Mtoto wa kisukuma

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
Kwa mtoto yeyote wa kike wa Kisukuma ani - Pm nina neno la kuongea naye kwa faragha.
 
Unamtakia nini?Kama unamtafuta kwa uwazi to dukuduku lako kwa uwazi!
 
hilo neno ungelimwaga hapa hadharani ingekuwa vizuri ila huko faragha mmmh!!!!!ila subiri wanaweza kuja
 
Maelezo hayajitoshelezi,
Msukuma wa mwanza au shinyanga,
Bariadi, maswa, kahama au

Geita, misungwi, ilemela au? Kuwa wazi bana watu tujitokeze
 
Thread za hivi huwa zinaudhi kweli mtu anaanzisha halafu anaingia mitini sijui anataka kuchora na kuwaenjoy tu watu sielewi kabisa
 
Thread za hivi huwa zinaudhi kweli mtu anaanzisha halafu anaingia mitini sijui anataka kuchora na kuwaenjoy tu watu sielewi kabisa

Check hapa!

A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unamtakia nini?Kama unamtafuta kwa uwazi to dukuduku lako kwa uwazi!

Ukituma takuambia lengo zima.Unajua kila sio jambo lazima uliweke wazi ww km unahisi unania ya kujua nina jambo gani basi fanya kulingana na maombi niliyoyaweka. Hii thread inasomwa na maelfu ya watu, na ombi limespecify kwa walengwa tu. Wengine hupenda utani tu, sasa km ww ni mlengwa na una dukuduku la kujua ninamwazo gani tuma km nilivyoelekeza. Nadhani sijakukwaza kwa hili.
 
Back
Top Bottom