mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Sijawahi kuona askari akiwa mjamzito. Huwa hawabebi mimba? Mwenye picha ya askari akiwa mjamzito atupie hapa.
  2. Aramun

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nianze na Swali: Watoto wa kuanzia miaka mingapi wanapaswa kulipa nauli za mwendokasi? Mida ya hii jioni huyu dada mjamzito alikuwa na mwanaye wakiwa wanasubiri mwendokasi za Kivukoni. Mtoto alikuwa na miaka kama mitano hivi. Alipoingia kwenye gari cha ajabu mhudumu anayescan ticket akawa...
  3. Tman900

    Urefu wa Mama Mjamzito

    Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu. Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
  4. Informer

    Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  5. Mwachiluwi

    Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

    Hellow, Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua. Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua. Nini kifanyike?
  6. Extrovert24

    Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua?

    Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua ili kuweza kurejesha hali yake kuwa sawa na pia aweze kuwa na maziwa mengi kwaajili ya kumnyonyesha mtoto?
  7. Papaa Mobimba

    KWELI Unywaji wa pombe kwa mjamzito unaweza kupelekea changamoto kwa mtoto atakayezaliwa

    Bado nipo njiapanda, nimesikia kuwa mwanamke mjamzito akinywa pombe kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito basi huweza kusababisha changamoto kubwa sana kwa mtoto. Kuna wajawazito kadhaa nimepata kuwaona wakinywa pombe tena kali sana lakini hizo changamoto kwa watoto wao sijaziona. Baadhi ya...
  8. Kizibo

    Mjamzito anapitia changamoto hizi, je nini chanzo?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza. Anapitia changamoto hizi. ★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia rudia. ★ Kichwa kuuma mara kwa mara. ★ Kuhisi baridi sana mara kwa mara. ★ Kuhisi kizunguzungu...
  9. Huihui2

    Wakati Makonda anatembea na msafara wa magari 50 ya Serikali, huko Handeni mjamzito afariki kwa kukosa huduma

    Makonda ni nani katika nchi hii mpaka atumie rasilimali zote hizi wakati watoto wetu wanakaa chini mashuleni!!Na akina mama wajawazito wanakufa huko Handeni kwa kukosa huduma?
  10. BARD AI

    Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho. Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000 Tayari...
  11. BARD AI

    Tanga: Mjamzito afariki dunia kituo cha afya kwa kukosa Tsh. 150,000

    Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo. Tukio hilo...
  12. MFALME WETU

    Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi

    Habari za sahizi keyboard masters.. Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza. Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi...
  13. OCC Doctors

    Wakati sahihi kwa mjamzito kusafiri

    Wakati mzuri wa kusafiri kwa mjamzito ni vizuri kusafiri katikati ya ujauzito (kuanzia wiki 14 ya ujauzito hadi wiki 28). Kwasababu katika wiki hizi, nguvu zilizopotea wakati mimba ikiwa changa hujirudi upya, ugonjwa wa kutapikana, kichefuchefu hukoma na kuisha, pia mjamzito anaweza kuzunguka...
  14. W

    Hivi mwanamke mjamzito anahitaji kuandaliwa (romance)?!! Anajisikia?!!!

    Ninachofahamu ni kwamba maandalizi ni kwa ajili ya kutafuta utelezi. Sasa mwanamke mjamzito, kwa uzoefu wangu, huwa utelezi upo muda wote (unatokea naturally kama maandalizi ya kuja kwa mtoto). Swali langu kwenu wenye ufahamu ni kutaka kujua kama kuna ulazima wowote wa maandalizi kwake. Swali...
  15. Sildenafil Citrate

    Dalili za hatari kwa ujauzito

    Ujauzito huja na tabia nyingi ambazo baadhi huwa za kawaida huku baadhi zikiwa siyo za kawaida. Ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuzungumza na daktari mara kwa mara ili kuondoa sintofahamu hizi ambazo siyo nzuri kwa afya. Tumekuletea dalili za hatari wakati wa ujauzito ambazo ni lazima...
  16. LA7

    Ulishuhudia mama yako akiwa mjamzito?

    Mimi mdogo wangu wa mwisho anazaliwa nilikuwa sijui chochote hivo nilishtukia tu mama yupo na mtoto hata kipindi akiwa mjamzito sikutambua chochote
  17. Harrykany

    Hivi presha kwa mama mjamzito inatakiwa iwe ngapi?

    Maana ananiambia Mara ya mwisho kwenda alipima presha ilikua 114/98 Leo kaenda eti ipo 93/58 Wamempa tu vidonge vya kutafuna, vipi iyo hali sio hatari kwa afya ya mama na mtoto?
  18. UMUGHAKA

    Mwanamke Akiwa Mjamzito Mambo na Mipango yote Huvurugika!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Sitarajii tena kumpa mimba mwanamke wangu Rehema, akifanikiwa kujifungua salama mwezi wa 10 basi hawa ndio watakuwa watoto wangu wa mwisho na sitotarajia tena kupata watoto kwasababu ni kujifunga kwa mambo yangu!. Kwanza kabisa nipende kumshukuru Mungu...
  19. Myebusi Mweusi

    Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  20. Nyendo

    Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    .......................................................................................... TABORA: Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyetuhumiwa kumbaka Mjamzito wa Wiki 32 aliyekuwa amelazwavkatika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilayani humo...
Back
Top Bottom