Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,712
- 36,173
Hello!
Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale.
Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha.
Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya kazi. Kama kuna timu moja imefanya uchawi na nyingine haijafanya ninaamuru uchawi ukawageuke na ikawe kinyume chake.
Ikiwa team zote zimeroga ili zishinde ninauyeyusha huo uchawi kwa kila team.
Mambo ya uchawi, fitina na roho mbaya ndio yanayoirudisha nyuma Afrika.
Leo ndio naanza kazi rasmi za kuwapinga wachawi kwenye soka.
Siishii hapa tu hata ile team yetu iliyofungwa jana wakitaka safari yao iishie shimoni wajaribu matunguli yao. Najua bila tunguli hawawezi, kama hawawezi kuacha nitalala nao mbele