Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 49
Source: BBC NEWS
Kenya imetuma ndege kwenda Tripoli kuondosha raia wote wa Kiafrika walionasa Tripoli ambapo mapigano makali yanaendelea kuuteka mji wa Tripoli na kumkabili Gadhafi ambaye haijulikani kama bado yupo hapo au kazimika.
Wakenya wako very "patriotic" nawasifu sana.
wabongo kimyaaa kama tumenyeshewa mvua, angalia hata lile tukio la Maharamia wa Somalia kuitemka meli na watanzania wamo katika meli hiyo hadi leo, hakuna juhudi zozote zinazoendelea kuwanusuru ka kadhia hiyo!
Kazi vicheko tu, teh teh " Usisikilize redio mbao" teh teh