Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

Mtu akisema mtu flan ni zaid ya baba haimaanishi ni bora zaidi ya baba yake ila ni neno tu la kuonesha umuhimu au mchango wake mkubwa! Mfano mdogo, kuna marafiki wanakuwa na msaada mkubwa mwisho wa siku unasema huyu ni zaid ya rafiki! Kwahyo mtu akisema ni zaidi ya rafiki we unafikiri nini??
Tatizo watu wanajitoa ufahamu, jiulize mbona huyo sijui Baba mzazi hakumfanyia hayo? Shida hapo ni shukrani anazompa diamond hakuna kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii definition ya Masikini itabidi nirejee Kamusi yangu...., Huyu Zuchu kama alikuwa Masikini basi tunahitaji another level ya Umasikini....

I once cried cause I had no Shoes..., Until I saw someone with no Feet...
Kuna relative poverty na absolute poverty, umaskini wa Zuhura ni Relative , sio absolute.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo sauti yake na kipaji chake vilishindwa kumnyanyua kimaisha mpaka alipotumia platform ya WASAFI kama ilivyo kwa vijana wengi mitaani ambao kwa kukosa assistance/connections wanasaga lami daily wakitafuta tobo na halipatikani it's same hata kwa wenye vyeti bila connections wanavyosota(si wote kwani kuna wenye ngekewa zao).
So in that context she is very right.
Again unaequate monetary success kwamba ndio mafanikio / utajiri kwangu mimi hata hao wenye vipaji ambao bado wanasaga lami wana utajiri wa vipaji vyao ambavyo wewe hata na mamilioni yako ya pesa au ukeshe ukifanya mazoezi huwezi kuwafikia..., In my book such people are not poor wanaweza wakawa kwenye macho ya jamii inayoangalia mafanikio kupitia bank accounts,,,

All in all she should appreciate kupata platform ya kuonyesha kipaji chake lakini kama Eminem alivyosema....
You better lose yourself in the music, the moment
You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime you better
Kwahio yeye bila ku-seize hiyo opportunity huenda Tanzania nzima isingemfahamu.., sikatai mchango wa Diamond kwenye maisha yake nachopinga ni yeye kusema alikuwa masikini...,​
 
Tunaangala utajiri kwenye lens distorted kutokana na jamii ya sasa ku-value material things ambazo ukiangalia sana hizo materials they are just junks well promoted to brainwash the mass into acquring them....
Kama umeelewa kuhusu hizo aina mbili za umaskini, basi inatosha, acha maneno mengi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kipimo chake/mtazamo wake anasema alikuwa masikini and she is very right, kila binadamu kwa akili yake ana kipimo anachokiona ni umasikini na pia ana kipimo anachokiona ni mafanikio. We're all unique and very different na hatuwezi kufanana katika kulipima hilo.
Naam kujiona masikini wakati umejaliwa nao ni umasikini (unaweza ukawa a poor man with plenty hence unhappy au a rich man with little hence happ)
Eminem siyo na wala hajawahi kuwa marking scheme kwangu na mistari uliyoitumia kama reference sijakubaliana nayo, nadhani analazimisha situations labda kama lengo lilikuwa ni kutaka kuwasisitiza waja wasipoteze au wasizilegezee opportunities pale zinapojitokeza ila si lazima kuwa eti opportunity ikitokea ukaipoteza hatatokea tena nyingine, kwa kila anayejua kugeuza situations kuwa opportunities anaujua ukweli wa kuwa opportunities huwa zinatokea mara nyingi ila uzembe wa watu huwa unawasababisha washindwe either kuzitumia au pia washindwe hata kuzibaini(on this I'm 'talking' from my own experience).
View attachment 2033280
Eminem anakwambia in The Music Industry ukipata chance ya Ku-OWN IT..., yaani upo kwenye Limelight usiiachie hiyo chance tumia hio opportunity to the maximum its a one shot (wakali wa miaka ya nyuma sasa hivi wanapokezea vijiti wengine, utakuja muda utakupita na watakuja wengine) its a once in a lifetime opportunity muda ukikuacha utakuwa ulifanya jambo kama ulipoteza ile chance hautaipata tena...
 
Mtu akisema mtu flan ni zaid ya baba haimaanishi ni bora zaidi ya baba yake ila ni neno tu la kuonesha umuhimu au mchango wake mkubwa! Mfano mdogo, kuna marafiki wanakuwa na msaada mkubwa mwisho wa siku unasema huyu ni zaid ya rafiki! Kwahyo mtu akisema ni zaidi ya rafiki we unafikiri nini??
Kwanin asiseme zaid yamamake yan wababa tunachukuliwa poa eeeh
 
Kama mtoto wa Khadija Koppa ni masikini basi asilimia 98 ya Watanzania ni masikini.
Mkuu kwani hujui kua asilimia 98% ya watanzania ni masikini?
Ili uwe na kipato cha kutoka kwenye umasikini,kulingana na HDI ni lazima iwe kuanzia $5,200.....hio ni milioni 13+,ambayo hata maafisa wakubwa serikalini hawafiki.
Yaani mtu kutembelea gari used na kupanga kageto Kako ka laki moja, tayari unajiona umeshatoboa maisha,
 
Back
Top Bottom