Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.
Akichangia katika bunge la JMT Mbunge wa Mtera Lusinde ameitaka serikali izingatie matokeo ya sensa katika ugawanywaji wa huduma za kijamii kama shule, hospitali na barabara, anasema huduma hizo lazima ziwe na uwiano na idadi ya watu katika eneo husika.
Ameshangaa kuna maeneo yenye watu wengi...
Hivi Vishikwambi vimetengenezwa China, nimekaa nimefikiria juu ya hizi nchi zetu za Afrika zinavyoandamwa na mataifa yaliyoendelea.
Vipi kama vimeunganishwa na mifumo yao hivyo wakawa wamepata taarifa zetu zote za sensa na kila kitu, sasa wana uelewa wa jamii yetu kiujumla.
Kama ni kwel, hizo...
Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang
SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
Habari wadau.
Najaribu kuwaza ikitokea sensa ya wenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikafanyika. Mtazamo wa wazazi juu ya elimu utabadilika sana.
Kwa hali ya ajira ilivyo,,Ada za mamilioni tunazolipia watoto wetu ni bora tuwanunulie mashamba, mifugo, kuwajengea vyumba vya kupangisha etc...
WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo.
Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA
Utangulizi
Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na Kuhudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, Sekretarieti ya Mkoa, Kamati ya Sensa...
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu linalofanywa na serikali kwa lengo la kukusanya takwimu sahihi na za kina kuhusu idadi ya watu na makazi, na tabia zao.
Sensa hutoa taarifa muhimu kwa maendeleo ya kitaifa na kimataifa katika maeneo kama mipango ya maendeleo, usimamizi wa rasilimali,na...
Sensa ya watu na makazi ni zoezi muhimu sana katika kuhakikisha kuwa serikali inapata taarifa sahihi za idadi ya watu na makazi katika nchi. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala la kufikia malengo ya sensa kutokana na ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji.
Serikali inahitaji...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kupitia takwimu zilizotolewa na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Serikali ina jukumu la kujipanga kwa utekelezaji wa kiuchumi na kijamii.
Ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar katika shughuli fupi ya...
Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali
1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa...
Dah serikali zetu hizi bhana
Ukiachilia mbali uzwazwa wa mtu binafsi wa kutapeliwa na kufahamishana habari za sensa ambapo taarifa zake tayari zipo kwenye Tovuti ya takwimu nbs.go.tz na pdf lishatoka.
Nadhani kunaishu nyingine nyingi za muhimu ambazo serikali zetu zilitakiwa zitilie mkazo kwa...
Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian.
Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
Good Afternoon jamiiforums.
Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?
Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/=
Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini...
We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya .
Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi...
Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.