Mpasuaji wa Manesi

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
300
1,374
Wanaume,

Sikilizeni alichozungumza.

Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa umebakiza Sikukuu chache sana hapa duniani.

Be a Man, respect yourself.
 
Wanaume,

Sikilizeni alichozungumza.
View attachment 2570009

Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa umebakiza Sikukuu chache sana hapa duniani.

Be a Man, respect yourself.
Biblia inasema tuishi nao kwa akili. Wakiwezeshwa kiuchumi hawa wanamama ni pasua kichwa, huwezi kukaa nao kwa amani. Ndio sababu rate ya wanaume kupoteza maisha kwa stress ni kubwa sana. Tukae nao kwa akili sana.
 
Ukisikia vijana wanasema kataa ndoa usifikili ni wajinga ....

Mwanamke kama huyu hawezi kudumu na mwanaume yeyote ....

Kasema bila kupepesa macho " anajeuri kutokana na financial freedom"
 
Back
Top Bottom