Search results

  1. S

    Binguni pakiwa km tnzania nani;wa upnzani msema kwl ataingia?

    kwa mambo yalivyo,hpa nchn vihoja baina ya serikkal ,vyombo vy dola na chma tawala,pata pcha na mbinguni pawe hv ,nani na nan wataingia wanaosema ukwl?
  2. S

    Kampen za uchaguz wa rais zafungwa.

    Nko mkoa Tanga nkitokea kenya,Kampen za uchaguz wa selikar ya wanachuo ktk chuo cha uongozi wa mahakama cha lushoto,kuna haja ya serikal kukemea siasa za ubaguz,sio 2 kwa wagombea pia hta wafuasi.Mambo aliyoyakemea mwl.Nyerere (udin na ukabila) yapo hta vyuoni,tuyawah kuyapiga Niwatakie...
  3. S

    Mama mwenye nyumba aaga kwenda SADEC

    Alikua anawaaga watoto wake bungen,c mwingne ni ANNA MAKINDA,baada ya kupitisha bajet ya ujenz.Amewasii wa2lie wasiwasumbue kaka na dada zao,yaan naibu na mwenye viti.Mpaka atakapo rudi.
  4. S

    Ngonjera ya budjet 2012/2013 bungeni

    Wasira;hodi hodi naingia huku nikishanglia budjet imepita tena kwa kishindo,ester nakuwapa supot bunda haurud! Mnyika;dhaifu,nyie dhaifu tena na wenu mwenyekit,magamba mnahira 2015 hamrud! Ester;uni2e,tena ni2e kunitwika ctak,kama bund ulpajenga ww thawa,na kma una lako jambo bayana kulweka...
  5. S

    Natafuta mpenz,mungu akijalia mchumba

    Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
  6. S

    Namba ya mwakyembe hyo

    0782242526 .sizan kama hii namb itadumu,itakukua kama ya kikwete alivyoingia 2005.
  7. S

    Tanzania inaenda kufanana na Marekani.

    Hii ni katika kuongea hasa kwa vijana hawaongei kiswahl sanifu,yaan wanakela maneno 3 kiswhl mawili kingereza.Wanawaiga wa marekan kuongea kingereza cha wingereza na lugha zao.Sina maana wasiongee ila kma kingera ieleweke,bora waongee wenyewe tu,siku hz hata watangazaj.Utazan watz wote wanafahu...
  8. S

    Vazi la taifa ila hapa.

    Ziki ndio vazi la taifa,hvyo kukimbilia kutafuta nguo ya taifa wakat maisha yamekua ukeketaj n ujnga,kwan viongoz ndio mangaliba.Umaskin ndio vers na mapenz n corus,mwimbaj mtanzania(Mwafrika).Sio siasa,ila uchumi ndio utawaokoa watz,na sio wa nchi bal wa mwananchi.Co machoz yote n ya huzun,yapo...
  9. S

    Bahari na Mto kip zaid?

    Dunian kuna mambo,hv kat ya mto unaomwaka maji ziwani,na bahar kip zaid?Anaetetea mto akasema kwamba mto 7babu unamwaga mwaka mzima na kama bahari ingekua inamwaga inkua imeisha. So wamekuja kwangu nwape jbu.Mie nmewaambia kabla cjawajbu ngoja nweke mada hii kwa wa2 wa jf,maana hao ndio w2...
  10. S

    Kametoa mimba,kameshndwa kutoa ukimwi.

    Wakat serikal na asasi zikiendelea kupiga vita utoaj mimba.Kabint flan mtaani flan kameumbuka,baada ya wk mbili kupita baada ya kutoa mimba.Kamejaza wa2 kwao baada ya kwenda kupima amejikuta kahasika,na kapita njia nzima anapiga kelele za kulia.Ndio wa2 kusimamisha na kumuulza,sijui...
  11. S

    Huyu anafanana na nani nchin.

    Sio wa njano huyo mweusi mkubwa.
  12. S

    Kikwete mvumilivu.

    Hii picha nmetumiwa na rafk wa dada yngu,ambye alipita sehemu hii kukuta kuna soko la mama ntilie na hki choo,ambavyo vimepewa jina la "SOKO LA KIKWETE" na pia hcho choo wanakiita hv CHOO "CHA KIKWETE"hapo hapo kwa pembeni kuna jalala kubwa na kumezungukwa na makazi,na nyumba ya starehe.Kwa...
  13. S

    Mambo yatakavyokua bunge lijalo

    Mh.spikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
  14. S

    Nape hoi!

    Akizunguka nae kama popo,huku akiuza sura kuksafsha chama.Mambo yamekua cvyo,maana anajitapa kwamba"vua gamba,vua gwanda na vaa uzalendo"chama chake kimemkejel,kwa kulikumbatia gamba.Ushnd alioupata chenge ni pigo kwake.Kageukwa mpaka raha.
  15. S

    Hv serikal kugeuza "JKT" kuwa supermarket za matrekta ndio!?

    Ule mpango wa "kilimo kwanza"pembejeo baadae,utimizaj wake unaendelea ukiwa na kasolo kibao.Wakulima wengi wapo vijijin na sio kila wilaya ina ofisi za "JKT".Wanawasaidiaje ikiwa matrekta yote yanapatkana "JKT SUPERMARKET".Sio kwamba wamekosea,laasha ila inatkiwa "JKT"wawe wasimizi na wawake...
  16. S

    Kuapishwa kwa ngaliba

    Mimi CHACHA MWITA MARWA,naapa kwamba nitakua ngaliba,nitailinda na kuitetea mila ya kiku....,sitatoa siri wapi tunapokeketea kwa polis kwa njia yoyote,nitatumia sime na panga kuilinda, Mula man'gana nsaidie.
  17. S

    Watanzani kuanza kulipwa fidia.

    Kuna haja bunge kutunga sheria ya kuwabana wenye makampuni ili watoe huduma nzur zaid.Hapa naongelea hasa simu na umeme(TANESCO).kama wakikata mawasiano kwa mda flan wawalipe wateja wa 10%ya mda waliokata kma vile mda wa maongez,mb za bure na sms za bure,pia unit kwa umeme.Hii itawafanya kuwa...
  18. S

    Vodacom wawaombe radhi watanzania.

    Na hii ni kutokana na mtandao wao,leo siku ya pili tangu uanze manyokanyoka.Yawezekana isiwe nchi nzima ila kuna maeneo unapatkana lakn kuwasilina shda.Mitandao mingne inasumbua ila voda wamezid na wawaambie 7babu,wamefanya biashara zetu kukwama. Nawasilisha.
  19. S

    Kwa Bakita

    Kma inawezekana ,waache ukimya kwa wa2 ku2mia kiswahili kisicho sahihi,hasa kwa viongozi.Mfano wanaposema kilimo cha kahawa.Wanatakiwa kusema kilimo cha buni.Kwan kahawa ni zao linalotokana na mche buni.Ukisema zao la kahawa ni sawa na mtu aliesema zao la mchele.Waanze kutoa majalida ili...
  20. S

    Siasa zingine ni laana

    kwa mujbu wa vitabu ya din zote za halali dunian,yalyonenwa ktk vitabu hvyo juu ya mwisho wa dunia umekaribia.Leo kwa sababu ya madaraka m2 kakubal wanaume kulana jicho(TIGO),na wanawake kutangulzana,OBAMA MDOGO WAKE NA CAMEROON.Imenkeraaaa
Back
Top Bottom