Kampen za uchaguz wa rais zafungwa.

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Nko mkoa Tanga nkitokea kenya,Kampen za uchaguz wa selikar ya wanachuo ktk chuo cha uongozi wa mahakama cha lushoto,kuna haja ya serikal kukemea siasa za ubaguz,sio 2 kwa wagombea pia hta wafuasi.Mambo aliyoyakemea mwl.Nyerere (udin na ukabila) yapo hta vyuoni,tuyawah kuyapiga

Niwatakie uchaguz mwema hapo kesho,MUNGU IBALIK TZ,MUNGU WABALIKI WA2 WAKE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom