kifedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G-Mdadisi

    Pengo la Upatikanaji huduma za kifedha na bidhaa lapungua 2023

    PENGO la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika kupata huduma rasmi za kifedha na bidhaa limepungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 10 mwaka 2017 hadi asilimia 3.6 mwaka 2023. Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Wanawake ya Ujumuisho wa Kifedha (WACFI), Bi. Beng’I Issa amesema hayo...
  2. Raphael Alloyce

    Kuongezeka kwa uhalifu wa kifedha na utapeli bara la Afrika

    CHANGAMOTO ZA MAENDELEO BARANI AFRIKA Uhalifu na utapeli ni changamoto zinazokumba jamii duniani kote, na nchi za Kiafrika haziko nyuma katika kukabiliana na matatizo haya. Hata hivyo, tofauti kubwa inajitokeza katika njia ambazo viongozi na watendaji wa Kiafrika wanavyochagua kushughulikia...
  3. Restless Hustler

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk. Naanza: Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache...
  4. B

    Benki Ya CRDB yaendesha Semina Kuwajengea Uwezo Waandishi Wa Habari Kuandaa Taarifa zitakazochochea Ujumuishi Wa Kifedha nchini

    Dar es Salaam 19 February 2024 – Katika jitihada za kuendeleza sekta ya habari nchini, Benki ya CRDB imeendesha semina maalum kwa wadau wa sekta ya habari nchini na uchumi “CRDB Bank Media Day” iliyofanyika katika Makao Makuu ya benki hiyo yaliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi. Akifungua...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania inakabiliwa na Sheria iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha

    Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania Inakabiliwa na Sheria Iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha "Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha Umeme ya Msongo wa Kilovoti 400. Mheshimiwa Spika, mradi huu unahusisha kandarasi tatu ambazo ni ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya...
  6. BARD AI

    Unabana matumizi yako Kifedha wakati wa Sikukuu hizi au tukuache na mambo yako?

    Wakuu, pamoja na kuwa kila mtu na maisha yake na life style yake lakini ni vema kukumbushana kuwa na tahadhari kwenye matumizi ya Fedha. Bila hivyo kuna mambo yataparangana Januari au hata miezi mitatu ya mwanzo mwaka 2024. Tule bata ila kwa mipango
  7. matunduizi

    Ongeza haya mambo 6 kwenye mikakati yako ya kuukabili 2024 kifedha na kimaendeleo

    1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri. Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine. 2: Boresha...
  8. Doctor Ngariba

    Usipoacha tabia hizi hautakuwa huru kifedha

    Habari wakuu, Uzi huu unatokana na maisha anayoishi shemeji na mdogo wangu lakini pia naamini wapo wengine wanaoishi maisha kama ya hawa madogo. Ikumbukwe nimeleta uzi huu siyo kwa lengo la kuwabeza, kuwabagaza, kuwatweza au kuwadhihaki kwa namna yoyote ile bali kwaajili ya kuwapa wengine...
  9. H

    Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  10. Sultan MackJoe Khalifa

    Simba kupanda thamani, maombi ya uwekezaji na ushirikiano kutoka klabu na kampuni kubwa za michezo ni mengi

    Imebainika club ya Simba kupanda thamani maradufu kwa zaidi ya 85.9% kwenye maeneo tofauti ndani ya club. Maeneo yanayotazamiwa kupanda thamani ni pamoja na wadhamini wakubwa kuongezeka,kupata wafadhili mbalimbali watakao jitolea kukuza vipaji kwenye club, wadhamini wa soka la wanawake Simba...
  11. Crocodiletooth

    Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  12. TUKANA UONE

    Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  13. Mama Edina

    Makampuni nataasisi ya kifedha hizi sms za mikopo za kaz ipi

    Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka. Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana
  14. R-K-O

    UZUSHI Katika muhula wa kwanza wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haikuwahi kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa nchi yoyote

    Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe. Palikuwa pana ukweli?
  15. L

    Mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha wakosolewa na nchi za Afrika

    Mkutano wa kilele wa katikati ya mwaka wa Umoja wa Afrika ulifanyika hivi karibuni mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Viongozi wa nchi za Afrika walioshiriki kwenye mkutano huo kwa mara nyingine tena walitoa wito wa mageuzi ya mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha. Rais William Ruto wa Kenya...
  16. technically

    Fei Toto kukata rufaa rasmi CAS aomba mchango wa pesa kwa Watanzania

    Aliyekimbia mshahara wa mil 4 anawaomba walala hoi wa instagram wamchangie pesa za kupeleka kesi CAS; === Picha: Feisal Salum (Fei Toto) Feisal Salum katika ukurasa wake rasmi wa Instagram ameandika ujumbe ufuatao: Ndugu zangu Watanzania na familia yote ya soka kwa Bara na visiwani. Mimi...
  17. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la huduma za kifedha

    Utandawazi wa huduma za kifedha umekuwa na athari kubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii duniani kote. Hata hivyo, pamoja na faida zake, utandawazi huu pia umesababisha changamoto kadhaa katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua hatua za haraka za kuboresha...
  18. Mpasuaji wa Manesi

    Deranged woman, is a no go zone

    Wanaume, Sikilizeni alichozungumza. Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa umebakiza Sikukuu chache sana hapa duniani. Be a Man, respect yourself.
  19. Billal Saadat

    Serikali ya Tanzania yatoa msaada Uturuki

    Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu. Hii ni mara ya pili Tanzania kufanya hivyo baada ya majuzi kuwasaidia marafiki zetu wa Malawi [emoji1156] waliokumbwa na...
  20. Mwl.RCT

    Uhuru wa Kifedha: Jenga vyanzo mbalimbali vya mapato

    Ni muhimu kuelewa kwamba kutegemea kipato kimoja pekee hakuwezi kukupa uhuru wa kifedha. Ni muhimu kujenga vyanzo vya mapato mbalimbali ili kuweza kuwa na uhakika wa maisha yako ya baadaye. Kuna njia mbalimbali za kupata mapato mengine, kama vile kuanzisha biashara yako, kuwekeza katika miradi...
Back
Top Bottom