kigamboni

  1. M

    Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Magogoni

    Eneo Lilipo: Kigamboni Magogoni Aina ya eneo: Eneo la makazi Ukubwa wa kiwanja: 1350 sq meters Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu Umbali kutoka ferry km 5 na umbali kutoka barabara ya lami ni mita 150 Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo Nyaraka: Full Documents...
  2. Jemima Jackson

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

    Habari wadau! Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja. 1.UKUBWA hatua 70 kwa 70 2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka 3.DOCUMENTS Hati za serekali...
  3. D

    Ukiachana na bei za Saruji, bei ya kupata Kibali cha ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu huko Halmashauri ya Kigamboni ni Tshs 250,000

    Wakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement! Shida kubwa ya halmashauri nyingi ni kugeuza sheria kuwa vyanzo vya mapato. Tutafakali gharama zifuatazo za kibali cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni. Bei hizi zinasimamiwa na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa...
  4. S

    Si halali wala haki kwa Serikali ya CCM kuwatoza wananchi fedha ili kutumia Daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, ni ubaguzi

    Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu. Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
  5. D

    Uchaguzi 2020 Mgombea ubunge wa Kigamboni kupitia ACT Wazalendo anapitia mazingira magumu mno kisiasa. Membe kawaangusha sana watu wake

    Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia angewainua vilivyo. Membe hata alipokuwa Pemba na Unguja pamoja na Maalim alishindwa kabisa kutumia jukwaa...
  6. kalipeni

    Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
  7. K

    Uchaguzi 2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  8. Kiboko ya Jiwe

    Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

    Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure? Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana? Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua...
  9. D

    Mrejesho: Barabara ya lami iliyokuwa imefungwa Kigamboni leo imefunguliwa, tunashukuru Serikali kwa kusikia kilio cha wananchi

    Baada ya malalamiko na masikitiko ya wananchi kuhusu kipande cha barabara eneo la Mnadani - Kigamboni kilichokuwa kimefungwa kusubiri uzinduzi ilhali ujenzi wake kukamilika! Hatimaye rasmi leo barabara hiyo imefunguliwa Tunashukuru sana serikali ya awamu ya tano kwa kusikia kilio cha...
  10. D

    Barabara ya lami iliyokuwa inajengwa Kigamboni mnadani imekamilika lakini bado imefungwa kusubiri uzinduzi; Wakati wananchi wakiendelea kutaabika

    Eneo la kipande Cha barabara lililopo Kigamboni baada ya kuvuka daraja la mwl Nyerere linaonekana kukamilika lakini bado barabara hiyo imefungwa kusubiri uzinduzi wa kisiasa ilihali wanainchi wanaendelea kupata tabu! Barabara hiyo ndiyo inayounganisha viunga vya kigamboni na maeneo Mhimu...
  11. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu awataka CCM Wilaya ya Kigamboni kuacha nongwa, kuvunja makundi na kuwaunga mkono Wagombea walichaguliwa kwenye Kura za Maoni

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura za maoni. Mama Samia amesema hayo leo Septemba 8, 2020 wakati akihutubia wananchi wa Kigamboni...
  12. ubongokid

    Uchaguzi 2020 Taarifa kwa Umma kuhusu shambulio kwa Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi, Jimbo la Kigamboni

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SHAMBULIO KWA MGOMBEA WA UDIWANI KATA YA TUNGI JIMBO LA KIGAMBONI Ndugu Wananchi; Uongozi wa Chama Cha Wafanyakazi Tanzania (Tanzania Labour Party-TLP) Wilaya ya Kigamboni unalaani vikali shambulio lililofanywa dhidi ya Mgombea wa nafasi ya udiwani katika KATA ya TUNGI...
  13. Masokotz

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

    Habari za wakati huu, Kwa wale wanaohitaji kununua Viwanja,Mashamba na Nyumba Katika wilaya ya Kigamboni kwa Gharama nafuu wakati ndio huu: Viwanja vyenye ukubwa tofauti vipo MBUTU,GEZAULOLE,DEGE,CHEKA,MWONGOZO,KIMBIJI,PEMBA MNAZI etc Bei ni kama ifuatavyo: Mbutu,Kuanzia TZS Mili 3.5 ukubwa...
  14. chiembe

    Je, kupotea kwa Makonda ni kazi nzuri ya kitengo kumpiga misinformation agombee Kigamboni ili kuliondolea taifa adha ya viongozi wa hovyo?

    Kama ni kitengo basi wamefanya kazi bora kabisa Najua kitengo wana uwezo mkubwa wa kipropaganda kumuaminisha mtu kuhusu jambo na kwamba watamsaidia kulifanikisha na ikibidi kumwambia kwamba sponsor yuko pamoja naye. Nadhani kwa makonda,kama wamefanya hivyo,basi wamefanya jambo bora kabisa...
  15. GENTAMYCINE

    Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
  16. J

    Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  17. Caine Chuhira

    Hello wadau wa JF

    Habari zenu wadau wa JF. Naitwa Cain Constantine Chuhira kutoka Kigamboni Dar es Salaam.
  18. GENTAMYCINE

    Ama kweli akutukanae huwa hakuchagulii Tusi, ila pongezi sana Kamati ya Roho Mbaya ya CCM huko Kigamboni

    "Asilimia 70 ya huu mkoa ni wambea, na wanapenda umbea kuliko chochote kile, msikubali wakawatenganisha wewe na RAS wako..wanapiga majungu sana hawa msiwaone hivi, wanamjua mtu kuliko anavyojijua yeye". Aliyekuwa RC Dar es Salaam-Paul Makonda ITV Tanzania. Kwa bahati mbaya siishi Tanzania je...
  19. GENTAMYCINE

    Sawa tunaokukosoa unatuita 'Mbwa Mwitu'. Je, sisi ndiyo tulikufanya uuache Ukuu wako wa Mkoa ili 'ukagaragazwe' Kigamboni?

    Ulichotakiwa Kufanya ni Kukabidhi tu Ofisi ya Watu kisha ukae usubirie tu Huruma ya Roho Mtakatifu au 'Ushirikina' wako ili 'Nyota' yako iendelee Kung'aa 'Uteuliwe' tena lakini siyo kuanza 'Kujimwambafai' kwa mambo ya 'Kipumbavu' ambayo Watangulizi wako walishafanya Makubwa zaidi yako na wala...
Back
Top Bottom