kupaua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    MSAADA KWA MAFUNDI WA KUPAUA

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  2. H

    Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  3. TechWarlock

    Bati(ALAF) zimebaki baada ya kupaua nauza

    Salama Wakuu? Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam...
  4. Mamujay

    Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  5. K

    Bati za kiboko zina ubora unaokidhi?

    Wadau wa ujenzi mnaonaje ubora wa bati za Kiboko? Zina ubora unaokidhi?
  6. K

    Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
  7. Fundi mahiri wa ujenzi

    Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

    Hidden roof houses ni Kama hizi hapa Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%. Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia...
  8. Mapondo Mapoka

    Gharama ya kupaua nyumba ya ramani hii

    Wataalam na wazoefu maswala ya ujenzi hasa kupaua naombeni msaada kulingana na title hapo juu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  9. Black hermit

    Maana ya mkandarasi, fundi stadi na fundi mchundo

    Wataalamu naomba msaada maana ya neno ufundi mchundo ======== Mkandarasi ni fundi mwenye taaluma ya juu kuliko mafundi wengine wa ujenzi wakiwemo wakandarasi wa barabara wanaofahamu vitu na vipimo vyote vitakavyotumika katika ujenzi husika. Mkandarasi hufanya kazi maalumu zikiwemo za ujenzi na...
  10. D

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante. --------------------
Back
Top Bottom