Search results

  1. Sipo

    Kwanini maeneo haya yalipewa majina ya hivi?

    Keko Magurumbasi Magomeni Afrika sana Sinza Mori Sinza kwa Remmy Sinza Palestina Mwenge Mbezi Louis Africana Kijitonyama Ubungo Kibangu Ubungo Maziwa Manzese Tandale Temeke Kunduchi Kimanzichana Mbagala Salasala Kibamba Kibamba Magarisaba Kibaha Buguruni Kinondoni Madale Bunju Boko Tegeta Goig...
  2. Sipo

    Tufundishane Ujasiriamali

    Kumekuwa na ongezeko la watu wanaotaka kujua ni jinsi gani ya kujiajiri wenyewe, namaanisha kama mtu mmoja au kama kikundi. Naomba tutumie andiko hili hapa kufundishana ni jinsi gani, mbinu zipi, njia zipi tunaweza kutumia katika kujitegemea wenyewe pasipo kutegemea mishahara na kazi za...
  3. Sipo

    Swali kwa – Nguli, FL1, Kaizer, bht, MJ1, Babra, Geoff, De Novo, PJ, Fidel,Preta, Kir

    Nguli - Potelea mbali jirani yako akipata ajali ya moto au kuuguliwa na mwanae unakuwa wa kwanza kumsaidia pasipo kujali mahusiano yenu. Kwanini? First Lady1 - Kwanini si lazima kwako wewe kwenda kumsalimia waziri wkati huko vijijini wanapanagana...
  4. Sipo

    Mafanikio na Maanguko kimapenzi 2009, Nini tufanye 2010?

    Umefanikiwa lipi kimapenzi, kimahusiano na kirafiki kwa mwaka 2009? Changamoto gani umezipata katika mapenzi, mahusiano na urafiki 2009? Nini tufanye kwenye nyanja hizi za mapenzi, mahusiano na urafiki 2010? Ni mada kwa kila mtu aliyeoa/olewa na wale ambao hawajaoa/olewa. Naamini...
  5. Sipo

    Wanawake waJF na michezo

    Wanawake walioko JF kama wanachama kwa mtazamo wangu naona si wakujichanganya sana uku jukwaa la michezo. Sababu ni nini? Hope FL1, MJ1, Nyamayao, ZD, bht, carmel, Vera City, Irene V etc mtajibu hili kwa uhakika
  6. Sipo

    Nimetunukiwa penzi

    hahahahahahahah.
  7. Sipo

    Kutoga masikio-Vijana wa kiume

    Kasi ya vijana wadogo wa kiume, miaka 15 - 25 kutoga masikio imeogezeka sana sio mijini tu bali na vijijini sasa tabia hii imeshika kasi. Sababu ni nini? Nawaomba waache
  8. Sipo

    Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Kuna tatizo la kujieleza wakati muomba kazi anapoenda kwenye usaili. Uzoefu unaonyesha kuwa wasailiwa wengi huwa wanachanganyikiwa na kushindwa kujibu maswali kwa ufasaha na kujikuta wanakosa kazi. Thread hii lengo lake ni sisi wanaJF kuelezana mambo ya muhimu ya kufanya/kuzingatia wakati wa...
  9. Sipo

    Shukrani

    Asanteni
  10. Sipo

    Nimepata Msiba WanaJF

    Ndugu wana JF leo mchana nimepata msiba
  11. Sipo

    Stressful Jobs That Pay Badly

    Stressful Jobs That Pay Badly Monday, November 16, 2009 High stress and a meager paycheck are just another day at the office. Here are some of the most overworked and underpaid professions out there. 1. Social Worker Median pay: $43,200 % who say their job is...
  12. Sipo

    Uvutaji wa Sigara Tanzania na Kansa

    Kwanini Tanzania tusiwe serious katika kuhakikisha kuwa wavuta sigara hawafanyi hivyo katika public places? Kwa mujibu wa takwimu wa ongezeko la Kansa Tanzania zilizotolewa na Dr. Ngoma sababu kubwa ni uvutaji wa sigara ambako asiyevuta lakini hukutana na moshi wa sigara ndie mwathirika mkubwa...
  13. Sipo

    Kwanini CCM wasiige walichofanya CHADEMA?

    Kwanini?
  14. Sipo

    Mandela Road

    Nimepita hii barabara jana nikiwa kwenye safari zangu za kwenda Kisarawe wakati mvua ilipokuwa inanyesha, ni aibu jamani, maji yalikuwa yamejaa/yametuama barabarani. Sasa nashindwa kuelewa itakuwaje hiyo Eli-Nino ikianza. Mkandarasi inabidi alione hilo
  15. Sipo

    Ukimwi v/s Mimba

    Kati ya wanaume na wanawake ni wapi wanaogopa Ukimwi sana kuliko mimba na ni wapi wanaogopa mimba sana kuliko Ukimwi? Hasa kwenye mahusiano ambayo bado hayajawa kwenye mfumo wa ndoa.
  16. Sipo

    Wachumba, wanaume wanaongoza

    Ukisoma kwenye magazeti, ukienda kwenye mitandao mbalimbali, wanaume ndio wanaongoza kwa kutafuta wachumba. Sababu nini hasa?
  17. Sipo

    Maana na Matumizi ya Maneno haya

    Naomba maana na matumizi ya maneno haya 1. Bwenyenye 2. Bazazi 3. Bepari uchwara 4. Mbenzi 5. Mbangaizaji 6. Mlalaheri 7. Mlalahoi 8. Gabachori 9. Wavuja jasho 10. Wafuta jasho 11. Makabwela 12. Wanyang'anyi 13. Naizesheni 14. Makabwela 15. Masalia 16. Wapishaji 17. Wapishwaji 18. Watama/Washika...
  18. Sipo

    Waume na Wake zetu

    Hivi huwa tunapata waume na wake zetu ambao kweli ni sehemu ya mbavu zetu na nyama zetu? Nauliza hivi kutokana na mikasa iliyopo kwenye ndoa kama vile kudundana/kupigana; kuvunjika kwa ndoa; kutoka nje ya ndoa; kukosa uvumilivu; kukosa subira; kukosekana kwa heshima ndani ya ndoa n.k. Nini...
  19. Sipo

    Watanzania uuuwi! uuuwi! uuwi!

    Watanzania uuuwiii!!!
  20. Sipo

    Mabenki yarekebishe huduma zake na kujali wateja

    mabenki yarekebishe huduma zake kwa manufaa ya nchi na wananchi
Back
Top Bottom