Mandela Road

Sipo

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
2,139
91
Nimepita hii barabara jana nikiwa kwenye safari zangu za kwenda Kisarawe wakati mvua ilipokuwa inanyesha, ni aibu jamani, maji yalikuwa yamejaa/yametuama barabarani. Sasa nashindwa kuelewa itakuwaje hiyo Eli-Nino ikianza. Mkandarasi inabidi alione hilo
 
Ulipita maeneo gani? Hii barabara ni ndefu, kuanzia mataa ya Ubungo hadi kule kwenye junction ya Uhasibu (TIA), sasa maybe ulipita maeneo kama ya pale Sokota ukakuta mafuriko, huko bado hawajafika ila ndo wanaelekea kukarabati.
 
Back
Top Bottom