tarura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    KERO Nimebambikiwa parking fees na TARURA

    Habari wadau, Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo. Mimi ninafanya shuguli zangu nchini lakini pia huwa Nasafiri sana. Sasa tangu mwaka jana 2023 mwezi wa 5, kuna gari langu nililipark kwangu...
  2. BonnyM9

    Civil Technician/Civil Engineer works

    Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa: 1)Ngazi ya DIPLOMA in Civil Engineering mwaka 2018 2)Ngazi ya BACHELOR in Civil Engineering mwaka 2022 ✓chuo cha MUST. ✓ Uzoefu wa miaka 3+ NATAFUTA NAFASI YA KAZI KATIKA KAMPUNI AMA USIMAMIZI WA MIRADI(SITE) KAMA CIVIL ENGINEER/TECHNICIAN...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Akagua KM 20 za Barabara wa Miguu, Aagiza TANROADS & TARURA Kushirikiana Kusimamia Ubora

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kushirikiana na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) katika usimamizi wa Ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara ikiwemo kushirikiana katika upimaji wa ubora na viwango vya...
  4. Mshobaa

    Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani Tegeta A

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  5. Roving Journalist

    Katavi: Ubovu wa barabara katika Manispaa ya Mpanda, TARURA yanyooshewa kidole

    Ubovu wa barabara nyingi katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi umetajwa kuwa kero katika shughuli za kibinadamu hasa katika kipindi hiki cha masika ambapo barabara nyingi zinaendelea kuharibika na zingine kutelekezwa licha ya ahadi kutolewa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA)...
  6. Chachu Ombara

    Barabara ya Kerai, Mbezi Jogoo ni korofi miaka na mikaka. TARURA kwanini hamuiboreshi?

    Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya Ndumbwi ambapo sasa imepanda hadhi hadi kutoa huduma ya kujifungua kwa wajawazito. Pia kuna shule...
  7. Lole Gwakisa

    TARURA hii imekula kwenu, kuendekeza ujenzi usiozingatia viwango

    TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita. TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini. Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janeth Masaburi Aitaka TARURA Dar Kutatua Kero za Barabara

    MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ( TARURA) kuhakikisha inafanya kila jitihada ya kutatua changamoto za Barabara korofi kwa kuzikarabati ili kuwawezesha wananchi waweze kufanyaka kazi zao za kuitafuta riziki bila...
  9. K

    Serikali (TANROAD NA TARURA) tusaidieni namna ya kuboresha barabara kutoka Kinyanambo C (Mafinga ) - Mlimba

    Kwa heshima na taadhima niiombe serikali kupitia TANROADS NA TARURA kuangalia namna ya kujenga barabara kutoka mafinga,kinyanambo c mpaka mlimba hata kwa kurekebisha au kujenga hata kwa changarawe hasa sehemu zile korofi ili kuwasaidia wananchi kuepuka na adha ya usafiri hasa kipindi cha masika...
  10. Erythrocyte

    Songwe: TARURA yakamilisha kivuko, chagharimu Tsh. Milioni 207 huko Momba

    Kivuko hicho muhimu kinaunganisha maeneo na Mjini na Vijijini. Hiki hapa; ==== Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe wameunganishwa baada ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kukamilisha ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu katika mto Nyamba chenye...
  11. Jamii Opportunities

    Civil Engineer II (4 Posts) at TARURA

    Position Title: Civil Engineer Il (4 Posts) Duty Station: Arumeru District, Arusha District, Monduli District and Ngorongoro District Education / Professional Qualifications A National Form IV [VI Certificate. Holders of Bachelor in Civil Engineering, Environment Engineering or equivalent...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mameneja TARURA Waagizwa Kusimamia Miradi Kikamilifu

    MAMENEJA TARURA WAAGIZWA KUSIMAMIA MIRADI KIKAMILIFU Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amewaagiza Mameneja TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini zinazotekeleza Mradi wa kuboresha miundombinu katika Majiji, Manispaa na Miji (TACTIC) kuhakikisha wanasimamia kwa...
  13. K

    DOKEZO Rais tunakuomba utupie jicho TARURA

    Tunaishukuru Serikali yetu inatoa fedha nyingi sana kwa TARURA ili iendeleze barabara zetu hasa za Vijijini. Kwa mtindo wa sasa labda siyo wote unapotakiwa kupata kazi lazima utoe rushwa to the tune mpaka 4 millioni. Ukiisha kupewa kazi kuna mgao wa Ofisi ya RM Mkoa na Ofisi ya TARURA wilaya...
  14. J

    TARURA kuondoa vikwanzo mtandao wa barabara za Wilaya

    TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote. Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu...
  15. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Dugange Aipongeza TARURA kwa Kazi Nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara

    Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini. Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
  16. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Majaliwa atoa siku 7 kwa TARURA, DAWASA kukamilisha barabara Muhimbili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam, Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingiza (DAWASA), Lydia Ndibalema wawe wamekamilisha...
  17. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya TAMISEMI yaridhishwa na Miradi inayotekelezwa na TARURA Morogoro

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dennis Londo ameupongeza uongozi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwekeza miundombinu yenye tija na maslahi kwa wananchi na Taifa katika kukuza uchumi. Mhe. Londo amesema hayo Juni 24...
  18. J

    Zaidi ya Tsh. Bilioni 822 za TARURA kuwanufaisha wananchi kupitia RISE

    ZAIDI YA BILIONI 822 ZA TARURA KUWANUFAISHA WANANCHI KUPITIA RISE Wananchi katika Mikoa ya Iringa, Tanga, Lindi na Geita wanatarajiwa kunufaika na Mradi wa Uboreshaji wa Barabara Vijijini kwa Ushirikishaji wa Jamii na Ufunguaji wa Fursa za Kijamii na kiuchumi (RISE), ambapo zaidi ya shilingi...
  19. M

    DOKEZO TARURA Moshi ni jipu

    Miongoni mwa madereva tunaopata changamoto kubwa ni tunaotumia barabara inayoanzia Tembo Road hadi kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia FM Foundation Pre and Primary School. Barabara imeharibika sana na kipindi cha mvua haipitiki na magari yanakwama. Mwanzoni tulikuwa tunachepukia...
  20. M

    Hongera TARURA Ilala, nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana

    Leo natoka Kitunda barabara imechongwa na greda. Nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana tofauti na awali saa moja. Hongera endelea kuchonga kwenda Kivule, Mwanagati, Magole, Kibeberu. Thanks and keep it up.
Back
Top Bottom