nzega

Nzega is a town in central Tanzania. It is the district headquarter of Nzega District.

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia

    “Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amewataka Watanzania wote popote walipo kutumia hashtag ya ‘Nasimama na Mama’...
  2. A

    KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  3. peno hasegawa

    Basi la Alfa lililopata ajali Nzega lilibeba abiria 78. Je, kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

    Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria. Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78? Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani? Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi? Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi? RPC Tabora, OCD Nzega na...
  4. REJESHO HURU

    Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

    Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP. === Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega. Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini Wamachinga Wanawake Watatu wa Nzega waliandaliwa Meza yao, walikuwa Wanajiamini na hawajulikani sana hapo Sokoni Nzega?

    Halafu Director wa Movie hakumpa Mazoezi ya Kutosha Actress kwani kuna mahala alipokuwa akimhoji Mmachinga Feki wa Kike wa Nzega ( ambao Watu wa Mwenge na Makumbusho ) Dar es Salaam huwa Wanamuona alikuwa akiharibu kwa kila mara Kumuuliza kwanini Yeye ni Mrembo na ni Mmachinga? Actress wa Movie...
  6. benzemah

    Tabora: Rais Samia atoa bilioni 4 ujenzi wa soko la kisasa Nzega Parking

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora. Rais Dkt, Samia ametoa fedha hizo alipotembelea soko hilo kufuatia...
  7. benzemah

    Picha: Maelfu ya wananchi wa Nzega walivyompokea Rais Samia

    Wananchi wa Nzega waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora.
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kainja aendelea Kugusa na kuwainua kiuchumi Wanawake wa UWT Kata 46 za Wilaya ya Nzega

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Nzega ambapo ameendelea kutoa fedha za miradi mbalimbali yenye thamani ya Shilingi Milioni 81,000,000 katika Kata zote za Mkoa wa Tabora ili kuwawezesha wanawake kiuchumi. Vilevile...
  9. REJESHO HURU

    Mwenye club figtnes Nzega ujinga uliofanyika usiku wa leo usikubali ujirudie

    Natoka zangu Mwanza nimechoka drive nikasema nipumzike Nzega, Mungu wangu yani mtu ana Birthday yake anaongoza Baa nzima Mmiliki sikujui ujui ila huu ujinga usikubali tena. Nzega siyo kijiji hapo ni senta ya nchi na nje ya nchi miye nimeondoka baada ya huo ujinga so mmiliki wa hilo eneo play...
  10. luangalila

    KERO: Stand ya Nzega ni chafu imejaa takataka za vifungashio vya vyakula na plastic

    Ni aibu kubwa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita. Yaani ni takataka zimezagaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyo na viongozi mpo mmekaa tu maofisini mnashindwa kuweka hata dustbins ...
  11. M

    TANESCO imekithiri kwa vitendo visivyo vya kiutumishi

    Wana jamvi nashindwa kuelewa kama sehemu zingine za nchi hii zinapata shida ya kuunganishiwa umeme kama Nzega haswa Nzega Mjini. Kumekua na changamoto kubwa ya kupatiwa huduma ya maunganisho ya umeme hata baada ya kufanya malipo. Mfano mteja anafanya malipo na ndani ya miezi miwili, mitatu...
  12. A

    Mpambano mkali kituo cha Polisi Nzega stendi kati ya Abiria na Polisi

    Wanabodi Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai. Muhtasari wa habari. Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi. Polisi walimshusha dereva...
  13. Analogia Malenga

    Watoto wawili wauawa Nzega, ng’ombe zachukuliwa

    Tabora. Watoto wawili wenye umri wa miaka kumi na mbili wameuawa na miili yao kuzikwa ndani ya nyumba baada ya kurubuniwa na kuchukuliwa ng'ombe walizokuwa wanachunga. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki eneo la Ndala wilayani Nzega usiku wa kuamkia jana Jumapili Julai 11, 2021. Kamanda wa...
  14. Civilian Coin

    Jinsi nilivyo bambikwa Kesi ya Ubakaji mwanafunzi Wilayani Nzega

    JINSI NILIVYOBAMBIKWA KESI YA KUZAA NA MWANAFUNZI WILAYANI NZEGA MWAKA2009. Mwaka 2008 Kuna Binti (Bahati) alikuwa Form 4 Shule ya Sekondari Kiri-Nzega. Mdada huyo alibebeshwa mimba na mtu anayeitwa Pro akiwa kwenye mitihani ya kumaliza Form4. Mapadre wa shirika la SFS wakamwambia ang'ang'anie...
Back
Top Bottom