Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa Wanawake Kuuawa Kikatili na Waume / Wapenzi wao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Piteni huko BBC Swahili mkaisome au baadae Saa 2 na dakika 45 fuatilieni marudio ya ufupi ya Kipindi cha Dira ya Dunia muisikilize.

Kuanzia sasa ukisikia Dada yako ana Mchumba au Mume au anakaribia Kuolewa na Mwanaume wa Kenya Kwanza mpe Pole kisha muulize Akifa kwa Kipigo Kitakatifu cha Mpenziwe huyo Mkenya angependa azikwe mjini au kijijini?

Oleweni nasi wa Kitanzania ( Watanzania wenzenu ) hapa hapa nchini Tanzania kwani Sisi wala hatupigi Kikatili na hatuui kama Wanaume wa Kenya kwa Kuchiti hatuna Mpinzani dunia nzima.
 
Tunashukuru Jamii Zinaendelea Kuelimika Matukio Ya Kikatili Kwa Kiasi Chake Yanapungua Si Kama Miaka Ya 2000's Kurudi Nyuma.
 
Last week kuna dada amechinjwa kwenye airbnb huko Nairobi (Roysambu)wakenya ni watu hatari sana
Wanawake 703 hufa kila mwaka nchini Kenya kutokana na Kupigwa na Wenza Wao wakati Tanzania ni Wanawake 53 tu.
 
Piteni huko BBC Swahili mkaisome au baadae Saa 2 na dakika 45 fuatilieni marudio ya ufupi ya Kipindi cha Dira ya Dunia muisikilize.

Kuanzia sasa ukisikia Dada yako ana Mchumba au Mume au anakaribia Kuolewa na Mwanaume wa Kenya Kwanza mpe Pole kisha muulize Akifa kwa Kipigo Kitakatifu cha Mpenziwe huyo Mkenya angependa azikwe mjini au kijijini?

Oleweni nasi wa Kitanzania ( Watanzania wenzenu ) hapa hapa nchini Tanzania kwani Sisi wala hatupigi Kikatili na hatuui kama Wanaume wa Kenya kwa Kuchiti hatuna Mpinzani dunia nzima.
Kauli ya CDF uliisikia? Eti nawe unajiita mtz
 
Wanaume wenyewe wazee wa jaba
 
Attachments

  • GErQ8BjMXN4ERwQGADOCS4oeksZjbmdjAAAF.mp4
    9.3 MB
Athari za kupenda na kubwaga moyo ndizo huleta mauaji, tupende kwa kiasi, kwani by nature mwanadamu haaminiki, wala huwezi kusoma facts za ubongo wa mtu mwingine, mdomo hunena tu, nakupenda sana sana, na ubongo usimaanishe hilo kabisa.
Get know that.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom