Search results

  1. Mpasuajipu

    Maneno kugeuzwa maaana je kiswahili ni lugha maskini?

    Kiswahili kweli ni lugha masikini, maneno mengi yanatumika kwa maana tofauti na hivyo huweza kuwachanganya watumiaji: Mfano: 1. Kufika= kuwasili sehemu fulani, kufikia hamu katika tendo la ndoa, mf. Amekaribia kufika nyumbani. au Mmmh leo nataka kufika kileleni. 2. Kutafuna= kusaga kitu kwa...
  2. Mpasuajipu

    Mitandao ya simu vijijini.... ndoto au miujiza

    <TABLE border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width="100%"><TBODY><TR><TD class=kaziBold vAlign=top align=left></TD></TR><TR><TD vAlign=top align=middle></TD></TR><TR><TD class=kaziBody vAlign=top align=left>Wakazi wa Kijiji cha Samunge wa kabila la Wasonjo wakifurahia huduma ya mawasiliano ya...
  3. Mpasuajipu

    Matumizi sahihi ya BAKORA na MASHINE....ni vifaa vinavyopaswa kutunzwa sana.

    Ngd wanajamvi ashakum si matusi ila naomba nitoe kidogo mawazo yangu juu ya matumizi sahihi na salama ya BAKORA na MASHINE. Nikianzia na Bakora- Sote tunajua kuwa bakora ni kifaa kinachotumika sana sehemu mbalimbali, bakora hutumika kuchapa, kutembelea na hata kuua nyoka. bakora ni kifaa...
  4. Mpasuajipu

    Naomba sifa za wafuatao......Magamba yaliyovuliwa siku za nyuma

    Wana JF naomba mpasue majipu ya wafuatao kwa ganzi au bila ganzi kwa wafuatao: Hawa wote ndio waliowahi kushika wadhifa wa UKATIBU MKUU WA CCM tangu kuanzishwa kwake. Je nao walikuwa magamba? Lipi lilikuwa gamba gumu kabisa kung'oka? 1. 1977- 1980 - Pius Msekwa 2. 1981- Daudi...
  5. Mpasuajipu

    Jiji la Dar es Salaam ...Majengo safi....lakini.....!

    Mandhari ya jiji la Dar ukiwa unaingia bandarini kutokea Zanzibar. Kwa mbali mji unapendeza, lakini bado ipo haja ya kuweka mji katika mazingira ya usafi. Hapo ndipo tulipokwama, usafi wa mji hakuna, hali ni mbaya sana ndani ya miji yetu.:angry:
  6. Mpasuajipu

    Naomba msaada wenu.... Email yangu imeingiliwa na wanaojifanya wajanja kusaka pesa

    Ndg wana Jf, Naomba msaada wa jinsi ya kuirejesha email yangu ambayo imevamiwa jana na kusambaza ujumbe kuwa naomba pesa kwa watu wanisaidie eti nimeibiwa, jambo ambalo si kweli. Nilikuwa natumia Yahoo.com sasa siwevi kuingia nimejaribu kuchange password lakini haijafanikiwa. Kwa yeyote...
  7. Mpasuajipu

    Babu wa Loliondo kutoa kikombe leo 1-4-2011 Jangwani Dar

    Leo saa 6 mchana babu atakuwa viwanja vya Jangwani Dar es salaam akitoa kikombe kwa wenye shida wote. Babu ameamua hivyo kusherehekea siku ya leo na kurahisisha huduma kwa wananchi. Kikombe atakitoa hadi saa 12 jioni na kurudi tena Loliondo ambako ndio makazi yake yalipo. Nyote mnakaribishwa...
  8. Mpasuajipu

    Mchezo wa Ng'ombe huko Pemba

    Mchezo wa ng'ombe Pemba kisiwani Pemba ndipo mahali pa pekee katika Afrika penye desturi hii ya mchezo wa ng'ombe. Hii ni kutokana na athira ya Ureno kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki miaka 400 iliyopita. Mara Wareno walikuwa na kituo huko Chake Chake, mara walikuwa na mapatano ya usaidizi...
  9. Mpasuajipu

    Mtoto wa kisukuma

    Kwa mtoto yeyote wa kike wa Kisukuma ani - Pm nina neno la kuongea naye kwa faragha.
  10. Mpasuajipu

    Usafiri wa kwenda kwa Babu......

  11. Mpasuajipu

    Na mimi naweza............

    Hii imekaeje? hapa mkuu anaonekana akipata maelekezo fulani kwa mtaalam kutoka China.
  12. Mpasuajipu

    HAPA LAZIMA UDATE.....hata ukiwa mgumu vipi

    Mmmmmh jamani hii dunia ingekuwa hakuna kuzeeka wala kufa, ningeomba nikae na huyu kimwana maisha yangu yote tukiwa tuanaburudishana. lakin hata kuangalia tu ni burudani tosha. Hapa tuko mjini Kigali jamani looo! Hii siyo ya Kibongo. Nilibahatika kuwa huko siku za karibuni, Kigali ni burudani...
  13. Mpasuajipu

    KENYA YATUMA NDEGE TRIPOLI .... KUOKOA WAAFRIKA WOTE! Bongo Air Tanzania iko wapi?

    Source: BBC NEWS Kenya imetuma ndege kwenda Tripoli kuondosha raia wote wa Kiafrika walionasa Tripoli ambapo mapigano makali yanaendelea kuuteka mji wa Tripoli na kumkabili Gadhafi ambaye haijulikani kama bado yupo hapo au kazimika. Wakenya wako very "patriotic" nawasifu sana. wabongo...
  14. Mpasuajipu

    Gadhafi aanza kulia ahurumiwe....kafanya mengi mazuri, lakini ....

    At one point, Moammar Gadhafi compares his rule to that of the queen of England, who has been on the throne for 52 years but does not wield real political power. "Queen Elizabeth has ruled longer than I have and nothing has happened to her, no one has bothered her," he says, speaking by phone on...
  15. Mpasuajipu

    IJUE FAMILIA YA GADHAFI- Watoto wa nyoka ni nyoka tu

    Kanali Muommar Gadhafi miaka 68- alipata madaraka katika mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu mwaka 1969- alimpindua aliyekuwa mfalme wa Libya wakati huo Mfalme Idris. Watoto wa Gadhafi 1. Muhammad Mtoto wa kwanza wa Gadhafi na mkewe wake wa kwanza, Fatiha waliyetengana naye miezi sita tu...
  16. Mpasuajipu

    MAJINA YA WATU YANAYOFANANA NA YA WANYAMA/WADUDU....ama kweli utamaduni ...

    1. MAPUNDA= PUNDA 2. NGONYANI= NYANI 3.MAYOKA= MAJOKA/NYOKA 4.MWAFISI= FISI 4. MATWIGA=TWIGA 6. KIROBOTO ama kweli utamaduni wa kibantu na majina ya ajabu ajabu, hebu endelezeni orodha hii
  17. Mpasuajipu

    Hekaya za Abunwasi....zinakutufunza nini wa-TZ?

    Katika mwaka mmoja, Abunuwasi aliamua kuwa mfugaji mbuzi. Alinunua mbuzi na akanza kufuga na huku akiwa na tamaa ya kumuongezea kipato chake pindi tu mbuzi huyo atapoanza kuzaa watoto, naye atawafuga hadi wawe wengi na kuwa tajiri mji mzima kwa mbuzi wake hao. Siku moja Abunuasi akipokuwa...
  18. Mpasuajipu

    Power mabula, moris nyunyusa na mwinamila ....tz imewaenzi vipi ?

    Wanajamvi sijui km nimetua ukumbi husika, km sio mtanisahihisha. Napenda kujua hawa ndg zetu waliwahi kuvuma sana enzi zao katika sanaa. Power Mabula alikuwa na nguvu za ajabu kuuia au kuvuta magari km Scania n.k au hata gari kupita kifuani kwake bila kudhurika. Mzee Moris Nyunyusa hadi...
Back
Top Bottom