application

  1. REJESHO HURU

    Kwanini kampuni ya Maboto haina Application Number ya mkopo katika mfumo wa ESS

    Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina wakawakubalia na kuwa N/A Kwanini aisee hii inchi imechezewa sana tunaomba utumishi muwape namba hao...
  2. sonofobia

    Naomba kusaidiwa, Writing sample ni nini kwenye job application?

    Wakuu kuna nafasi ya kazi ninataka kuiomba ila moja ya document wanazotaka ni writing sample, yenye maneno maximum 1,000. Ni kazi ya research assistant, naomba kusaidiwa ufahamu. Writing sample ni nini? Na inaandikwaje?
  3. Clark boots

    App nzuri ya kuscan kutoka picha kuwa pdf

    Wakuu nahitaji Application ambayo ni easy kutumia inayoweza kupadili Image/picture kuwa pdf tena kwa kuunganisha kabisa
  4. Jamii Opportunities

    Application for Medical Service Provision for Britam Insurance (Tanzania) Limited February, 2024

    Britam is a leading diversified financial services group with presence in seven countries in Africa namely: Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, South Sudan, Mozambique and Malawi. The company offers a wide range of financial solutions in General Insurance that includes Health Insurance. These...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Tenda ya Kudevelop Mobile Application na Website

    Habari wakuu, Anatafutwa mtaalam wa kudevelop mobile application na website. Ikiwa una nia na ujuzi wa kutosha, tafadhali wasiliana nasi. Tunatarajia kusikia kutoka kwako haraka iwezekanavyo. Asante na tunatarajia ushirikiano mzuri. Mawasiliano yetu: Bright and Genius Editors...
  6. F

    Msaada: Nahitaji ku-update taarifa kwenye maombi ya cheti cha kuzaliwa

    Habari zenu jamani, Nilikua nina apply cheti cha kuzaliwa online nikaambatanisha kitambulisho cha baba na leaving certificate wakadai ni-update kitambulisho cha mama na cheti cha la saba ila sasa nikitaka kuremove ili ni update walivyodai vile vya mwanzo vinagoma kuremove nifanyeje jamani msaada.
  7. brave Mwafrika

    Muda wa kufanya application

    Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..? Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??
  8. brave Mwafrika

    Muda wa kufanya application

    Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..? Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??
  9. Akili_tz

    Je, kuna option ya waliotoka foundation kwenye system ya application ya UDOM?

    Kabla sijaenda kusoma Foundation mwaka 2022, nilienda kuwauliza UDOM kwny maonesho ya Vyuo vikuu, wakanambia wanapokea, na kuna mtu alinambia kwenye system yao ya kuomba udahili ipo sehemu ya anayetokea foundation. Lakini baada ya kumaliza nimeenda kwenye maonesho ya vyuo vikuu. UDOM wakanambia...
  10. A

    DOKEZO TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

    Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi mmoja anadahiliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa kozi tofauti au kwa kozi ileile. Hii ni stage ambayo...
  11. goodhearted

    Application za mkopo HESLB

    Naomba kufahamishwa kama kuna mtu ameweza kukamilisha ujazaji wa taarifa za maombi ya mkopo elimu ya juu. Takribani wiki sasa Najaribu kumuombea kijana wangu lakini kipengele cha demographic inaload tu, taarifa hazihifadhiwi. Kama umeweza umefanyaje? Msaada tafadhari.
  12. R

    Msaada please-UDOM application: Matokeo ya form six hayapatikani

    Najaza maombi ya chuo UDOM, matokea ya form six system inaniambia Failed to fetch your details. Please try again Msaasa please
  13. akroatis

    Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore) Lengu kuu la hii application ni kumsaidia mfanya biashara mdogo kuwa na uwezo wa kurekori, na kupata...
  14. R

    SoC03 Jinsi application ya simu inavyoweza kutatua tatizo la ajira nchini

    JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION Utangulizi Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la watu hususani vijana ambao huhitimu masomo yao huku nafasi za ajira...
  15. Zeal of God

    Application Gani Inaweza Kukusaidia Kuangalia Salio Line Ikiwa Kwenye Modemu

    Kichwa hapo juu chaeleza, naomba anayefahamu app yenye uwezo wa kuangalia Salio line ikiwa kwenye modemu.
  16. African Geek

    Nimeigeuza Website yangu kuwa Application

    Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili. Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa kutumia framework ya next.js. 👇 🔗 Home 👈 👈 👈 👈 WEBSITE Na hii ndio App yake niliyoitengeneza kwa...
  17. Mr Why

    Elezea changamoto za mikopo inayotolewa kupitia Application za simu

    Wanajamvi zipo changamoto nyingi kuhusiana na mikopo inayotolewa kupitia Application za simu kama Umoja Loan, Premium, Branch na wengineo ikiwemo mteja kubambikiziwa riba kubwa sana zaidi ya asilimia 15% na tishio kwa mteja anayeshindwa kulipa kwa wakati, elezea jinsi ulivyodhalilishwa na mikopo...
  18. Mkurugenzi Wa Mashirika

    REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school

    Dear Headmaster, REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school. I am writing to express my strong interest in the physics and chemistry teaching position at your esteemed school. As a highly qualified and dedicated teacher, I am confident that my skills and...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHT AND GENIUS EDITORS Karibu Bright and Genius Editors tunatoa huduma zifuatazo: 1. Huduma ya kuhariri (kuedit) ripoti mbalimbali, propozo, vitabu, notes na barua mbalimbali. 2. Kuandika barua za kujitoa kwenye mifumo ya vyuo (Deregistration letters) 3. Kuandika barua za kuomba kazi. 4...
  20. Ahmet

    Mliopata ajira kupitia PSRS, status za application zenu zilikuwaje kabla ya kupata kazi na sasa hivi zikoje?

    Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje? Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa. NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
Back
Top Bottom