Kuna haja serikali ikaanza utambuzi wa shughuli za watu mijini na vijijini wasio na kazi waende wakalime kwa lazima

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,460
9,394
Unaweza kuona hoja ya kitoto ila ukweli ni kwamba kuna asilimia kubwa ya watu mjini na wengine vijiji wana nguvu ya kufanya shughuli zenye tija za kuleta maendeleo yao binafsi na taifa ila wapo wamekaa tu vijiweni wanapiga soga asubuhi mpaka jioni wanaishi kijanja ujanja na wapo kulaumu serikali kutwa , wakati wao wamekaa mabigwa kusema nchi yetu tajiri ila viongozi wanaitafuna ukiangalia wizara ipi ikitoa fursa yeye atanufaika hakuna maana elimu hana, ujuzi hana na hana mpango amekaa tu anasubilia miujiza ya wanasiasa kuwa ccm ikitoka madarakani maisha yatakuwa mazuri, waliosoma na kumaliza vyuo vikuu wanasema ajira hakuna wamemaliza chuo sawa ila weredi hawana wakiitwa kwenye usairi wanashindwa ila wapo kusema ajira hakuna wamekaa tu kigezo wamesoma ila ukweli wanaujua wao

Aalinza mchukia Rais mkapa,, akaja mchukia kikwete, akaja mchukia magufuri, na sasa anamchukia mama kizimkazi, na wanasiasa ndio wanawatumia sana hawa vijana au hili kundi kwa kuwalisha maneno rahisi rahisi kwa kutaja mishahara ya wabunge na posho zao kuwa ndio zinakwamisha maendeleo yao vijana mwisho wa siku hili kundi linakuwa na chuki na viongozi wa serikali mpaka viongozi wa dini na kiukweli viongozi hawa wa siasa na dini wanapenda sana kundi hili liwepo kwani linafaida kwao maana ni kundi lisilojua linataka nini kwa sababu

Si wakulima kuwa watapiga kelele kuhusu bei za mazao na pembe jeo hivyo wataungana kupaza sauti kwaiyo watakosa kura

Si watumishi wa umma kuwa wataleta mgomo baridi wataungana watawanyima kura

Nasema hivyo maana hayo makundi hapo juu sote tumekuwa mashahidi wakiwa na agenda yao wakipigia kelele huwa wanasikilizwa na watatuliwa japo si kwa ukubwa huo

MY TAKE
Kupitia watendaji wa kata kwenda kwa wenyeviti wa kata na mitaa uwekwe utaratibu wa kuandaa mashamba maeneo yenye rutuba nzuri kila mkoa uwe na eneo lake serikali ichukue jukumu la kupeleka huduma za kijamii uko umeme, maji, hospitali nk kisha msako upite ikibainika mtu hana kazi ambayo inaweza kubadilisha maisha yake aende kukaa uko Alime kwa nguvu

kwanini nasema kilimo sababu ipo wazi ikijulikana Tanzania kuna mazao mengi ya kutosha na yenye tija mnunuzi atakufuata tu shambani dunia sasa ni kijiji hivyo tujikite kwenye kilimo kutokana na asili ya eneo mazoa yepi yakilimwa hustawi kwa wingi mazoa ambayo atauza na kupata kipato majeshi yetu yatumike kusimamiza hilo zoezi

Siyo tunajenga shule kila kata tunajenga hospitali kila eneo kwa watu ambao hawazalishi chochote wapo kupiga kelele watoke mijini waende uko mashambani wakapambane

Ina uma sana kijana ana nguvu kabisa anaendesha bodaboda seriously sijui bajaji wakati mashamba yapo uko walimajii wapo mjini kwa shughuli ambazo haziwezi badilisha maisha yake, ni ujanja ujanja tu

Mabinti hawataki shule hawataki jishughulisha na shughuli za msingi wakijua watadanga maisha yaende, vijana wanakimbia vijijini wanaacha mashamba wanakuja mjini wanakuwa bodaboda, wengine wamachinga wanauza nail cutter, leso, fangio, soksi asubuhi mpaka jioni anatembea kweli tutafika

TUNAJUA WANAHARAKI MASLAHI WATASEMA HUO NI UDIKTEKA ILA TUKUMBUKE SUALA LA MTU KUKAA BILA SHUGHULI YA KUMPATIA KIPATO NA ANAKUWA NA TAMAA NDIO TUNAPATA TAIFA LA HOVYO WALEVI, MACHAWA, MASHOGA, PANYA ROAD NK
 
Ndugu wewe mjini ulienda kufanya Nini?
 
Ndugu wewe mjini ulienda kufanya Nini?
Naishi kijijini mkuu ndio maana nimesema kuna haja watu wakarudi vijijini kwa lazima maana naona jinsi aridhi zinavyoota nyasi na zina rutuba ya kutosha na jinsi mabwawa yanaota magugu maji wakati vijana wapo mjini wanapiga misele tu na kijazwa na mawasiasa kwa story kuwa chama furani kikitoka madarakani unafuu wa miasha
 
Back
Top Bottom