Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,137
110,566
Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo

Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi

Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii

Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma

Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
 
Sisi tunadhukuru Mungu kwa kupata mkuu wa mkoa mpya hadi hali ya hewa imekua mzuri

IMG-20200718-WA0003.jpeg
 
Hii nadharia kwamba mteuaji kamtuma Makonda na baadhi wengine kama Sendeka ili wakaliteke bunge na kurefusha maisha ya Mteuaji Magogoni ninyi mnaweza kuipingaje na kusimamia hiyo ya Nyangumi kumtema samaki ?Hebu mje na upembuzi
Umenena mkuu
 
Hivi kwa Nini mnamchukia hivi Makonda? Huku mikoani mbona tunasikia anavyopambana kwa maslahi ya taifa? Au ndio mafisadi na wauza madawa ya kulevya Nini? Gentamicin please declare your interest in this! Otherwise atashinda Kigamboni mbakie na vidondatumbo! Watu wa Dar mbona walalamishi hivyo.. wanaume Kama majike!
 
Back
Top Bottom