo hata kama ni lazima ujifanye zuzu ndo upate kula yako.
 
Pascal
With due respect.Hoja zako ni nzuri na zinaeleweka.Unapoharibu ni kushauri kwamba ikiwa mgombea wa
CCM mwaka 2025 ni mwanamke asigombee kwani kushindwa na mwanamke ni aibu kwa mwanaume.
What! Pamoja na elimu yako bado upo nyuma sana kwenye masuala ya kuheshimu haki za binadamu.
Mantiki ya hoja yako ni kwamba mtu anakuwa qualified kufanya kazi yake kwa sababu ya gender?
Mawazo yako ni mawazo muflis sana na una bahati unaweza kudai hivyo hapa Tanzania na usionekane kioja.Badilika wacha kuishi kama unaishi karne ya 13.Dunia imebadilika watu wanaangalia uwezo sio una nini katikati ya miguu.By the way mimi ni mwanaume.
 
Yaani unaandika kana kwamba wewe pekee ndiye uliyefuatilia mahojiano hayo..

Honestly, jana Tundu Lissu alikuwa very intelligent ktk Kila kauli aliyokuwa anaitoa..

Alijua nyie mahasimu wa CHADEMA mngefuatilia pia na kutafuta kosa kwenye kila neno atakalotamka ili iwe nyundo ya kumpondea yeye binafsi na CHADEMA yake. Unfortunately, hakuna mahali alijikwaa unless wewe uwe umetazama na kusikiliza clip nyingine..

Kuhusu kuondolewa ukomo wa uongozi wa kuchaguliwa ndani ya CHADEMA alisema haya;

1. Hakikunyofolewa kinyemela kama unavyotaka kuaminisha watu hapa bali alieleza kwa uwazi na ufasaha kabisa kuwa kiliondolewa kwa kufuata utaratibu wa kikatiba. Na chombo chenye mamlaka ndani ya chama kupitisha mabadiliko yoyote ya katiba ni baraza kuu (BK) au kwenu nyie huko CCM mnakiita chombo hiko "mkutano mkuu"

Na kama ni makubaliano ya wana CHADEMA wenyewe kuwa kusiwe na ukomo kwa uongozi wa kuchaguliwa ngazi zote, kwamba mtu anaweza kugombea mara nyingi kwa kadiri awezavyo ili mradi ana uwezo na anakubalika, tatizo liko wapi..?

2. Kuhusu yeye kugombea u - Rais mwaka 2025. Alisema crystal clear kabisa, kwamba kwa sasa attention na focus ya chama - CHADEMA iko kwenye "katiba MPYA.....katiba mpya.....katiba mpya...!" na siyo nani atagombea nafasi gani..

Hata hivyo Farhia Middle aliendelea kumkaba koo ajibu swali lile la iwapo atagombea au la kulichomekea Kwa style nyingine kwamba " lakini si una ndoto hiyo"

Mwisho wa siku naye akajibu kwa kusema, YES, NDOTO NINAYO na NDOTO hubaki kuwa ndoto tu mpaka itimie..!

Sasa bwana Pascal Mayalla Kuna tatizo Gani kwenye jibu hilo? Mbona unalipakapaka rangi kishari na kulinganisha na mambo yaliyokwishaga pita miaka mingi ya kina Zito Kabwe? Nia na lengo lako ni nini?

Hivi waandishi wa habari "wasema ukweli mtupu tu" wa sampuli yako kama unavyojidai ndiyo wako hivi? Mbona hapa unajaribu kupotosha kwa makusudi kabisa mantiki ya majibu ya Rais wa mioyo yetu Tundu Lissu kana kwamba sisi wengine ni wajinga tu kwako na hatukufuatilia mahojiano hayo?

Kuna Chawa mwengine mmoja anaitwa Jidu La Mabambasi naye kaja na propaganda za upotoshaji wa kijinga kabisa..

Anamlalamikia Tundu Lissu ni kwanini hakueleza CHADEMA inawezaje kufanya tofauti na CCM iwapo itapewa nchi? Kwa lugha nyingine, eti Tundu Lissu angeeleza CHADEMA inawezaje kuwa mbadala wa CCM iwapo itachukua nchi..

Mwisho huyu nguli wa JF Jidu La Mabambasi ambaye siku hizi kawa Chawa wa CCM kwa 100% na kubeba tabia zote za kichawachawa, aka - coclude hoja yake ya kichawa kwa kusema kwa kiingereza uchwara chake kuwa;

".....oooh, Tundu Lissu failed to use that rare opportunity.."

Sasa mtu unajiuliza, Tundu Lissu kaitwa na ITV kuhojiwa.

Hawa ITV walikuwa na maswali yao ya mambo waliotaka kuyafahamu toka kwa TL na CHADEMA. Unadhani ingekuwaje Tundu Lissu angeamua kijitungia maswali yake mwenyewe NJE ya utaratibu wa wenyeji wake?

