Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni...
Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A
Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao...
Kiukweli wanaichi tumechoka mbona magufuri aliweza kumaliza tatizo hili na mvua zilikuwa za mapicha picha ila mgao haukuwepo
Wadau karibuni kwa mawazo tuanzie wapi tuishie wapi
Kifo cha lowasa kimeibua mijadala ya mazuri yake na mabaya yake katika safari yake ya maisha katika siasa zake, uzuri wa siye wabantu marehemu asemwi kwa mabaya ni mwiko marehemu anasemwa kwa mazuri tu hata kama mabaya yapo basi mnatasemea gizani
Kuna jambo zuri kuhusu marehemu linasemwa la...
Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao...
Bwana nape hii imekaaje kuna hizi tasisi za kukopesha mitandaoni zinaomba namba ya watu wa karibu wawili au watatu ajabu sasa mwisho wa siku wanatuma meseji kwa namba zako za sm zote ulizonazo kwenye sm yako na ambazo ukuwapa hapa mchawi nani.
Kampuni ya sm au TCRA maana tumeshahisi hakuna...
Kuondoa utata clouds wambieni walimu kutoka mikoa tofauti tofauti wapige sm wawambieni lini na wapi walimu walipewa mafunzo ya hii mitaala mipya, zaidi nao wanasikia na kuona kama wazazi.
Pili halmashauri gani imepokea vitabu vya kujifunza na kujifunzia vya hiyo mtaala mpya.
Waache siasa...
Maafisa elimu mkoa, mpaka Wilaya hawana majibu, Wakurugenzi wa Halmashauri hawana majibu, wakuu wa mikoa mpaka wilaya hawana majibu, makatibu tawala hawana majibu, wabunge hawana majibu, zaidi ya tetesi kuwa serikali ipo kwenye mpango mwakani turudi kwenye elimu ya kulipia hii ni kutokana na...
Unaweza kuona hoja ya kitoto ila ukweli ni kwamba kuna asilimia kubwa ya watu mjini na wengine vijiji wana nguvu ya kufanya shughuli zenye tija za kuleta maendeleo yao binafsi na taifa ila wapo wamekaa tu vijiweni wanapiga soga asubuhi mpaka jioni wanaishi kijanja ujanja na wapo kulaumu serikali...
Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP.
===
Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega.
Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
Kigwangala anaomba Rais aipe Nzega hadhi ya mkoa baadaye anakuja Bashe anasema mama tunaomba unapoondoka 2030 basi wilaya ya Nzega iwe mkoa.
Anakuja Rais anasema nimepokea maombi ya MBashe kuwa kabla sijaondoka 2030 Nzega iwe mkoa.
Akili za kuambiwa changanya na zako Kigwangala huna chak0...
nyie ni watumishi wa umma mnaongozwa na miongozi ya kiutummishi siyo kundi furani likae chini lipange mipango yao nakuwaletea
sawa nyie ni walimu mmepewa semina yoyote elekezi ya kutimiza hili jambo
sawa nyie ni rasilimali watu je rasimali fedha zipo au kwakua ajira ni ngumu wanataka...
Suala ambalo limejitokeza wiki hii mwanafunzi kungangania namba ya mtihani ambayo si yake na kusema ni yake si geni kwenye jamii zetu, wazazi ambao si waelewa sana wanadanganywa sana na watoto zao pale matokeo yanapotoka hasa mwanafunzi akiferi wengi huchukua namba za wenzao na kusema ni namba...
Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana
Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka,
Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa
Unakuta...
Kiroboto sihitaji andika sana, hebu kaa na wadau mjini usisubirie upepo wa sugu na lile tamasha lake kaa na wadau itisha tamasha HESHIMA YA JUMA NATURE siku moja tu usiku mmoja tu.
Hiyo siku tuje turuke goma zako
Tupakue ugali
Tumuimbie radhia
Tulianzishe kigheto gheto
Tumtulize mtoto iddy...
Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini, haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula.
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga.
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri, akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio...
Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media
Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii.
Baada ya kuona nchi inaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.