Naomba sifa za wafuatao......Magamba yaliyovuliwa siku za nyuma

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Wana JF naomba mpasue majipu ya wafuatao kwa ganzi au bila ganzi kwa wafuatao:

Hawa wote ndio waliowahi kushika wadhifa wa UKATIBU MKUU WA CCM tangu kuanzishwa kwake.
Je nao walikuwa magamba?
Lipi lilikuwa gamba gumu kabisa kung'oka?

1. 1977- 1980 - Pius Msekwa

2. 1981- Daudi Mwakawago (RIP)

3. 1982-1990- Rashidi Kawawa (RIP)

4. 1990-1995- Kolimba (RIP)

5. 1996-2006- Philip Mangula

6. 2006-2010- Yusuf (Joseph) Makamba

Je hili gamba la mwisho kung'oka mnalionaje wadau?

Maana katika msafara wa mamba na kenge hawakosi. Kenge ni jamii ya mamba waliodumaa.
 
Hakuna gamba lililovuliwa.Hizo ni lugha za kilaghai. Kwani wamefukuzwa kwenye CCM? Na siyo kila aliyesitaafu uongozi amevuliwa kama gamba. Akina Mwakawago, Kawawa na Mangula walifanya kazi nzuri na kustaafu kwa heshima. Mafisadi ndiyo magamba katika CCM na bado wamo. January Makamba je, siyo gamba?
 
Hapo kinacho fanyika ni usanii na kukumbatiana. Hamna kitu hapo, ni kuendeleza siasa za kifamilia tu
 
Back
Top Bottom