Maagizo ya Magufuli kwa Halmashauri ya Kigamboni; "Jengeni ofisi ya CCM". Hivi ni mimi nisiyemuelewa Rais au kuna wengine pia?

Synthesizer

Platinum Member
Feb 15, 2010
11,288
19,119
Kuna wakati najaribu kumwelewa Raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya Kigamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;

1581493810888.png

Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya Raisi au kweli kuna tatizo?
 
Hana mizizi ndani ya chama hivyo atafanya kila kituko ikiwemo kuvunja sheria ili wamkubali na wamuone ana uchungu na chama kuliko nyerere.

Mkuu mbona kuna mengi tu anaongea ikiwemo kusema hawezi kupeleka hela kwenye majimbo ya upinzani na kuwananga raia kwa kuwachagua wapinzani!
 
Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;

View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Wewe ulitaka ofisi ya CCM ikajengwe mbinguni?!
 
Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;

View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
kuna tatizo sana! labda angesema tengeni eneo kwa kila cham cha siasa manake maendeleo hayana chama
 
Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;

View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
mkuu mimi huwa siwaelewi mtu/watu wanaemuelewa huyu jamaa.
Hadi huwa napata shida na mtu kariba ya Mzee Mwanakijiji alieniganya nijiunge jf.
Ashakum si matusi JP ni janga
 
Wewe ndio una tatizo!

Kuna ubaya gani ofisi ya CCM ikijengwa ndani ya hizo ekari 700?!
Siyo kazi/wajibu wa halmashauri kujenga ofisi ya CCM wala ku-allocate ardhi ya wananchi kwa chama cha siasa. Kama ni kiwanja, CCM wajinunulie kiwanja chao kwa hela za chama na wajenge wenyewe.
 
Back
Top Bottom