pierre liquid

  1. BARD AI

    Tetesi: Pierre Liquid amelazwa Muhimbili yuko hoi kitandani

    Wakuu, kuna siku niliona mtu ameuliza hapa mahali alipo mchekeshaji maarufu aliyejipatia umaarufu wake kupitia mitandao ya kijamii, Pierre Liquid. Aisee huyu jamaa amelazwa Hospitali ya Muhimbili Mwaisela wodi namba 6 iko ghorofa ya pili. Haijafahamika mpaka sasa mwama huyo wa kuzipiga Pombe na...
  2. J

    Uchaguzi 2020 Ubunge: Butiama Madaraka Nyerere vs Jackton Manyerere, Iringa Steve Nyerere vs Pierre Liquid na Kigamboni Yericko Nyerere vs Paul Makonda!

    Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu. Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza. Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
  3. Influenza

    CoronaVirus: Pierre Liquid athibitika kupata maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19

    MCHEKESHAJI Pierre Liquid maarufu kwa vibwagizo vya kama utabaki kileleni, mama nakufaa, amekutwa na corona. Akizungumza leo Jumapili na Mwanaspoti, Pierre ambaye jina lake ni Peter Mollel, amesema amebaini kukutwa na ugonjwa huo juzi. Akizungumza kwa njia ya simu Pierre amesema kwa sasa yupo...
  4. Komeo Lachuma

    Hizi ni nasaha zangu kwa Pierre Liquid

    Umaarufu ni kama uhai...wakati ukiwa juu unakuwa hai..ukishuka unakata roho ya umaarufu unabaki kuwa wa wakaida Huyu ndugu yangu mtanzania namshauri kwa upendo wakati huu autumie vizuri. Nampomtizama pierre nakumbuka hadithi ya yule punda aliyekuwa amembeba Yesu kule Yerusalem. Yule punda...
  5. Cesar Saint

    Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

    Nadhani kila mara hili limekuwa likijirudia kwa kijana mwenzetu Paul Makonda “Hekima ya uongozi “ Kwa mfano unaweza kuwa na mzazi asiye na mvuto wa sura na hata jamii yako ikampachika majina na kumtambua hivyo lakini si hekima wewe kwenda mbele za watu na kusema yale majina anayoitwa mama yako...
Back
Top Bottom