geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Pfizer

    Taasisi ya Victoria Foundation yakabidhi taulo za kike kwa shule 25 Mkoani Geita

    Taasisi ya Victoria Foundation kwa kushirikiana na Orica Tanzania inatekeleza mradi wa hatua kwa hatua uitwao Binti Ng'ara, kwa ajili ya kumsaidia mtoto wa kike kupata taulo za kike za kumuwezesha Binti aweze kwenda shule wakati wote hasa wa siku zake za Hedhi. Katika hafla ya Ugawaji wa Taulo...
  2. BARD AI

    Geita: Mkuu wa Wilaya ashangaa Zahanati ya Tsh. Milioni 100 kutokamilika tangu 2019

    Mkuu wa Wilaya ya Geita Hashimu Komba amesikitishwa na kitendo cha ujenzi wa Zahanati iliyopo Kata ya Kasamwa Wilayani humo kutokukamilika toka mwaka mwaka 2019 huku hadi sasa shilingi milioni 100 zikiwa zimeshatumika kwenye ujenzi wake. Akiwa katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika Kasamwa, DC...
  3. Lady Whistledown

    Geita: Walimu washtakiwa kwa Kughushi malipo ya Tsh. Milioni 1.5

    Machi 18, 2024, shauri la Rushwa na Uhujumu Uchumi Na. 7060/2024, lilifunguliwa mbele ya Mhe. Atupye Benson Fungo ambaye ni Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbogwe dhidi ya:- 1. Ambakisye Amani Mfwango ambaye ni Mwalimu Mkuu; 2. Beatrice David Musiba ambaye ni Mwalimu wa Kawaida wote wa...
  4. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC 🆚 Geita Gold FC 📆 14.03.2024 🏟 Azam Complex 🕖 02:15 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 5 Aziz k anachezewa madhambi nje ya 18 Dakika ya 7 Yanga SC wanapata kona...
  5. GoldDhahabu

    Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

    Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012. Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu. Kwa utajiri...
  6. Nehemia Kilave

    Afisa Utawala anahitajika Waja Hospital Geita

    Habari Jf , kuna nafasi ya kazi kwa upande wa afisa utawala Waja Hospital, wenye vigezo hivyo au vinavyo karibiana na hivyo mna karibishwa .
  7. JanguKamaJangu

    Baraza la Madiwani lasimamisha Watumishi watatu Geita

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita, limewafuta kazi watumishi 3 wa Halmashauri hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Kiutumishi . Akitoa Taarifa hiyo katika kikao Maalumu kilichoketi mara baada ya kukamilika kwa Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni...
  8. uran

    FT: Geita Gold FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Kirumba Stadium | 12.02.2024

    Match Day.... #nguvumoja# Kikosi Cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Geita Kinachoanza. Updates... Mpira Unaendelea 06' Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Geita Gold 08' Simba wanapata faulo karibu kabisa na lango la Geita. Inapigwa inakuwa goli kick 15' Simba...
  9. Kaka yake shetani

    Kulivyo Geita tofauti na mabilioni ya dhahabu yaliyopo

    Hii nchi sijui shida hipo wapi yani kuwepo kwa mgodi mkubwa hapo geita na kiwango cha dhahabu inayotoka ni tofauti na mkoa wenyewe hapa geita mjini. nyumba za ovyo kwa wananchi,mazingira mabovu hakuna mipango miji na matukio yaliyopo huku hakuna toofauti na kongo kule goma. nimefika ila mpaka...
  10. JanguKamaJangu

    Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi wa kupotea Kwa Baba na Mtoto Mkoani Geita

    Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi wa taarifa iliyo ripotiwa katika baadhi ya vyombo vya Habari ambayo ilikuwa na kichwa cha habari kisemacho, kashfa Polisi yahusishwa na kutekwa kwa Baba na mwanawe. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 31,2024 msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamshna...
  11. Roving Journalist

    Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  12. K

    Shirika la ICAP halijalipa mishahara wafanyakazi wake walio chini ya Halmashauri Mwanza na Geita kwa miezi mitatu sasa

    Ndugu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, International Center for AIDS Care and Treatment Program - ICAP, Mkoa wa Mwanza, shirika halijalipa mishahara ya watumishi wake kwa miezi 3 sasa. Hakuna taarifa kwanini hawajalipa mishahara kwa miezi 3. DAS na RACC (wasimamizi wa kazi na mikataba) hawatoi...
  13. Roving Journalist

    Sagini aagiza Miradi ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Geita kukamilika kwa wakati

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha Ujenzi wa Miradi yote kwa wakati na kuzingatia ubora. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo Novemba 25, 2023...
  14. JanguKamaJangu

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Jumanne Sagini ametembelea Gereza Mkoani Geita

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini (Mb), ametembelea Gereza Geita lililopo Mkoani Geita na kuzungumza na Wafungwa pamoja na Mahabusu wakati alipofanya ziara yake ya Kikazi Mkoani humo Novemba 25, 2023. Mhe. Sagini amefika Mkoani Geita ikiwa ni ziara yake ya kawaida...
  15. Mkanaani

    Basi gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita?

    Habari zenu, Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita. Asanteni.
  16. Jamii Opportunities

    Coordinator 1 – Training (Dump Truck) at Geita Gold Mining Ltd November, 2023

    Position: Coordinator 1 – Training (Dump Truck) Contract type & Duration: Unspecified Time Contract Department: Human Resources Reporting to: Underground Mining Training Specialist Number of Positions: One (1) Purpose of the Role: To develop the professional capabilities of Haul Truck and...
  17. Jamii Opportunities

    Coordinator 1 – UG Mining Training at Geita Gold Mining Ltd November, 2023

    Position: Coordinator 1 – UG Mining Training Contract type & Duration: Unspecified Time Contract Department: Human Resources Reporting to: Underground Mining – Training Specialist. Number of Positions: One (1) Qualifications: Education “O” Level & Above and Training certification -ToT A...
Back
Top Bottom