Si angeonekana mwehu bila shaka na mngekuwa na hoja mbaya zaidi kumhusu na kuihusu CHADEMA..?

Yaani huyu Jidu La Mabambasi anafikiri Tundu Lissu ni kama Rais Samia Suluhu Hassan au ndugu yake Mwendazake Rais John P. Magufuli au viongozi wengine wa CCM ambao wao kama wanaenda kuhojiwa na chombo cha habari, hutanguliza maswali wanayotaka waulizwe..!

Huo ujinga haupo CHADEMA tafadhali..!!!
 
Wanabodi
Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!.

Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha kuwa kazi uandishi wa habari, "journalism is to tell nothing but the truth"

Hivyo mimi kama mwandishi wa habari, I have been telling the truth, writing the truth, until nilipogundua ukiwa mkweli mno , haswa kwa kuusema ukweli mchungu ambao watu hawapendi kusikia, utachukiwa and sometimes ni hatari hata kwako na kwa maisha yako.
Tumeyashuhudia kwa waandishi wakweli kama kuna Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda and the like!.

Uandishi wa habari ni sawa na kazi ya siasa, siasa za ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli ni siasa za kweli na wanasiasa wanaosema ukweli ndio wanasiasa wa ukweli wa kuleta maendeleo ya kweli. JPM alikuwa ni mmoja wao, Tundu Lissu pia yumo!.

Kuna wengi wanadhani kazi ya siasa na wanasiasa ni kazi ya kupiga bla bla, kuwadanganya wananchi kwa ahadi hewa kam kem zisizotekelezeka!.

Hivyo ndivyo walivyo wengi wa wanasiasa wetu wakiwemo baadhi ya viongozi wetu hadi wakuu, sio wakweli daima, ni watu wa blah blah nyingi!.

Ukimuondoa Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa ni mkweli daima, Rais Mwnyi yeye alikuwa ni mkimya sio mtu wa blah blah. Mkapa pia alikuwa mkweli, JK naomba nisimzungumzie ila JPM alikuwa ni mtu mkweli mwenye ukweli sometimes kupitiliza hivyo kumfanya achukiwe!.

Ni ukweli wa JPM ndio uliomfanya aweze kuyatenda yale aliyoyatenda. Kuna wakweli wa type fulani ambao wao ni "hapa kazi tuu", wakitaka jambo lao liwe na lifanyike kwa haraka, kama katiba, sheria, taratibu na kanuni, ni vikwazo, then wataziweka pembeni na kulifanya jambo lao, na ndio maana JPM alikanyaga katiba ili mambo yaende na kiukweli yalikwenda!. Watu tulinyooka!, nchi ilinyooka, mafisadi, wazembe, walarushwa walinyooka na vyama vilikaza kweli kweli!.

Mimi nimesoma sekondari Ilboru na Tundu Lissu, huyu jamaa Tundu Lissu ni mkweli na yuko bold tangu shuleni!. Kuna vitu vitatu Tundu Lissu anafanana sana na Magufuli, kimoja ni kwenye kuusema ukweli, Tundu Lissu ni mkweli kama JPM!, kwenye kuusema ukweli Lissu atausema no matter what!. Kitu cha pili ambacho Tundu Lissu ni kama Magufuli, naomba nisikitaje hapa kwasababu niliisha kitaja hapa, tena hicho cha pili Tundu Lissu ni zaidi ya Magufuli, hivyo hata ile 2020, mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza Tundu Lissu agombee na Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Ila kama mgombea wa CCM 2025, ni Mwanamke, simshauri Lissu kugombea!, maana kwa mwanamume kushindwa na Mwanamke... itakuwa aibu!.

Jana nimetazama mahojiano ya Tundu Lissu kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV na kumsikiliza kwa makini Tundu Lissu, nikafarijika sana kwa jinsi Tundu Lissu alivyokuwa mkweli.

Mimi kama mwandishi mkweli kazi yangu ni kuuliza, hivyo hili ni bandiko la kuuliza, kumbe Tundu Lissu yuko kama JPM, kwa mambo matatu, JPM ni mtu mkweli. Na Tundu Lissu ni mtu mkweli. Jana meusema ukweli wa jinsi kipengele cha ukomo wa uongozi kilivyoyeyuka toka ndani ya katiba ya Chadema!. Kumbe kipengele hicho haikuyeyuka, kiliyeyushwa kwa kunyofolewa, kimya kimya na ku vanish into thin air!.

Kipengele hicho, nimekuwa nakiulizia sana kwa muda mrefu toka kwa viongozi wa Chadema, kuhusu kipengele hicho cha ukomo wa uongozi ndani ya katiba ya Chadema, kilitowekaje?, kiliondolewa au kiliyeyuka tuu chenyewe?

