kigamboni

  1. B

    Maoni yangu kuhusu Paul Makonda na Kigamboni

    Wana jamvi, Niseme tu kwamba ninayo yasema hapa ni maoni yangu binafsi naweza kusahihishwa au la, ni kwamba Paul Makonda anaingia kugombea kwenye Jimbo ambalo alikuwepo Aliye wahi kuwa Naibu Waziri wa Afya, je huyo Waziri mstaafu hagombei tena kwa jimbo hilo? Makonda kuonekana kugmbea huko...
  2. GENTAMYCINE

    Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

    Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua...
  3. J

    Kigamboni: Ndugulile tutakukumbuka kwa kuipigania ardhi yetu isiuzwe kwa mabeberu na akina Methew wa CHADEMA

    Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura. Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao. Wamedai waziri mstaafu Prof...
  4. L

    Plot4Sale Viwanja Kingamboni Mwasonga

    Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3 nyingine umalizie ndani ya muda tutakao kubaliana Vimepimwa na vina hati ukilipa cash unapata hati...
  5. mwanamwana

    Uchaguzi 2020 Sylvester Mujuni 'Mpoki' achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni

    Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo za kugani. Pia soma > Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania > Huyu Mpoki vipi...
  6. D

    Mkandarasi anayejenga lami Kigamboni baada ya daraja (Mnadani) hazingatii kanuni za ujenzi; ni kero kubwa kwa wapita njia

    Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi! Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
  7. ommytk

    Trafiki Kigamboni mbona wengi kiasi hiki barabarani

    Kwa wakazi Kigamboni kuna jambo kidogo linanipa shida barabara za Kigamboni mbona zina askari wa barabarani wengi toka feri mpaka kufika Kongowe unakutwa ushasimamishwa mara 4 daaah hii ni zaidi hata ya mikoani najiuliza huku kuna wavunja sheria wengi au.
  8. J

    Uchaguzi 2020 Ubunge: Butiama Madaraka Nyerere vs Jackton Manyerere, Iringa Steve Nyerere vs Pierre Liquid na Kigamboni Yericko Nyerere vs Paul Makonda!

    Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu. Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza. Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
  9. Kiboko.

    Askari wa usalama barabarani waliopo Kigamboni mnaudhi sana

    Habari wanabodi, Kigamboni sasa imekuwa kama mkoani trafic wenye torch wapo kila barabara, kitu kinachofanya wakazi wa Kigamboni kuhisi kama ni mateso, barabara hazina folen kulazimishwa kutembea speed 50. Mbona Nyerere ,Mandela,Ali Hassan Mwinyi, Barack Obama, Bibi Titi, Morogoro na Bagamoyo...
  10. Acehood

    Naomba kujuzwa bei ya nyumba Avic town, Kigamboni

    Habari wakuu. Hivi zile nyumba(avic town) pale kigamboni, bei yake ina range kuanzia shilingi ngapi?. Yale mazingira yanavutia kwa kweli.
  11. Miss Zomboko

    Makonda atoa siku 10 kwa Wilaya ya Kigamboni kuhakikisha hospitali inaanza kufanya kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo June Mosi baada ya Majengo yote ya Hospital hiyo kukamilika. RC Makonda ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara ya kukagua...
  12. J

    Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
  13. K

    Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

    Habari wakuu, Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo? Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
  14. Erythrocyte

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

    Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya . ====== Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile, ametolea Ufafanuzi Clip...
  15. SankaraBoukaka

    Hivi Traffic Police wa Kongowe Mwisho na SUMATRA, mnafahamu uhuni wa daladala za Kigamboni - Mwandege au mnakula 10%?

    Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda.. Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
  16. hp4510

    Mwenye kiwanja Kigamboni Geza

    Wakuu, Naitaji kiwanja maeneo ya Geza bajeti yangu ni milion 7 Kama kuna mtu yeyote mwenye nacho ani-DM
  17. J

    Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd. Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
  18. S

    Maagizo ya Magufuli kwa Halmashauri ya Kigamboni; "Jengeni ofisi ya CCM". Hivi ni mimi nisiyemuelewa Rais au kuna wengine pia?

    Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo...
  19. Roving Journalist

    Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo...
Back
Top Bottom