Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?
Umeaccomplish mikakati yako?
Mimi nilisema nitafanya savings, ila kutunza pesa Dar Jamani eeeh?
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA KUMALIZA MIGOGORO MIRERANI
-Serikali yarusha ndege ya Utafiti ndani na nje ya ukuta kupata kupata viashiria vya mwamba wa madini
-Taarifa za utafiti kusaidia kuwaongoza vizuri wachimbaji
-Atoa tuzo kwa wachimbaji wanaorudisha kwa jamii(CSR)
-Aongoza futari...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias na Wataalam wa Idara ya Kilimo Wilaya ya Ludewa- wametembelea Kiwanda cha City Coffee kilichopo Mbeya- kwa ajili ya kikao kazi cha kuongeza tija kwenye zao la Kahawa...
Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025. Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu.
Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu. Hivyo...
Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan.
Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina.
Mikakati iliyotajwa na...
Mbowe kuondolewa madarakani kwa nguvu.
Matumizi ya pesa za umma kuwekwa wazi. Na pesa kutumiwa kwa nia thabiti ya kuig'oa CCM madarakani.
Chawa Mbowe akina T. Mwaipwaya na yule dogo wa Mwanza Pambalu wag'olewe. Wapo kujaza matumbo tu.
Lissu awe katibu mkuu.
1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri.
Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine.
2: Boresha...
Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani
Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy
Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari zetu nje kontena
Adbest
wydady
Rgds. Pdidy
Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo.
Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima (kwa Mujibu wa Chadema Digital) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 21 Novemba, 2023 katika Mkutano wa...
Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya wataalamu kutoka nchi hizo kuweka mikakati ya pamoja kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, leo Novemba 7, 2023 Mjini Mombasa nchini Kenya
Kwa upande wa Tanzania kikao hicho kimehudhuriwa na...
Gwajima kanisani sijui anakaa muda gani toka aombe ubunge. Kila siku unaona anaambatana na vijana wale wale waumini wake kuzunguka mtaani na jogging. Mambo yamegoma amehamia kwenye mashindano ya rede huku akiacha shangingi na kutembelea bajaji za kukodi.
Hizi siasa zilipaswa kufanywa majimbo...
Ikiwa ni siku moja baada ya kuwasili ofisini Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameanza kazi Wizarani hapo kwa kukutana na kuzungumza na watumishi na viongozi wa Idara ya Utamaduni, Sanaa, Utawala, Sera na Mipango na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, kwa lengo la kufahamiana...
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Ange Kagame Ndengeyingoma atakuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Baraza la Mikakati na Sera (SPC).
Angel amekuwa akifanya kazi katika Ofisi ya Rais kwa miaka 5, elimu yake ya Sekondari hadi Chuo Kikuu amesoma Nchini Marekani akiwa na uzoefu wa...
Utawala bora na uwajibikaji ni vipengele muhimu kwenye utendaji thabiti wa sekta yoyote pamoja na sekta ya elimu. Utawala bora unahusu taratibu na miundo inayotumika katika kufanya maamuzi na utelekezaji kwa uwazi, ushirikiano na uwajibikaji vilevile uwajibikaji unahusu majukumu ya wahusika au...
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Uhaba wa fursa za kiuchumi na kijamii ni changamoto kubwa kwa watu wengi, hasa katika nchi zinazoendelea.
Fursa za kiuchumi na kijamii ni nafasi au hali zinazowezesha watu kuboresha maisha yao, kujifunza mambo mapya, na kuchangia jamii.
Uhaba wa fursa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.