Hoja ya kunyofolewa kwa kipengele hicho, niliibua hapa Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa

Angalia nilichojibiwa na Dr. Slaa

Jibu la Dr. Slaa linaonyesha, licha ya huyu kuwa ni mtendaji mkuu wa Chadema, alipaswa kuijua katiba ya Chadema kinyume nyume!, lakini Dr. Slaa kumbe haijui katiba ya Chadema wala hajui uwepo wa kipengele hicho hivyo yeye akasema hakijawahi kuwepo!.

Mtu wa pili kulijibia hili ni J.J Mnyika, yeye alijibu

Jibu hili la Mnyika linaonyesha kipengele hicho hakikujadiliwa popote, hivyo kiliachwa kwa kuwa redundant.

Sasa jana ndio Tundu Lissu amefichua ukweli, kumbe kuna watu wakikijadili kipengele hicho bila Dr.Slaa na Mnyika kujua na kuamua kiondolewe kimya kimya bila kuwasilishwa wala kujadiliwa!.

Kwa mujibu wa Tundu Lissu, sababu za kukiondoa ni changamoto ya kupata viongozi bora, kuwa kipindi cha miaka 10, hakitoshi kupika viongozi hivyo inapofika kipindi cha uchaguzi wa ndani, Chadema imekuwa ikipata changamoto ya kupata watu wa kujaza nafasi za viongozi waliotimiza umri wa miaka 10, hivyo wakaamua kukifuta kipengele hicho!.

Kiukweli kabisa kama chama hakina succession plan na hakuna grooming yoyote ya future leaders, na kipindi cha miaka 10 kinaonekana hakitoshi!, hii ni dalili ya incompetence ya aina fulani kwenye succession plan yao, na unaweza kukuta mpaka sasa ndani ya Chadema hakuna maandalizi yoyote ya succession plan ya Mwenyekiti wala hakuna grooming yoyote ya mtu yoyote wa kumpokea Mbowe uenyekiti!.

Lissu alipoulizwa kuhusu yeye kugombea urais 2025 alijibu kwanza katiba, alipobanwa sana akasema ndio atagombea!. That was a mistake!. Kwa vile Chadema bado hawajafanya kikao chochote cha kumteua mgombea wake wa urais wa 2025, hakuna ubaya wowote kwa mwana Chadema yeyote kuwa a wishful thinker kugombea urais 2025 lakini kutamka kwenye TV kuwa yes nitagombea wakati hakuna kikao chochote kilichomteua ni very dangerous!.

He who pays the piper, may call the tune!, whoever is paying the Chadema piper ndio may call the tune, nani agombee Chadema ili usimsumbue yule Malkia wetu, ikitokea sio Lissu, na huku Lissu ameisha tangaza kugombea, huko ndani kutakalika?.

Viongozi wasema ukweli wa type ya Lissu, ndio wanaolifaa taifa letu, na kwavile nilisema Lissu anafanana na Magufuli kwa mambo matatu, moja ni hili la ukweli, na hayo mawili yaliyobakia Lissu ni zaidi ya Magufuli, kama ikitokea Tundu Lissu akagombea tena urais na akachaguliwa kuwa rais wa JMT, then maendeleo ya Tanzania yatapaa maana Lissu ni zaidi ya Magufuli kwa hayo mengine mawili.

Hongera sana Tundu Lissu, jana umeongea vizuri kwenye ITV, hukutaja taja tena majina ya waliokushambulia.

Pia umesema dereva wao yuko Ubelgiji akihitajika kuhojiwa serikali inawaandikia serikali ya Belgium anarudishwa nchini kuhojiwa, kumbe Lissu hajui kuwa Tanzania hatuna mkataba wa extradition act na Belgium!.

Nimefurahi Lissu ameongea huku ametulia bila Jazba bila kutukana na au lugha ya maudhi.

Kilicho nifurahisha zaidi ni Tundu Lissu kuwa mkweli daima, keep on telling the truth and the truth will set you free!. Lissu akiendelea hivi, soon atakuwa like a real politician tena presidential material na sio mwanaharakati kama alivyo sasa!. Big up sana Bwana mdogo wangu wa Ilboru.

Paskali
P ,umekuwa mkweli na pengine ni seme ile hofu yako ya uandishi wa kweli umepungua,ila nafahamu una mrengo wa wana kijani na kupitia kuisema ukweli unajaribu sana kupigia chapuo upande unao egemea.Hongera kwa hilo,japo kama wanakijani nao wangeelewa na japo kuusema ukweli hata robo tu, maendeleo ya taifa letu yangekuwa mbali sana zaidi ya tulipo leo,🤔
 
Pigania uteuzi toka kwa samia, ya CDM huyawezi. kama maguduli aliyashindwa, wewe huwezi lolote. Pigania uteuzi na siyo kwa njia hii, tafuta other route!
 
Kila paragraph haikosi neno mimi mkweli" mpaka hapa nimepata mashaka na huo ukwel wako!!
 
Back
Top Bottom