kikatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  2. BARD AI

    Elon Musk afunguliwa kesi ya madai ya Tsh. Bilioni 326.4 kwa kuwafukuza kazi kikatili Watendaji wa Twitter

    MAREKANI: Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi ya madai wakimtaka Bosi huyo mpya kuwalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 326 kwa kuwaondoa kazini kikatili. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya San...
  3. D

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  4. BARD AI

    Mamia waandamana kupinga Mauaji ya Kikatili dhidi ya Wanawake

    KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024. Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi...
  5. GENTAMYCINE

    Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa Wanawake Kuuawa Kikatili na Waume / Wapenzi wao

    Piteni huko BBC Swahili mkaisome au baadae Saa 2 na dakika 45 fuatilieni marudio ya ufupi ya Kipindi cha Dira ya Dunia muisikilize. Kuanzia sasa ukisikia Dada yako ana Mchumba au Mume au anakaribia Kuolewa na Mwanaume wa Kenya Kwanza mpe Pole kisha muulize Akifa kwa Kipigo Kitakatifu cha...
  6. SACO

    Ipo sababu ya Hamas kumuua Joshua kikatili?

    Nimelia sana hadi machozi yameisha. Nimekuja kuamini kuwa Hamas ni magaidi na wanapaswa kuangamizwa, nimejitahidi kuulizia kama kuna connection kwenda kusaidia kuwaangamiza Hamas lakini nimekosa. Naomba serikali itoe tamko kama Hamas ni magaidi au la! Maana naona nchi imetulia kama hamna...
  7. Msitari wa pambizo

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  8. ngungwangungwa

    Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  9. idaz

    Video: Mauaji ya kikatili Gaza, tunajifunza nini?

    Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa. Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na kuvumiliana. Ushabiki kwenye maisha ya watu kama hivi,ni ulimbukeni na ujinga!
  10. Ritz

    Vikosi vya Israel vinawashambulia kikatili Wakisto wa Orthodox huko Jerusalem kwa kupinga mauaji ya halaiki huko Gaza

    Wanaukumbi. Zionist forces brutally assault Orthodox Jews in the streets of Jerusalem for opposing genocide in Gaza. Haven’t seen this kind of state violence against Jews since Nazi Germany. Images like this destroy the myth that the State of Israel is Jewish.
  11. O

    Ndugu wawili kunyongwa kwa mauaji ya kikatili

    Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma, imewahukumu adhabu ya kifo, wakazi wawili wa kijiji cha Msebei katika Wilaya ya Uvinza baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua kikatili mkata kuni kijijini hapo kwa kutumia shoka. Mtuhumiwa mkuu wa mauaji hayo, Hamis Nzovu ambaye alimkata marehemu...
  12. The Sheriff

    Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
  13. Friday Malafyale

    Auawa kikatili kisa wizi wa mihogo Ruangwa Lindi

    Raia mmoja ambaye hajatambulika kwa haraka amekutwa amekufa kwa kuuliwa na kuchomwa moto hadi kufa. Kwa mujibu wa mtoa taarifa hii, tukio hili limetokea kijiji cha Luchelegwa Ruangwa Lindi njia inayoelekea Nachingwea kuna mwizi ameuawa na kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali usiku wa...
  14. R

    Kuna ugumu gani kwa CHADEMA kukusanya ushahidi wa vinavyodaiwa ni vitendo vya kikatili vya awamu ya Tano na kesi ikafunguliwa?

    Habari JF, Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote. Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia? Je, wao nao pia wanahusika na hayo...
  15. Balqior

    Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

    Utakuta unamu-approach mdada kistaarabu uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi, ambayo pengine yataishia kwenye ndoa, sometimes unachukua namba yake unachat nae kistaarabu, aloo majibu anayojibu unajiuliza sababu ya kukujibu hivyo huoni, useme labda alikukataa halafu unaendelea kumsumbua hakuna...
  16. GENTAMYCINE

    Wanawake acheni Kupiga Kikatili Watoto wenu kwani hamkulazimishwa Kuwazaa

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda kama Watoto na Kucheza nao (japo ni Muoga wa Kuzaa) hivyo nikiona Wanaonewa au Wanateswa huwa Ninaumia mno na hata Mood ya Siku nzima Kuharibika. Nimekutana na Mama Mmoja akimpiga mwanae wa Kumzaa Kofi ambalo hata Mtu mzima akipigwa lazima Vita Vitaanza kwa...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini Ulaya, Marekani, Asia na Middle East Wakosoaji na Watu Werevu wanaheshimika, ila kwa Afrika Wanauliwa Kikatili?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
  18. R

    Waumini wa Nabii GeorDavie wanamjua Mungu? Wana roho ya kikatili wanaweza kummaliza mtu, tuwaombee

    Nimeangalia clip ya wanaojitahidi waumini wa GeorDavie au wafanyabiashara soko la Samunge Arusha utagundua binadamu wanapenda kumsingizia Mungu. Kwanza kwao, tishio la mauaji, as long haligusi watoto wao, siyo shida. Wanaona kama Lema anaigiza kisa kugusa milioni mia moja. Hakuna mcha Mungu...
  19. HERY HERNHO

    Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  20. B

    Geita. Mjamzito auawa kikatili kwa kuchinjwa, wauaji nao wauawa

    Geita. Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba aliyetambuliwa kwa jina la Renata Elias (27), ameuawa kikatili na mtoto wake wa kambo kwa kuchinjwa shingo huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa kifamilia na tamaa ya mali. Tukio hilo lililotokea usiku wa Februari 17, 2023 linadaiwa kufanywa na...
Back
Top Bottom