Kwa Bakita

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Kma inawezekana ,waache ukimya kwa wa2 ku2mia kiswahili kisicho sahihi,hasa kwa viongozi.Mfano wanaposema kilimo cha kahawa.Wanatakiwa kusema kilimo cha buni.Kwan kahawa ni zao linalotokana na mche buni.Ukisema zao la kahawa ni sawa na mtu aliesema zao la mchele.Waanze kutoa majalida ili ku2elimisha.
 
Back
Top Bottom