Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

Hadija kopa alishasema baba ake hakuwai kuwa na time na mwanae...kwaivo zuchu atakuwa ako sawa ila suala la umasikini ndo la kufikiria!
Kuna wakat binadamu tunakuwa na upungufu wa akili,ata kama baba yako hakujali kwa chchte au hata amekulekeza lkn uwezi kumpa mwanaume mwngne sifa ya kuwa baba bora wakat sio yeye aliyekufa uwe kiumbe,that is non sense kabsa
 
Wanaogopa vibarua vitaota nyasi wanasifia kwa kinafiki wewe jiulize huyu bidada amewahi kutabasamu kila anapopiga picha??!!
Na vipi investment anayotumia Diamond kuwekeza kwao ikiwemo kulipia videos, kuwabrand, kuwapangishia department za kuishi kupoteza muda mwingi kuwapigia promo bila kutoa kazi zake kwa wakati huo
 
Na ndio maana nashangaa mtu akija na hoja eti Mondi anawanyonya hawa wasanii
Soma tena ulichoandika alafu think deep...Anyways nisiwe judgmental ila kwa namna ulivyoandika wewe sio mtu wa music na haujui game lilivyo... Watu wa lebo ni wanyonyaji sana...Yan mambo ya lebo hata the late MJ alishapigwa sana alivyokuwa Jackson 5, tena wao ndio wana the worst record label deal in Music history.... Kapigwa Wayne na Birdman itakuwa harmonize ?...
 
Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz.

Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake.

Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na Diamond, kama inavyoonekana mitandaoni.

Licha ya kejeli zote ambazo Zuchu amepokea kutoka kwa wanamitandao, amezidi kutia bidii kila kuchao.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alipakia video huku akionyesha nyumba yake na kusema kwamba alikuwa ameithamini.

Pia aliweka wazi kwamba yuko tayari kusherehekea sikukuu ya krismasi, na hata kumshukuru Diamond kwa umbali amemtoa.

" Mimi Dai akinipata sikuwa na chochote . Alinikuta maskini akanitunza kama Mtoto wake. Alinipa mkataba katika Lebo yake, akanipa nyumba , akanipa gari na kunitafutia umaarufu unaonilisha Leo hii. Dai ni zaidi ya babangu Allah azidi kumueka poa Kwa ajili ya wengine wengi," Alisema Zuchu.

Kauli ya Zuchu iwekwe kwenye plaque ya dhahabu kwa sababu ameongea ambacho wengi hatukuioni.

Kuna mambo kadhaa sikubaliani na Diamond. Lakini hili la kiwekeza kwa wasanii ili kiwaibua ni jambo kubwa lililowashinda promota wengi.

Tumpe heshima yake Diamond ingawa kuna maeneo anatimbanga lakini ana UTU
 
Kwa hiyo ukilelewa kama mtoto huwa unapigwa kimbupu baadae, ndivyo wababa wanavyofanyaga.Siku wakigombana kimaslahi utasikia ooh wasafi walininyonyaga.Tunzeni ndimi zenu.
 
Na vipi investment anayotumia Diamond kuwekeza kwao ikiwemo kulipia videos, kuwabrand, kuwapangishia department za kuishi kupoteza muda mwingi kuwapigia promo bila kutoa kazi zake kwa wakati huo
department tena? chee🤣
 
Back
Top Bottom