fikra

  1. A

    Maoni yangu jinsi ya kuboresha Sekta ya Elimu nchini

    Habari wana bodi ni matumaini Yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kitanzania miaka 23 pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi. Siku ya Leo nimewaza Sana ambayo yanaweza boresha sekta ya elimu na maisha ya walimu kwa ujumla kama ifuatavyo; 01. Kuwe na Kodi ya...
  2. Hotuba za Mnyonge

    SoC03 Hapa Kazi 2, App ya Kizalendo na Kimaadili maalum kujenga Uhuru wa Fikra kwa jamii

    Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra. Tanzania imepata bahati nyingine ya...
  3. L

    Pendekezo la maendeleo ya dunia (Global Development Initiative) latoa changamoto kwenye fikra za kimagharibi kuhusu maendeleo

    Kwa muda mrefu sasa nchi za magharibi zimekuwa na sauti kubwa kwenye sera na mipango ya maendeleo ya uchumi duniani, kiasi kwamba imekuwa ni kawaida kuamini kuwa sera na nadharia za uchumi za nchi za magharibi ni sahihi. Inapotea kuwa nchi zinazofuata nadharia hizo zinaendelea kuwa nyuma...
  4. R

    Ni sahihi anachofanya Gerson Msigwa na RC Mbeya kuhusu dharau kwa serikali wanayoisimamia? Tumeshindwa kusimamia watanzania tutaweza kusimamia wageni?

    Wanachofanya Gerson Msigwa na RC Mbeya akivymiliki kwa kweli; wanawatukana watanzania adharani bila woga wakiamini wanatetea serikali. Msemaji wa serikali kutamka kwamba Serikali imeshindwa kuwasimamia watumishi wa bandari ni kumdharau aliyemteua. Kutamka adharani kwamba bandarini kuna wezi na...
  5. B

    Ni wazi sasa fikra za watanzania zinaamuliwa na ama Uislam au Ukristo

    Asalam. Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni waislam wenzao. Wakristo wanajiona ndugu zao ni wakristo wenzao. Mitazamo hii inaathiri mambo...
  6. Wadiz

    Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

    Habarini nyote. Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho. Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
  7. Wadiz

    Strategic spinning na upanzi wa fikra katika jamii ni hatarishi kwa udumavu wa nchi

    Habarini nyote. Wasilisho la Wadiz a.k.a Baharia Kipimo cha jamii na nchi ni pamoja na akili za watu hasa katika nyanja ya kumbukumbu na kujadili mambo yenye tija kwa kirefu. Sambamba na hilo kinyume chake jamii na nchi dumavu hasa kifikra na dira za kimaendeleo hudekeza usahaulifu ama...
  8. consolatha99

    SoC03 Fikra Chanya Katika Kujikomboa

    Jamii iko katika mchakato usio na mwisho wa uboreshaji ambao unahitaji kizazi thabiti cha mawazo mapya. Changamoto mawazo ya kawaida ni matokeo ya kufikiri ubunifu na hoja tata ambayo ni kazi ya elimu ya juu. Kama msomi, nimekuwa nikitamani kila wakati kuleta mawazo mapya, imani, imani, na...
  9. DR HAYA LAND

    Je, tatizo la nchi zetu za watu weusi ni kuwa na uwezo Mdogo wa fikra?

    Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa. Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama. Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
  10. The Supreme Conqueror

    Hivi huu utumwa wa fikra Hadi lini?

    Kwanza namba ieleweke kwamba Mimi Ni mkristo haswaa na ninaipenda Sana Imani hii ya Mungu mmoja. Ila Kuna wakati napata kugugumizi juu hizi dini zetu na mapokeo yake mfano na hii picha hapa chini siyo kwamba naidhalilisha dini au Imani ya muhusika hapana Ila wasiwasi wangu Ni juu ya Yale mapokeo...
  11. Allen Kilewella

    Kama huna fikra za kikandamizaji, hauwezi kuishadadia Urusi

    Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi. Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani. Kama...
  12. Chawa wa lumumbashi

    Watanzania mtaacha lini kulalamika?

    Je, walimu wa serikali wanaumizwa na mpango wa mikataba na wakuu wao? Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepata malalamiko kutoka kwa baadhi ya walimu wa Shule katika Mkoa wa Dar es Salaam na pia tumegundua kuwa walimu kadhaa wako katika msongo mkubwa sana wa mawazo kufuatia 'mikataba mipya' ya...
  13. U

    Wazazi tunaofanya biashara tuwaandae watoto mapema wafike mbali kutuzidi, shule ipewe nafasi lakini iwe kwajili ya maarifa ila sio ndoto za kuajiriwa

    Hata mimi mwenyewe tangu mtoto naaswa, soma sana mwanangu uje upate kazi nzuri, elimu ndio ufunguo wa maisha, n.k. misemo yote hio inapindishwa ili mtoto adhani kwamba njia pekee ya kutoboa ni kuja kuajiriwa wakati kuna alternatives far more better, elimu inatupa maarifa muhimu lakini...
  14. Yoda

    Maadili kufanyika kipaumbele na kiunganishi cha raia ni ufinyu wa fikra na kukosa maono

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na kelele na harakati nyingi sana kutoka kwa wenye mamlaka na raia wengi kuhusu suala la maadili katika nchi hii. Kujali huku madili kumefikia kiwango cha ajabu na sasa tunaona hata midoli inayowekwa kwenye maduka ya nguo kuonyesha fashion (mannequin) ikipigwa...
  15. G

    Serikali iboreshe mazingira ya shule zake iache kubadili gia hewani, fikra za Ushindani ni muhimu

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu yetu Mitaala Ubora Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
  16. BARD AI

    Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo. Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
  17. jingalao

    Ujamaa mamboleo ni fikra mpya inayotakiwa kuungwa mkono

    Tuliosikiliza mistari ya Mwenyekiti na kumuelewa tumepata ujumbe wa kishujaa kwa miaka zaidi ya 100 ijayo. Tumepata fikra mpya yaani kuuendeleza Msingi na muhimili wa Taifa hili ambao ni Ujamaa na Kujitegemea. Kazi iliyobaki ni kuhuisha ujamaa na kuuboresha kulingana na hali ya dunia ya...
  18. K

    Fikra za kimasikini kutumia pesa hivi kwa magari!

    Yaani pamoja na kuwa na magari ya bei rahisi kuna sababu gani ya serikali kutumia pesa yote hii kwenye magari?
  19. Mwande na Mndewa

    Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  20. M

    TRA kukamata mizogo kwa ajili ya Efd machine ni kuonesha udumavu wa fikra zetu

    Ukifika TRA unakuta na mizigo mingi sana kwa mfano TRA pale Longroom pamekua kama godwn la kuhifadhia mizigo,ukiangalia pale Kuna mizigo ya Congo,Rwanda,Burundi,Zimbabwe,Malawi,Zambia nk..ukiuliza wanakwambia hii ni mizigo tumeikamata haikua na Efd machine. Nikamuuliza mmoja wao je hii mizigo...
Back
Top Bottom