Mama mwenye nyumba aaga kwenda SADEC

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Alikua anawaaga watoto wake bungen,c mwingne ni ANNA MAKINDA,baada ya kupitisha bajet ya ujenz.Amewasii wa2lie wasiwasumbue kaka na dada zao,yaan naibu na mwenye viti.Mpaka atakapo rudi.
 
Nimempenda jinsi alivyo aga kwani amekiri kuwa watu wake wamelikoroga na amesema atawafunda kwa makosa waliyofanya.lakini mmmmmmmmmm!!!!!
 
Back
Top Bottom