Natafuta mpenz,mungu akijalia mchumba

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
 
Senator naona umeamua kufanya maamuzi mazito. Kila la heri mdogo wangu BUT uwe makini sana na 'dating' za online. Majority are not serious.
 
Umri wangu kati ya 21-25, pia umri wako huna hakina nao. Senetor, inabidi umpe ndugu yako tips ya kupata wachumba JF.

All the best,
 
Last edited by a moderator:
kila ninapo soma hii forum sijawahi ona mtu akipost kafanikiwa sijui kwa nini...

:popcorn: :juggle:
 
kila ninapo soma hii forum sijawahi ona mtu akipost kafanikiwa sijui kwa nini...

:popcorn: :juggle:

Kwakweli hata mimi nahamu kweli ya kujua kama huwa wanafanikiwa! Mi naona wanafanya masihara tu na matangazo yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom