Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 91
Naomba maana na matumizi ya maneno haya
1. Bwenyenye
2. Bazazi
3. Bepari uchwara
4. Mbenzi
5. Mbangaizaji
6. Mlalaheri
7. Mlalahoi
8. Gabachori
9. Wavuja jasho
10. Wafuta jasho
11. Makabwela
12. Wanyang'anyi
13. Naizesheni
14. Makabwela
15. Masalia
16. Wapishaji
17. Wapishwaji
18. Watama/Washika tama
19. Wagenzi
20. Wasuguaji
1. Bwenyenye
2. Bazazi
3. Bepari uchwara
4. Mbenzi
5. Mbangaizaji
6. Mlalaheri
7. Mlalahoi
8. Gabachori
9. Wavuja jasho
10. Wafuta jasho
11. Makabwela
12. Wanyang'anyi
13. Naizesheni
14. Makabwela
15. Masalia
16. Wapishaji
17. Wapishwaji
18. Watama/Washika tama
19. Wagenzi
20. Wasuguaji