Kasi ya vijana wadogo wa kiume, miaka 15 - 25 kutoga masikio imeogezeka sana sio mijini tu bali na vijijini sasa tabia hii imeshika kasi. Sababu ni nini? Nawaomba waache
Hahaha! Mpwa bana. Wanaanzaga na masikio, then wanasuka nywele, kisha suruali inashushwa mpaka makalioni. Baada ya hapo wananunua line ya TiGo!
Wee Mpwa wacha tu. Juzi nilipoenda kijijini nilishangaa madogo waliomaliza darasa la saba mwaka huu wametoga masikio, iliniudhi sana, nilipowauliza sababu wakabaki kuguna guna. Washenzi sana hawa watotoHahaha! Mpwa bana. Wanaanzaga na masikio, then wanasuka nywele, kisha suruali inashushwa mpaka makalioni. Baada ya hapo wananunua line ya TiGo!
Wee Mpwa wacha tu. Juzi nilipoenda kijijini nilishangaa madogo waliomaliza darasa la saba mwaka huu wametoga masikio, iliniudhi sana, nilipowauliza sababu wakabaki kuguna guna. Washenzi sana hawa watoto
Wee Mpwa wacha tu. Juzi nilipoenda kijijini nilishangaa madogo waliomaliza darasa la saba mwaka huu wametoga masikio, iliniudhi sana, nilipowauliza sababu wakabaki kuguna guna. Washenzi sana hawa watoto
hawaangalii hata wako wapi. Cha ajabu siku hizi hata kwenye nyumba za ibada wanakuja hivi. Tabu kweli, hii nchi kwisheni kabisa, kila laana tumeibebasikio, tatoo, kusuka bado wakuvalie suruali kama wanavua vile, ma boxer yao yapo nje nje....tabia mbaya sana.
Ukithubutu kumuambi matendo yako si mazuri umetangaza vita, sijui kwanini hawaoni madhara yake hapo baadae, shame on you boys who do that.sikio, tatoo, kusuka bado wakuvalie suruali kama wanavua vile, ma boxer yao yapo nje nje....tabia mbaya sana.
Thubutu kumwambia uone cha moto, si unajua siku hizi kuna uhuru wa kuzungumza LFUkithubutu kumuambi matendo yako si mazuri umetangaza vita, sijui kwanini hawaoni madhara yake hapo baadae, shame on you boys who do that.
Yah! Tunahitaji kitu kama hikiSerikali itoe tamko kwamba hakuna kuweka tattoo ,kutoga masikio, kuvaa Kata-K, Vimini. Enzi zile wakati wa Mzee wa Vita Mfaume Kawawa ilikuwa ukikutwa na nguo ya kubana tu kwa wakina dada ni kuchaniwa hadharani. Inawezekana ikaonekana kama Udikteta lakini inalinda maadili ya mtu. Kuna nchi ukienda tena zilizoendelea masuala kama hayo ni mwiko. Nenda Saudia halafu uvae namna hiyo kama hujachapwa bakora hamsa siku ya Ijumaa mbele za watu.
Duuh yaani kama umeisoma akili yangu. Mwanaume kisa mkasa kufanya mambo kinyume na utaratibu? Kweli unaweza kuanza suka kama masihala baadae ukajikuta umeshiriki mbio za wanawake kumbe ni mwanaumeHahaha! Mpwa bana. Wanaanzaga na masikio, then wanasuka nywele, kisha suruali inashushwa mpaka makalioni. Baada ya hapo wananunua line ya TiGo!
Samahanini mimi nilidanganywa na kaka zangu nikatoboa je nifanyeje?
ziba nguli....by the way ulikua na umri gani wakati unadanganywa?