Naomba msaada wenu.... Email yangu imeingiliwa na wanaojifanya wajanja kusaka pesa

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Ndg wana Jf,
Naomba msaada wa jinsi ya kuirejesha email yangu ambayo imevamiwa jana na kusambaza ujumbe kuwa naomba pesa kwa watu wanisaidie eti nimeibiwa, jambo ambalo si kweli.

Nilikuwa natumia Yahoo.com sasa siwevi kuingia nimejaribu kuchange password lakini haijafanikiwa.

Kwa yeyote mwenye utaalamu zaidi anielekeze tashukuru sana maana kuna email za kazini na folders muhimu za kazi siwezi kuziona sasa.
 
usijibu reply message na usiwe unakubali kutuma email kwa watu usio wafahaa mara nyingi(senegal,nigeria etc) huw wko msn,facebook au an social network upenda kutumia picha za wadada walimbende hahahaaaaa pole ila dont reply dem
 
nenda kwenye login, click I cant access my account

chagua "My account may have been compromised" fuata maelekezo.
 
wapopo at work jamaa washenzi sana hawa,pole ndg yangu ila fuata huo ushauri wa wataalamu hapo juu
 
Hahahaaaaa pole sana ndugu yangu mchezo kama huu wanautumia sana hao jamaa wanaigeria wanatumia majina ya wadada kwamba wako kwenye kambi ya wakimbizi ukitaka kuziona msg zao nenda kwenye google tafuta romanticscammer mimi niliwamaliza kwa kuwambia pesa zangu haziko benki ziko kwenye hiyo website yao wakachoka
 
nenda kwenye login, click I cant access my account

chagua "My account may have been compromised" fuata maelekezo.

Asante mkuu nitajaribu wamenitibulia kazi siku mbili sasa siwezi kuona email zangu. nashukuru kwa maelekezo
 
Ndg wana Jf,
Naomba msaada wa jinsi ya kuirejesha email yangu ambayo imevamiwa jana na kusambaza ujumbe kuwa naomba pesa kwa watu wanisaidie eti nimeibiwa, jambo ambalo si kweli.

Nilikuwa natumia Yahoo.com sasa siwevi kuingia nimejaribu kuchange password lakini haijafanikiwa.

Kwa yeyote mwenye utaalamu zaidi anielekeze tashukuru sana maana kuna email za kazini na folders muhimu za kazi siwezi kuziona sasa.

Jaribu kuwasiliana na Yahoo wataweza kukusaidia kupata Password yako tena hebu fuatilia hapo chini uchague moja swali kisha ubonyeze ( Next)

b
Looks like you need some help?

Let us help you find a solution.

What's the problem you are experiencing? What's the problem you are experiencing?

I forgot my password My password doesn't work I forgot my Yahoo! ID My account may have been compromised

bonyeza hapachini

Chanzo : https://edit.yahoo.com/forgotroot?done=http://mail.yahoo.com&src=ym&partner=&intl=us
 
Back
Top Bottom