mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania?

    Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania? Tujuzane!
  2. Yoda

    Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili. Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
  3. Suley2019

    Mbowe na Lissu wagawana mikoa ya Maandamano

    Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeweka hadharani ratiba ya kufanyika kwa maandamano nchi nzima huku mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu wakigawana mikoa kuyaongoza. Maandamano hayo ni matokeo ya mkutano wao uliofanyika Machi...
  4. Erythrocyte

    Kumekucha: CHADEMA yatoa ratiba ya wiki ya Maandamano, Tundu Lissu kuongoza Mikoa Mitano

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba yake imetolewa Rasmi. Ratiba hiyo Kabambe imetangazwa na Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John...
  5. Richard

    Mapendekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha: Igeuze Arusha kuwa ndo "Financial Centre" ya Tanzania na iwe mfano wa mikoa ingine na tafuta washauri maalum

    Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo. Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
  6. ndege JOHN

    Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

    Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia...
  7. Replica

    Paul Makonda: Watu wa Arusha wanaweza kwenda popote kupambana, iko mikoa unakuta waganga wengi wa kienyeji. Kutambulisha polisi wa kitalii

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemshukuru Rais Samia kumteua mkuu wa mkoa wa Arusha kuongoza wananchi wenye akili nyingi na wapambanaji wasiokata tamaa na wanaojua hatma ya nchi. Ameyasema hayo kwenye kumbukizi ya waziri mkuu wa zamani, Edward Sokoine iliyofanyika mjini Arusha. Makonda...
  8. chiembe

    Rufiji: Haijaisha mpaka iishe, mamlaka ya hali ya hewa yatangaza mvua kubwa katika mikoa kadhaa, serikali ichukue tahadhari kuwahamisha wananchi

    Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa Pwani. Tahadhari za awali ni pamoja na kuwaondoa wakazi wa mabondeni, misaada iwe standby Rufiji, na...
  9. ndege JOHN

    Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo.. Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na...
  10. Wadiz

    Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  11. Wadiz

    Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  12. Kididimo

    Ifike mahali, Wananchi wawakatae Wakuu wa Mikoa wasiofaa. Uteuzi wa Rais siyo msahafu

    Maendeleo ya watu huletwa na watu wenyewe kwa kushirikiana na viongozi bora katka mazingira ya amani, utulivu na upendo. Kiongozi ambaye siku zote ni kuchochea mpasuko na vurugu hafai hata kidogo. Nitoe mfano hai kwa kiongozi kama Makonda. Kiongozi huyu ametuhumiwa na kwa ushahidi ulio wazi...
  13. R

    Si sahihi kupeleka watu walioshindwa katika mikoa ya kimkakati kama Arusha na Songwe

    Mikoa ya Arusha na Songwe ni malango ya biashara nchini. Inahitaji watu wenye capacity yakuweka watu pamoja kuliko watu waliofeli. Unapokuwa na kiongozi aliyefeli kisiasa ni vigumu kiongozi huyo kufanya vizuri kwenye jukwaa la utumishi wa umma. Chongolo na Makonda wapo kwenye frustration...
  14. R

    Watanzania wameendesha makampuni ya usafirishaji abiria nchini lakini Serikali inaamini hawawezi kuendesha kampuni ya Mwendokasi

    Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria Dar es Salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu. Wanasafirisha abiria bila kelele wala malalamiko tena kwa mabasi mazuri yenye huduma zote. Kafulila na...
  15. Ojuolegbha

    UWT yawajengea uwezo wanawake viongozi kutoka mikoa 9 ya Kanda ya Ziwa na Ziwa Magharibi

    UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI 🗓️ 27/3/2024 📍 Winterfell, Mwanza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali...
  16. 6 Pack

    Rais Samia asijikite kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya pekee. Amulike ufisadi unaofanywa na Mawaziri wake

    Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
  17. K

    Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

    Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa. Mtaa wetu una takriban watu wazima...
  18. DR HAYA LAND

    Ili uishi sehemu yeyote unahitaji kibali na sio kila siku unahama mikoa huku na huku na bado haufanikiwi

    Kijana na wazee, mada hii ni fikirishi ila italenga kutoa maana kuhusu Maisha. Hapa duniani haijalishi upo mjini au kijijini Ila unachohitaji ili ufanikiwe na kutoishi maisha ya kuangaika ni kibali. Zingatia huu mchakato kwanza ili upate kibali. Fanya chaguzi kwa kuitikia wito wako. Ukiitikia...
  19. Annie X6

    Barabara kutoka Cairo Misiri hadi capetown Afrika Kusini, hapa Tanzania inakatisha mikoa ipi?

    Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine. Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
  20. Y

    Tunasafirisha Parcel & Mizigo Yote Kwenda Mikoa Yote Tanzania

    Habari, CITIZEN CARGO LTD Tunatoa huduma ya Usafiri wa Parcel, Vifurushi, Mizigo Mikubwa na Midogo. Kutoka Dar es salaam Kwenda Mikoa Yote Tanzania Mizigo yako itasafirishwa kwa haraka na uwakika. Wasiliana nasi leo tukutembelee kukuhudumia kwa haraka. Asante Yohane Sunguya Citizen Cargo...
Back
Top Bottom