Mlioko serikalini msijione 'Special' sana. Mambo wakati mwingine hubadilika kwa kasi usiyoitarajia

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,893
3,200
Habari wana JF.

Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana.

Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao ndio wale ambao shida yako hata kama ilikuwa ni ya kutatuliwa kwa dakika moja (mfano kusaini document hakuhitaji muda mrefu), lakini utashangaa unaambiwa nenda utarudi kesho au mwezi ujao n.k.

Lengo la kuandika huu uzi ni kuwaasa watumishi wote wa serikalini kuanzia watendaji wa vijiji hadi kwa Rais, watambue kwamba wako pale kwa ajili ya kuwahudumia watu na siyo kuwanyanyasa au kuhudumia watu wa aina fulani kwa upendeleo. Na wanatakiwa wafanye hivyo huku wakijua kwamba wako wengi wenye uwezo kuliko wao, lakini hawakupata tu bahati ya kuwa pale walipo.

Naomba kuwasilisha.
 
Habari wana JF.
Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana.

Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao.
Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao ndo wale ambao shida yako hata kama ilikuwa ni ya kutatuliwa kwa dakika moja (mfano kusaini document hakuhitaji muda mrefu), lakini utashangaa unaambiwa nenda utarudi kesho au mwezi ujao n.k.

Watanyooka Tu, nyapala DPW kaingia bandarini Dar, mdogo mdogo
 
Nadhani si wote, lakini inapokutana ma changamoto hizo wareport mapema. Hii tabia ipo muda mrefu sababu serikali haifuatilii perfomance

Fact
 
Kusema kweli watumishi kanjanja na janja janja kipindi Cha the LATE JPM
Walikua wanaogopa.

From no where niliwai kuogopwa several times na watumishi mbali mbali nilipo kua na hudumiwa 😊😊

Baba mdogo JPM alikua Ana abuse Sheria Kali za kazi na kukufukuza on the spot so wafanyakaz wavivu,wazembe,makanjanja waliufyata...

R.I.P JPM
 
Unaweza kunitajia mtu yeyote ambaye hayuko serikalini?

Hata mfanyabiashara mdogoje :) , maadamu mfumo uleule ndio unampa kipato chake, basi kimsingi naye yupo serikalini.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom