Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, kuna shida gani kwenye Website yenu kipengele cha careers?

pangalashaba

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
1,275
1,509
Habari za majukumu great thinkers?

Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote.

Hii inaonesha kuna mchezo mchafu unafanyika ndani ya taasisi hii hasa ikizingatiwa kuna ajira zilitangazwa, watu wakaomba na status ya maombi hayo ilikuwa inaonekana kupitia kipengele hicho cha careers.

Wenye mamlaka tusaidieni ili tuweze kupata suluhu ya shida hiyo au kujua shida nini, na kinachoendelea.
Nawasilisha.
 
Wapandie hukohuko!Achana na kulalamika!
 
Mleta mada kama kwenye website inagoma ,kama upo DSM wapelekee wasifu wako pale headquarters.Nakuombea heri maana hyo benki wanajali sana staff wao ikitokea umepata nafasi hapo .
 
Back
Top Bottom