Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari.
Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
Eurotunnel, ambayo pia inajulikana kama Channel Tunnel, ni mfereji wa reli chini ya Bahari ya Kiingereza ambao unaunganisha Uingereza na Ufaransa. Hii ni miundo mikubwa ya uhandisi iliyopo ulimwenguni.
Ujenzi wa Eurotunnel ulianza rasmi mwaka 1988 na ulikamilika mnamo mwaka 1994.Tunnel hii...
Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza? Itakuwaje na ile milima ya mawe?
Pia soma
Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133
Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa
Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010.
Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji.
Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
Salaam
Kumekuwa na tabia za Viongozi wa kiasa nchini kwetu kujiweka mbele sana kwenye majanga kama mafuriko na mengine.
Kwanza, ni matumizi mabaya ya pesa za umma viongozi wengi kujazana sehemu moja ya tukio jambo ambalo kiongozi mmoja anayehuaika anaweza kutangulia kusimamia eneo lake.
Pili...
Katika siku za karibuni kongamano hilo lililopewa jina la "Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Demokrasia: Maadili ya Pamoja ya Binadamu," lilifanyika mjini Beijing. Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni kuwaleta pamoja washiriki kutoka nchi za magharibi na nchi za kusini, kujadili kwa njia ya wazi...
Wakuu poleni na hongereni Kwa majukumu!
Naomba msaada wenu hatua kwa hatua jinsi ya kuapprove request ya uhamisho kwenye mfumo wa ESS kwa supervisor.
Mimi ni supervisor lakini nashindwa kupitisha ombi la mfanyakazi wangu hapa ofisini hivyo naomba mnisaidie kutumbua hili jipu kwa kunipa huo...
Ety wakuu, kwa huu ufungaji/uunganishaji wa Solar panel, Betri na charging controller umekaa sawa..?
1. Kwenye picha namba 1 inaonesha maunganisho positive (+) nyaya za Betri, solar na taa.
2. Namba 2 kwenye picha inaonesha maunganisho ya negative (-) nyaya za Betri, Solar na taa
3. Namba 3...
"I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake".
Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa.
Wajuzi miongozo yenu inahitajika.
Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni.
Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
Ndugu Zangu Habarini
Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk.
Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
Habari...
Kuna ule utaratibu wa serikali kutoa fedha kwa kaya zisizojiweza maarufu kama fedha za TASAF. Sasa pesa hizo kuanzia mwaka jana nimeona serikali imekuja na utaratibu mzuri ila usimamizi wake utaratibu huu si mzuri kabisa
Nimeona vijijini wananchi kuanzia mwaka jana waliambiwa wachimbe...
BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
Baada ya jukwa la JamiiForums kuchapisha nakala kwenye mitandao ya kijamii inayosema :-
Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya imesema inayafanyia kazi madai kuwa baadhi ya Maabara zinatoa majibu ya uongo ili Zahanati ziuze Dawa, ikiwa ni ufafanuzi uliotolewa baada...
Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili
Alifunga kupata mkojo
Alifunga kupata choo kubwa
Tatizo hili husababishwa na Nini ??
Tumepoteza kijana mdogo Sana
wakuu habari za uzima?
Tukiwa tunaendelea kusheherekea siku ya mama yetu mpendwa mheshimiwa samia suluhu Hassan na bata la mama. Nimeona leo nije kuuliza jambo baada ya kukutana na mtu aliyenipa mawazo kuhusu biashara hii ya madini.
Wataalamu na wajuzi wote katika sekta hii ya madini naombeni...
Habari wakuu.
Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine.
Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO.
Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.